Binafsi sijisifii jamani,nipogo humble sana.
Hakuna kitu ambacho huwa nakiepuka kama dharau.
Sipendi kumdharau mtu kutokana na muonekano wake au aina yake ya maisha.
Tena naweza kukupamba ukajiona uko juu zaidi ya uhalisia.
Nimewahi date na wenye ego,yani mtu anajisikia vibaya sana halafu ukiangalia sio lolote kuanzia muonekano na kila kitu.
Ambacho huwa nakifanya ni kujishusha,kama sioni vile.
Mwisho wa siku tukija kubreak up huwa haupiti muda wananitafuta tena kwa masikitiko na kujishusha kulikopitiliza.
Kuna Ex wangu mmoja aliwahi kuniambia "Wewe ni mwanamke wa ajabu Nifah,wanawake kama wewe wamebakia ktk filamu pekee"
Sababu kuu ni unyenyekevu,huruma,heshima na ustaarabu nilivyojaaliwa.
Siri ya yote hayo ni kutokulipa ubaya kwa ubaya,tenda wema nenda zako.
Wema huishi milele.
Period