Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
njoo tuyajengeHOE you are my type.
njoo tuyajengeHOE you are my type.
Hili nalijua mkuu. That's why i woek hard. Push myself to the MaxDoes that phrase sound familiar ??
Ulisha wahi ambiwa hvyo na mpenzi wako au mtu wako wa karibu when dating ??
Ili kua kuaje ??
Ulijiskiaje ??
Ulichukua hatua gani ??
All is well once again, hope ur having a calm weekend.
Well nimependa tu niwaambie vijana wenzangu wanao pitia hali hii kwa sasa....kwamba sio wao tu tupo wengi tuliyokwisha yapitia hayo on different life circumstances...na leo wengine tumeshuhudia tukiandaliwa meza moja na hao hao watesi wetu.
Kikubwa jiamini, simama piga kazi kwa nguvu zote, focus more on ur life and happiness, the right one at the right time will come in ur life and stay na hao hao waliokuchukilia poa one day watasujudu.
Nimejisikia tu ku share after remembering some past memories in my life.
Regards
Senior Boss.
"Karma is bitch, what comes around, goes back around."kawaida tu mama ni mambo ya karma hayo sijaanzisha mimi
Ndio maana yake bob, piga kazi (chase the paper). Ku date mwanamke wakuja funga nae ndoa kama hujajipanga. Ni kujitaftia heart breaks (itakusumbua tu) istoshe huheshimiki.Hili nalijua mkuu. That's why i woek hard. Push myself to the Max
That's is the rule dawg. All day.....Ndio maana yake bob, piga kazi (chase the paper). Ku date mwananke wakuja funga nae ndoa kama hujajipanga. Ni kujitaftia heart breaks tu let alone heshima. Grind nd provide by any means if necessary.
Work hard, Play hard.
Kuna mwingine analewa na the care nd affection unayompa to the point anai mistake for ignorance or stupidity of u then anakujia na dharau.I remember the dude told me these words 'I have classy, I dont deal with scrubs' uuuh.....! Sijasahau mpka kesho. Nilimtakia heri huko aendako kwa mwenye class sawa na yake. Jamani maneno yanauma mno. Chagueni vya kutuambia hata kama hamututaki
Wanawake wazuri wote ni type yangu na ndio naodeal nao muda mwingi. Nilichokuja kugundua ni kuwa, wanawake wengi wanaoishi kwa kutanguliza kunata sana, ngebe na fakeness, huwa ni kwa sababu hawana uelewa wa maisha, wana exposure ndogo, wanahisi kutokuwa na vigezo na kutafuta kujikweza. Asilimia chache ni wale wenye over confidence, kuishi kwa malengo unrealistic n.k Unakuta mtu ana ndoto za kudate billionaire wakati hajishughulishi kutengeneza hadhi ya kuonwa na billionaire.ZZaidi anachokitegemea ni sura soft, behind iliyobinuka, mahips ya kuamsha mwenge, manicured nails na accent ya oxford ya kulazimisha iliyobeba maneno ya rejareja yasiyo na content ya maana. Sasa akifuatwa na watu anaoamini ni wa kawaida,huku akiwa anaamini yeye ni wa kundi fulani ambalo pia halimuoni,ndipo utasikia statement kama,wewe sio type yangu!
The worst thing one can do ni kurudiana na mwanamke wa aina hii.Kuna moja alinambia hivyo, tena akaja juu kabisa na kusema anapenda intelligent mature guys, as if I wasn't, labda kwa kua muda wote hua napiga t~shirt na jeans aina moja tu rangi ileile daily, iwe ofisini, kwenye date, hata interviews.
Sasa nisikilizie kaja kwenye kampuni nayofanya kazi kuomba internship, wakamuweka chini ya uongozi wangu, nikampitisha bila kinyongo maana qualifications alikua nazo, tumekaa tunapiga kazi hajui mambo kibao, nikakaa namnyoosha viji~mistake anavyofanya daily, tena najifanya ka sijui alichoniambia siku za nyuma kidogo, ofisini wananiitaita mara kibao kutoa idea kwenye solution flani, inshort tunaheshimiana sana, mdada wa watu alikua anaona aibu balaa.
Anamaliza internship anakuja kunitumia message ati mimi type yake tujaribu kuanza upya, nilimkimbia ka ngoma. Wanasema don't judge the book by its cover.
hahah some of us huyo right person got hit by a truck ... kikubwa ukiambiwa not my type unareply YOU TOO and life goes on..Does that phrase sound familiar ??
Ulisha wahi ambiwa hvyo na mpenzi wako au mtu wako wa karibu when dating ??
Ili kua kuaje ??
Ulijiskiaje ??
Ulichukua hatua gani ??
All is well once again, hope ur having a calm weekend.
Well nimependa tu niwaambie vijana wenzangu wanao pitia hali hii kwa sasa....kwamba sio wao tu tupo wengi tuliyokwisha yapitia hayo on different life circumstances...na leo wengine tumeshuhudia tukiandaliwa meza moja na hao hao watesi wetu.
Kikubwa jiamini, simama piga kazi kwa nguvu zote, focus more on ur life and happiness, the right one at the right time will come in ur life and stay na hao hao waliokuchukilia poa one day watasujudu.
Nimejisikia tu ku share after remembering some past memories in my life.
Regards
Senior Boss.
Huenda yeye yupo kingdom fungiUmeongea point kabisa, niliwahi kumtokea mmoja hivi na akaniambia the same words, "you arent my type" baada ya mwaka mmoja akaolewa na jamaa mmoja hivi mwenye nazo, jamaa kafilisika dada sasa anataka nirudi kwakwe na mm namwambia 'you arent my type".