"You are not my type"

"You are not my type"

Napenda sana wanawake wenye mafanikiwa ila naambiwa sio type yao bt wa type yangu nao siwatak sijui nifanyeje napenda kuwa namafanikio so wanawake wenye low income siwapend hata akiwa mzur japo na mimi ni wakawaida bt napenda bosslady tatizo siwapat
 
alinikacha kwa maneno kadhaa we mshamba sijui nini but niligundua yuko sahihi sana tu ..,
 
Alafu hizo kauli humkuti mzungu anamtolea mswahili... Hatakama ni tajiri vipi...
Lakini sisi ngozi nyeusi...
Hizi nyodo nyodo sio nzuri,umebahatika kumzidi mwingine basi heshima iwepo.
 
kw
Trust me brother ,there should be a brave woman behind every successful man , its just not the words but i have experienced that when i was growing up ,seing how my mom played a major role in my pops life
kwahio unamaanisha ukiwa singo huwezi kuwa successful
 
Mzungu atakwambia I've a boy friend.. Very honest
Indeed, hata sijui tunamatatizo gani,
Kwanza asilimia kubwa ya Niggaz Huwa hatuna msimamo ulionyooka,
Yaani hata kama kitu anakitaka lakini atajifanya hakitaki, au ataanza kukikataa...
vigeugeu
 
Trust me brother ,there should be a brave woman behind every successful man , its just not the words but i have experienced that when i was growing up ,seing how my mom played a major role in my pops life
Back then there were few if no gold diggers at all.. But in today's world, few and very few ladies can take a walk with you..

Si unaona hata humu wabeba box wanaonwa kama miungu watu hivi.. Struggle is real
 
kw

kwahio unamaanisha ukiwa singo huwezi kuwa successful
Kwani Successful ni kuwa na pesa peke yake ?

Hilo neno linabeba mambo mengi ,ni wangapi wana hizo Pesa lakini familia zao hazina amani ?

Unakua na pesa unakula kipupwe Masaki mama yako yupo kijijini nyumba ya udongo na kuni za miti macho yanakua mekundu anaishia kuhisiwa mwanga ,is that success ?
 
maelezo nitakayo toa hapa yatajenga picha ni revenge wakati mimi natafuta tu justice ....naweza mkoleza akifika kwenye peek ya mahusiano yaani haoni wala hasikii mimi huyoooo nasepaa zangu
WTF?
Kumbe broda na wewe ni mnyama hivi?
 
Kuna demu ndo nimeanza kutongoza, ngoja nione kama ataniletea hii kadhia maana swagger zake sizielewi elewi kwa kweli
 
Sijawahi kuambiwa kwasababu sijawahi kutongoza mpaka niwe 90% sure she is ready to mingle.. Pia sijawahi pigwaga kibuti kwenye mitongozo yangu yote..

Ila hii ya kusubiri mpaka niwe 90% sure kulinikosesha mtoto mmoja hivi mpaka leo najilaumu kwanini aliniponyokaga..
Poleeee wengine ni wagumuuuu.
Anaweza kuwa keshakuelewa kweli ila anajikausha tu
Heheheeee
 
It's okay if a girl doesn't want to date a "broke ass nigga", kinachotakiwa tu ni kuwa na akiba ya maneno, just turn him down politely. He may be broke today, but can turn out real big tomorrow . Again run after a successful brod, but don't lose your senses and self worth in the process
I advice that all women take this message seriously bcoz these are very good words,although i belong to the broke nigga group of guys.
 
Back
Top Bottom