"You are not my type"

"You are not my type"

They met when my pops was just a village broke ass nigga, but with a fighting spirit. They hustled together, and by the grace of God, Leo wanachekea kivulini. Wanapitia ups and downs , but they getting stronger everyday. Pops has been blessed with such a "ride and die woman". And nafurahia jinsi mzee anavyomuamini mama with their properties, hana presha hata. Mungu nitunzie wazazi wangu uuuh

Thats what im talking about......tatzo ki muonekano unakua uko fresh tu but at the time bado huja ji establish sabab ya mambo flan flan (uko broke but have a promising future).....Siku unakuja pata breakthrough, its ON beib.

Hee ghafla unaona watu wanaanza kujileta. Hapana aisee mm hicho ndio kitu nakichukia mno.
 
Binafsi niliwahi kuambiwa kipindi hicho na kweli ilikuwa hivyo ila ilinisaidia.
 
He hee sijawahi kuambiwa live ila umenikumbusha jamaa mmoja humu alicomment 'am not his type'...

Nani huyo😀😀😀😀😀😀😀?

Na ilikuwa kuwaje hadi akakwambia hivyo mrembo 'top notch' kama wewe?

Alikuambia wewe moja kwa moja au alikuwa kwenye mazungumzo na mtu mwingine?

Let not your heart be troubled. It was his loss, not yours😀😀😀😀😀?

Now you have his carte blanche to cuss him out.

Better use the opportunity now 'cause it's a rare one.

Lightning may never strike twice. Don't pass up on it.

😛😛😛😛
 
Ha haa unataka aje aendelee kujishebedua hapa ee... Am not his type

upload_2016-9-11_12-13-42.jpeg
 
maelezo nitakayo toa hapa yatajenga picha ni revenge wakati mimi natafuta tu justice ....naweza mkoleza akifika kwenye peek ya mahusiano yaani haoni wala hasikii mimi huyoooo nasepaa zangu
Kwa hiyo unajifanya diamond Co??
 
Does that phrase sound familiar ??

Ulisha wahi ambiwa hvyo na mpenzi wako au mtu wako wa karibu when dating ??

Ili kua kuaje ??

Ulijiskiaje ??

Ulichukua hatua gani ??

All is well once again, hope ur having a calm weekend.

Well nimependa tu niwaambie vijana wenzangu wanao pitia hali hii kwa sasa....kwamba sio wao tu tupo wengi tuliyokwisha yapitia hayo on different life circumstances...na leo wengine tumeshuhudia tukiandaliwa meza moja na hao hao watesi wetu.

Kikubwa jiamini, simama piga kazi kwa nguvu zote, focus more on ur life and happiness, the right one at the right time will come in ur life and stay na hao hao waliokuchukilia poa one day watasujudu.

Nimejisikia tu ku share after remembering some past memories in my life.

Regards

Senior Boss.
Hii ilinitokea mimi.

Baada ya kumtongoza kwa muda mrefu akiwa ananikatalia sikilu zote, ilifikia siku baada ya kuchoka nikamwambia ''keep it on your mind kuwa nakupenda''

Alinijibu hivi "MY MIND IS FULL, I CAN'T ADD ANYTHING"

Jibu hili liliniumiza sana, na lilinivunja moyo kabisa, hadi mwenyewe alilitambua hilo.

Nilighairi kumfuatilia, but a month later alianza kuja mwenyewe.
 
I kno man. Hata mm nimeshapitia hyo experience.

Kikubwa ni move on, dnt give them ur time. Just focus on ur grind nd happiness.

Kuna mmoja alijirudi na sikutaka mazoea ever again (ni kitambo in my early 20's). I just told her she z nothin i ever want in a woman.
 
Nani huyo😀😀😀😀😀😀😀?

Na ilikuwa kuwaje hadi akakwambia hivyo mrembo 'top notch' kama wewe?

Alikuambia wewe moja kwa moja au alikuwa kwenye mazungumzo na mtu mwingine?

Let not your heart be troubled. It was his loss, not yours😀😀😀😀😀?

Now you have his carte blanche to cuss him out.

Better use the opportunity now 'cause it's a rare one.

Lightning may never strike twice. Don't pass up on it.

😛😛😛😛
He hee haya bana
 
Back
Top Bottom