Wanawake wazuri wote ni type yangu na ndio naodeal nao muda mwingi. Nilichokuja kugundua ni kuwa, wanawake wengi wanaoishi kwa kutanguliza kunata sana, ngebe na fakeness, huwa ni kwa sababu hawana uelewa wa maisha, wana exposure ndogo, wanahisi kutokuwa na vigezo na kutafuta kujikweza. Asilimia chache ni wale wenye over confidence, kuishi kwa malengo unrealistic n.k Unakuta mtu ana ndoto za kudate billionaire wakati hajishughulishi kutengeneza hadhi ya kuonwa na billionaire.ZZaidi anachokitegemea ni sura soft, behind iliyobinuka, mahips ya kuamsha mwenge, manicured nails na accent ya oxford ya kulazimisha iliyobeba maneno ya rejareja yasiyo na content ya maana. Sasa akifuatwa na watu anaoamini ni wa kawaida,huku akiwa anaamini yeye ni wa kundi fulani ambalo pia halimuoni,ndipo utasikia statement kama,wewe sio type yangu!