Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

Mramba, Yona land in court
FAUSTINE KAPAMA
Daily News; Tuesday,November 25, 2008 @21:15

Two former ministers appeared before the Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam yesterday charged with abuse of office and occasioning loss of over 11bn/- to the government. Basil Pesambili Mramba and Daniel Ndhira Yona, who were minister for finance and minister for energy and minerals, respectively are facing a total of 13 counts. They pleaded a plea of 'not guilty' before Resident Magistrate Hezron Mwankenja.

The accused were remanded until December 5, after failure to meet bail conditions including depositing 3.9bn/- cash and secure two reliable sureties. He also ordered them to surrender their passports and restrained them from leaving Dar es Salaam without the court's permission. Though they appeared composed as the prosecution read the charges against them, Yona was sweating profusely as he kept on wiping his face.

Members of the public booed at them as they were being taken to remand after failure to meet conditions of bail. Investigations into the case have not been completed, the prosecution told the court. Members of the prosecution team are Principal State Attorney Boniface Stanslaus, Senior State Attorney Frederick Manyanga and three officials from the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB), Hole Joseph, Benn Linkon and Tabu Mzee.

The then ministers, who are defended by advocates Michael Ngalo, Joseph Tadayo, Sam Mapande, Mafuru Mafuru and Elisa Msuya, arrived at the court premises in a PCCB vehicle, Toyota Land Cruiser GX registration number T 319 ATD. They also boarded the same vehicle when they were taken to Keko Remand Prison. Their arraignment was witnessed by several people who jammed at the court premises early in the morning after learning that the duo would be brought there to answer criminal charges.

The charges against the two former ministers are not related in any how on the scandal surrounding the External Payment Arrears (EPA) account of the Bank of Tanzania as previously stated by a section of the media. Both accused are facing jointly five charges of abuse of office and one count of occasioning loss to the government, while Mramba alone faces eight similar counts. It is alleged that the duo committed the offences between 2002 and 2007 at their respective offices.

The prosecution alleged that between August 2002 and May 28, 2005, being employed as ministers, the duo abused the authority of their offices by doing several decisions. They include arbitrarily procuring M/S Alex Stewart (Assayers) UK and its subsidiary company, M/S Alex Stewart (Assayers) Government Business Corporation to sign and execute gold production assaying agreement in Tanzania in contravention of Public Procurement Act and Mining Act, respectively.

The prosecution alleged that the former ministers left the Alex Stewart (Assayers) Government Business Corporation to sign an addendum extending gold production assaying agreement for two years from June 14, 2005 to June 23, 2007 in contravention of the said Acts. It is alleged further that the duo invited Dr Enrique Sugura of the said company to formalise the two years extension before the Government Negotiation Team was convened to work on the matter.

The accused also abstained from attending the mining assayer's fees issue and submitting the agreement to the Attorney General for vetting as it was recommended by the team consequent upon which act an addendum extending the gold production assaying agreement for two years. Between June 2003 and May 28, 2005, serving as ministers, wilfully and by their failure to take reasonable care or discharge their duties in reasonable manner, the duo unjustifiably allegedly processed a gold production assaying agreement with a clause number 4.3.1.

The prosecution alleged that the said clause led to unjustified tax exemption in favour of M/S Alex Stewart) Assayers) Government Business Corporation, thereby occasioning loss to the government to the tune of 11,752,350,148/-. While Mramba alone, the prosecution alleged, between October 10, 2004 and November 15, 2005, as Minister for Finance, abused the authority of his office by arbitrarily doing several unjustified decisions.

They include ignoring the recommendation by the Tanzania Revenue Authority (TRA) not to grant tax exemption to M/S Alex Stewart Assayers) Government Business Corporation.
He also allegedly processed and issued Government Notices (GN) No. 423/2003, 424/2003, 497/2004, 498/2004, 377/2005,378/2005, which granted tax exemption to the whole of withholding income tax payable by the said company contrary to the recommendations given by the TRA.


Between 2003 and 2007 in the city, as Minister for Finance, wilfully and by his failure to take reasonable care to discharge his duties in a reasonable manner, Mramba unjustifiably allegedly signed the said government notices. The said notices, according to the prosecution, had the effect of exempting the said company from paying income tax, thereby occasioning loss to the government of the said 11bn/-.

I am very skeptical kuhusiana na mashitaka haya hasa kwa upande wa Yona. Kuna wakati nilisema kuwa hao wawili na mmoja ambaye bado yuko kazini walikuwa wafikishwe mahakamani wakati Rais yuko safarini nje lakini Ikulu ikaingilia kati kwa kisingizio cha usalama wa nchi, na moja kati ya vitu vilivyofanya wasipelekwe Mahakamamani wakati huo ni suala la Kiwira ambalo Yona ni Mmiliki mmojawapo na chanzo changu kilisema kuwa kulikuwa na shida kubwa kwa utawala kumfikisha Yona kizimbani (pamoja na kuwa na ushahidi wa kutosha) kwa sababu ilikuwa laima Mkapa naye atinge mahakamani.

Sasa, katika mashitaka aliyosomewa Yona kujimilikisha mgodi wa Kiwira bila kufuata utaratibu shitaka la wizi wa kutuibia mgodi wetu wa Kiwira halimo! Hii maana yake nini au mimi sijasoma vizuri?
 
......... Lakini ni RAIS huyuhuyu ambaye sasa ameruhusu wakalie dawati lile leo. Mramba na Yona hawatarudi kwenye hadhi na heshima waliokuwa nayo hadi jana hata kama watashinda kesi hii.

Rais hapaswi kuingilia wala kuhusika na utoaji ruhusa ya watu kushtakiwa. Kama kweli yeye ndiye amefanya hivyo basi nayo ni matumizi mabaya ya madaraka, maana siku sheria ikitaka yeye ndiye ashtakiwe, nani atatoa ruhusa?
Nafahamu JK amewahi kufanya hivyo kwa wale waliorudisha fedha za EPA, lakini tayari imeshaonekana wazi kuwa yeye hana mamlaka ya kuzuia mtu asishtakiwe, anachoweza kufanya kikatiba ni kumsamehe yule ambaye ameshahukumiwa.
 
"Nafahamu JK amewahi kufanya hivyo kwa wale waliorudisha fedha za EPA, lakini tayari imeshaonekana wazi kuwa yeye hana mamlaka ya kuzuia mtu asishtakiwe, anachoweza kufanya kikatiba ni kumsamehe yule ambaye ameshahukumiwa."

Mkuu,
By the book nakubaliana na wewe 100%.

BUT, what about in practice???...
 
HABARI ZA SASA HIVI:
Mahakama Kuu imepokea na kulikubali ombi la Mramba na Yona kukata rufaa kupinga masharti magumu ya dhamana. Ombi hilo litasikilizwa kesho mahakamani hapo.

THAT BEING THE CASE, MY TAKE IS;
Kuna uwezekano mkubwa hawa mabwana kesho wakaachiliwa iwapo; Mahakama Kuu itasikiliza ombi la haraka haraka na kutoa amri ya kuitaka Mahakama ya kusutu kutazama upya masharti hayo na Mahakama ya Kisutu ikaweza (au kuwezeshwa au kulazimika) kufanya hivyo kesho hiy hiyo
 
HABARI ZA SASA HIVI:
Mahakama Kuu imepokea na kulikubali ombi la Mramba na Yona kukata rufaa kupinga masharti magumu ya dhamana. Ombi hilo litasikilizwa kesho mahakamani hapo.

THAT BEING THE CASE, MY TAKE IS;
Kuna uwezekano mkubwa hawa mabwana kesho wakaachiliwa iwapo; Mahakama Kuu itasikiliza ombi la haraka haraka na kutoa amri ya kuitaka Mahakama ya kusutu kutazama upya masharti hayo na Mahakama ya Kisutu ikaweza (au kuwezeshwa au kulazimika) kufanya hivyo kesho hiy hiyo

Yeah,

Mie mwenyewe nimedokezwa na mkulu mmoja kuhusiana na hili na limetokana na kuwa Jaji alikosea kutoa maauzi ya kuwaambia watoe Cash.Leo mawakili wao walikuw akihangaika sana 1

BTWN the Story:Nani atahudhulia hiyo Harusi,Naamini kutakuwa na vijineno vya vijembe kama wakitoka siku ya kesho(watatoka tu),Naomba watu wafuatililie kwa ukaribu sana na mtuletee picha na maneno watakayo sema.

mie nashanga watu wanauwa maalbino huku...o ooh shit
!

Mwanakijiji alionmya sana mwaka huu mwanzoni kuhsu suala la kuzungwa,Mie wakati mwingine huwa namuoina mwanakijiji kama nabii
 
Kumbuka bosi mwenyewe naye ana skeletons zake kwa mfano mkataba wa IPTL, si alianguka sahihi yeye mwenyewe JK

Hapana Kaka Mujuni!
Kwa taarifa nilizo nazo kutoka jikoni (ambazo hata hapa JF pia ziliwekwa) ni kwamba mkataba wa IPTL ulitiwa saini na Bw Simon Mhaville. Huyu mheshimiwa, kwa taarifa zilizopo ni kwamba alisaini mkataba huu akiwa chini ya shinikizo la wakubwa, kwani baada ya kusaini tu hakusikika tena!
Hizi ni enzi za akina Baruani Luhanga aliyekuwa Tanesco ambaye naye alistaafu.
JK alikuwa ni waziri wa Maji, nishati na madini wakati huo dili hii ikisainiwa.
 
Kwani mahakama ya Kisutu ilitumia taratibu gani kutoka na figure ya bail . each and only in cash???

Kuna kifungu hicho cha sheria au hakimu alikurupuka tu??

Nadhani bail sahihi ni 5.5 billion kwa wote wawili au 2.75 billion kwa kila mmoja ambayo sio lazima iwe cash, inaweza kuwa mali zenye title inayokubalika ya thamani hizo.
 
- Leo nimeongea na wakulu wengi na hasa mmoja anayehusika na utengenzaji wa mashitaka ya hawa kina Mramba na Yona, ni kwamba kuna wafanyabiashara wakubwa wakishinikizwa na "mkono mzito" ndio walio-take charge na kudai watatimiza masharti ya dhamana ndio maana sasa ishu inakimbizwa, in some hours to come ninaamini kwamba watapewa dhamana.

Anyways nitarudi na more ya niliyoya-gather katika mazunguzmo na wakulu wengi leo, pia hapa nimetembelewa na Mkulu Mugongo Mugongo remmember him? na ni jana tu nimewaaga wabungewa EAC ambao nilikuwa nao kwa karibu last siku nne, wao nao wana ishu ya kuanzishwa upya kwa EAC taht is another story of its own!.

Okay later wakuu!
 
Msifurahi mechi ndio kwanza imeanza,mtakuja kusema tunwafikisha mahakamani japo wameshinda.
Kwa ufupi Wananchi walioshiriki kwa hali moja au nyengine ndio wa kusifiwa vikishirikishwa na wabunge wa vyama vya upinzani bila ya kuwagawa ,umoja wao ndio uliofanikisha haya ambayo yapo kwenye jukwaa.
Wacheni kumsifu Mheshimiwa Kikwete ,kwani kama kikwete au Raisi anaetokana na CCM asingeweza kuwafikisha watu hawa mahakamani ,ni ukosefu wa maarifa na kujiamini anapotokea mtu na kumsifu Mheshimiwa Kikwete au Mkuu wa Mashtaka ,watu wanaokaa na kusifu watu hawa ni wafinyu wa kufikiri na mitazamo yao ni mifupi.
Makelele ya wananchi na wabunge ndio yaliomkurupusha Kikwete ijapo kuwa yeye amesikika akisema nguvu za kushughulikiwa mambo haya ameshazitoa,kama kweli angewashupalia wahusika na kuwauliza mbona hawajachukua hatua yeyote hivi haya mambo yana muda gani toka yaanzwe kuanikwa.
Kinachotakiwa makelele yaendelee na wengine wafikishwe kizimbani haraka iwezekanavyo na wengine walioko madarakani kama bado wapo nao wapigiwe makelele.
Tukikaa na kuanza kumsifu au kuwasifu basi ulevi utawachukua na mtaanza kuona mambo ya ajabu ajabu.
 
Ooops,

Basi tena...

Mhhhhh... the emerging facts zinaonyesha kuwa mambo yanaweza kuwa magumu kwa hawa ndugu zetu na wakaitumia weekend wakiwa lupango.
Habari kutoka Mahakama Kuu zinapasha kuwa kesi yao imepangwa kesho kwa ajili ya first mention na si hering. Kwa maana hiyo, itatajwa tu halafu itapangiwa tarehe (iwapo mahakama haitapindisha taratibu zake).
Kesi itakuwa chini ya Jaji Njengafibili Mwaikugile.
Na kuna marekebisho makubwa yamefanywa kwenye masharti ya dhamana, mahakama ya Ksutu imepunguza kiwango cha fedha kutoka bil 3.9 hadi Bil 2.9
 
Idimi said:
Hapana Kaka Mujuni!
Kwa taarifa nilizo nazo kutoka jikoni (ambazo hata hapa JF pia ziliwekwa) ni kwamba mkataba wa IPTL ulitiwa saini na Bw Simon Mhaville. Huyu mheshimiwa, kwa taarifa zilizopo ni kwamba alisaini mkataba huu akiwa chini ya shinikizo la wakubwa, kwani baada ya kusaini tu hakusikika tena!
Hizi ni enzi za akina Baruani Luhanga aliyekuwa Tanesco ambaye naye alistaafu.
JK alikuwa ni waziri wa Maji, nishati na madini wakati huo dili hii ikisainiwa.

Idimi,

..JK aliwahi kuulizwa kuhusu IPTL na akadai kwamba hakuna saini yake ktk mkataba huo.

..mkataba ulisainiwa wakati Kikwete ni ametoka Madini na Nishati na kuhamishiwa Hazina ktk mabadiliko yaliyomteua CD Msuya Waziri Mkuu.

..majadiliano na kazi kubwa zilizopelekea kusainiwa kwa mkataba kati ya Tanesco na IPTL yalifanyika wakati Kikwete ni waziri wa nishati. hili la kudai kuwa hakutia saini ni kukwepa lawama tu kama ilivyo kawaida yake. ieleweke kwamba hata mkataba wa Richmond haukuwa na saini ya waziri wa nishati au wa fedha.

NB:

..ile ripoti ya transparency international ni kuhusu IPTL ni nzuri lakini ina makosa madogo madogo haswa ya timeline na wahusika waliokuwa ktk nyadhifa mbalimbali za serikali.

..Baruany Luhanga alichukua nafasi ya Simon Mhaville kama DG wa Tanesco, na ndiye aliyelazimika kuutekeleza mkataba wa Tanesco na IPTL.
 
1. Habari zaidi ni kwamba, je muungwana yuko serious au ni mchezo mchafu wa siasa unachezwa hapa, kwa sababu sauti nyingi zinasema kwamba sio siri kuwa umaarufu umeshuka sana na hasa kurushiwa mawe Mbeya, sasa je ni mbinu ya kurusiha umaarfu?

2. Kama kweli muungwana yuko serious then why Rostam na Lowassa hawajashikwa? Look here hasara tuliyoletewa na Mramba na Yona, ni shillingi billioni 11.7, sasa piga hesabu ya hasara ya kulipa shillingi millioni 153 kwa mwezi kwa miaka miwili, inaa maana millioni 153 x 48 sasa jawabu linaweza kwua sawa na hasara ya kina Mramba na Yona? Sasa kwa nini Lowassa- (Richimonduli) na Rostam - (Kagoda)

- Besides, according to the dataz ni kwamba msamaha unaowaponza Yona na Mramba sasa hivi, ulipitishwa na cabinet na kupitishwa na mwenyekiti wa cabinet then rais mkapa, ambako muungwana alihusika kama waziri, sasa what this says kuhusu hii kesi?

3. Dataz zaidi nilizizopita leo ni kwamba Tanesco mpaka leo wanailipa Kiwira shillingi millioni 300 kwa mwezi kwa miaka 2 zaidi ijayo, sasa hapa hasara kubwa ni ya kina Mramba na yona, au hii pia? Je kweli hapa kuna kujaribu kusimamia sheria au kulipiza visasi kwa waliowapinga Mtandao?

- Sasa itawezekana vipi kwamba kamati ya rais ya Mkurugenzi wa Taukukuru, Mkuu wa polisi, na Mwanasheria Mkuu eti hawajui Kagoda ni ya nani, hiyo haingii akilini na kwamba eti Bwana Kimondo, ambaye ndiye amekua akisaini deal karibu zote za Kagoda, ndiye mmiliki wa Kagoda, it does not make a sense kwa sababu infahamika wazi kwamba Kimondo hana hata baiskeli sasa kama hii kamata kamata ni ya kweli tunategmea na hawa kina Lowassa na Rostam wawe njiani wawe tayari wako ndani, ingawa leo nimepewa habari kua yuko chini ya ulinzi tayari lakini bado ninajaribu kuthibitisha hizo.

4. Chenge:- Kwa nini Chenge hajakamatwa mpaka leo anasubiri nini? Huyu ndiye aliyehusika kuishauri au kutoishauri serikali kwenye IPTL, yote mawili yanapaswa kuwa makosa kisheria kufuatia hasara serikali iliyoipata, na hata EPA pia inatakiwa kumsomba pia kwa sababu either alishiriki kuiba au alitoa ushauri mbaya kwa serikali, huyu anahitaji kushikwa pia ili kutoa imani kwa sisi wananmchi kwamba hii operation ina nnia njema, yaani taifa!

5. Gray Mgonja:- Huyu nilitegmea awe wa kwanza kutinga kwenye sheria, kwa sababu kuacha mengine yote anyotuhumiwa, huyu ni mmoja wa wakurugenzi wa Tangold another EPA branch, sasa kwa nini hajashikwa mpaka leo?

6. Peter Noni:- Ninaambiwa kwamba katika big players wa hii soo huyu ndiye hasa kiungo muhimu sana, alikuwa Mkurugenzi wa pesa za nje BOT, katika mkataba wa BOT na Kagoda according to the dataz alisaini, huyu alisaini kwa niaba ya BOT na Rosatm alisaini kwa niaba ya Kagoda hii sio siri kwa sababu kuna watu wananzo copy tayari ya huu mkataba, sasa huyu kwa nini hajashikwa?

- Nimefanikiwa kuongea na mmoja wa wale wanaosubiri kukamatwa anytime, anasema kwamba wananchi wanafurahia damu inayokatwa na kisu kikali, lakini hawajui kwamba hiki kisu kinaweza kuwarudia wanaokitumia sasa kuwakata kina Mramba na Yona, akasema kwa uchungu sana kuwa huyu Mama Kilango ajiangalie sana na umwambie kama unaweza aache choko choko, kwa sababu hiki kisu kinaweza kumrudia mumewe pia, through b na maamuzi yao kule ccm, nilipomfahamisha Mama kilango kuhusu hizi habari akasema tena wka kicheko sana kwamba mambo yote yaende huko kwenye sheria na kama huyu ana ukweli akauseme huko!

7. Pia hatimaye nimeweza kuthibitisha kwamba Yona ni mwana mtandao pia, ingawa alikuwa anaficha sana, hii ni baada ya kuwapigia kelele sana wakulu leo kwamba mbona mtandao hawashikwi? Wamenihakikishia kua kwenye hili deal haponi mtu subiri mtaona.

- Again, ninaomba kuwakumbusha wananchi kua tuwe macho sana hapa, lakini so far so good na binafsi ninamuunga mkono rais kwa hili la kuwashika na kuwafikisha kwenye sheria hawa viongozi wabovu, leo kuna juhudi kubwa sana za kuwatoa washitakiwa rumande ambazo zinasukumwa na wanasiasa flani kwa kuwatumia wafanya biashara maarufu mjini, nasikia juhudi ni kubwa sana huenda wakachiwa by kesho.

- Habari zingine zaidi zinasema kwamba rais ameamua kunawa mikono baada ya kushambuliwa sana na sauti kali sana ndani ya CCM kwa muda mrefu sana sasa kwamba anawaogopa mafisadi, ila tu ni kwamba anajaribu sana kuicheza smart ili ionekane kua yeye sio anayehusika, na kwamba hata lau jana alikuwa ametumwa tu kuwapelekea ujumbe wakulu kule kua sio yeye anayehusika, na kwamba sio wao ila anatafutwa flani.

Thanxs!
 
1. Habari zaidi ni kwamba, je muungwana yuko serious au ni mchezo mchafu wa siasa unachezwa hapa, kwa sababu sauti nyingi zinasema kwamba sio siri kuwa umaarufu umeshuka sana na hasa kurushiwa mawe Mbeya, sasa je ni mbinu ya kurusiha umaarfu?

2. Kama kweli muungwana yuko serious then why Rostam na Lowassa hawajashikwa? Look here hasara tuliyoletewa na Mramba na Yona, ni shillingi billioni 11.7, sasa piga hesabu ya hasara ya kulipa shillingi millioni 153 kwa mwezi kwa miaka miwili, inaa maana millioni 153 x 48 sasa jawabu linaweza kwua sawa na hasara ya kina Mramba na Yona? Sasa kwa nini Lowassa- (Richimonduli) na Rostam - (Kagoda)

- Besides, according to the dataz ni kwamba msamaha unaowaponza Yona na Mramba sasa hivi, ulipitishwa na cabinet na kupitishwa na mwenyekiti wa cabinet then rais mkapa, ambako muungwana alihusika kama waziri, sasa what this says kuhusu hii kesi?

3. Dataz zaidi nilizizopita leo ni kwamba Tanesco mpaka leo wanailipa Kiwira shillingi millioni 300 kwa mwezi kwa miaka 2 zaidi ijayo, sasa hapa hasara kubwa ni ya kina Mramba na yona, au hii pia? Je kweli hapa kuna kujaribu kusimamia sheria au kulipiza visasi kwa waliowapinga Mtandao?

......wakuu samahani nina mengi zaidi niliyokusanaya leo lakini nitarudi tena baadaye kumalizia hii....!

Mkuu FMES: nimeonyesha sehemu ninazokubaliana na wewe 100% na ni maswali niliyoyauliza mapema kabisa. Kuhusu hii kuwa cabinet decision nimeishikia sana bango kwa sababu kuna sababu cabinet decisions zinafanyika hii ni ku-create collective responsibility, na kuhakikisha kuna mwafaka ili baadaye wasirukane kama sasa hivi. Na kama cabinet inastahili kushtakiwa basi wote washtakiwe akiwemo JK mwenyewe!
Sorry I am not bought on these charges na ninaona ni usanii mtupu na si kwamba Mramba na Yona wamekubalikuwa kafara bali ni kwamba wanatumika kama pawn in a chess game of powerful parties.
 
"Boniface alifafanua kuwa kati ya Agosti 2002 na Juni 14, 2004 watuhumiwa wakiwa katika nafasi za uwaziri wa fedha na uwaziri wa Nishanti na Madini waliruhusu kampuni hiyo na mshirika wake, M/S Alex Stewart (Assayers) Government Business Corporation kusaini mkataba wa kudhibiti madini ya dhahabu kinyume cha sheria ya Manunuzi ya Umma na ya Madini.


Katika kosa la pili, Boniface alidai kuwa Mei 28, 2005 watuhumiwa hao walitumia vibaya madaraka yao kuingia mkataba wa nyongeza wa miaka miwili kwa kampuni hiyo kuanzia Juni 14, 2005 hadi 23 Juni 2007 kinyume cha sheria ya Manunuzi ya Umma na ya Madini.

Katika kosa la tatu Boniface alidai kuwa kati ya Machi 28 ,2005 na Mei 28,2005 watuhumiwa wakiwa watumishi wa umma walitumia vibaya madaraka yao kwa kumwalika Dk Enrique Segura wa kampuni hiyo kurasimisha mkataba huo wa nyongeza ya muda kabla ya mazungumzo na timu ya serikali kushughulikia suala hilo.

Boniface aliendelea kuieleza mahakama kuwa katika kosa la nne kati ya Machi 2005 na Mei 28, 2005 watuhumiwa waliachia suala la udhibiti wa madini lifanywe kienyeji bila kumshirikisha mwanasheria wa serikali kama ilivyopendekezwa na timu ya mazungumzo ya serikali, jambo lililosababisha ongezeko la muda wa mkataba huo wa miaka miwili.

Na katika kosa la tano ambalo lilimhusu mshitakiwa wa kwanza, Mramba, Boniface alidai kuwa Oktoba 10 Mramba alitumia vibaya mamlaka yake kwa kudharau ushauri wa Mamlaka ya Mapato (TRA) wa kutotoa msahama wa kodi kwa kampuni ya M/S Alex Stewart (Assayers) Government Busines Corpotion.



Wakuu, tunauhakika cabinet ilijadili na kupitisha hayo yote(esp. in blue), au tuna speculate?...maana isije cabinet ikawa imemruhusu kwenda mwisho kibaha, yeye akapitiliza mpaka morogoro.
 
Mramba, Yona kutoka Keko leo?
Shadrack Sagati
Daily News; Thursday,November 27, 2008 @21:15

Mambo ya kulegeza masharti ya dhamana ambayo yamewasilishwa Mahakama Kuu na mawaziri wa zamani, Basil Mramba na Daniel Yona, yanasikilizwa leo. Mawakili wa washitakiwa waliwasilisha maombi hayo jana katika mahakama hiyo Kanda ya Dar es Salaam kutokana na kutoridhika na uamuzi uliotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam.

"Maombi yetu yatasikilizwa kesho asubuhi (leo)," alisema mmoja wa mawakili wanaowatetea washitakiwa Joseph Tadayo. Mawakili wengine wa utetezi ni Michael Nyaro, Mafuru Mafuru, Sam Mapande na Elisa Msuya. Mramba na Yona wanashitakiwa kwa kuisababishia hasara serikali kutokana na kuisamehe deni Kampuni ya Alex Stewart ya Uingereza la Sh bilioni 11.7.

Washitakiwa hao pia wanadaiwa kuipendelea kampuni hiyo na kuipatia mkataba wa miaka miwili na kisha kuiongezea mkataba mwingine wa miaka miwili kinyume cha taratibu za manunuzi ya serikali. Habari zilizopatikana jana zimethibitisha shauri limepangwa kwa Jaji Njegafibile Mwaikugile ambaye uamuzi wake unaweza kuwasaidia washitakiwa kulegezwa masharti au anaweza kuendeleza masharti yaliyotolewa na Mahakama ya Kisutu.

Mramba na Yona ambao walipandishwa kizimbani kwa mara ya kwanza siku ya Jumanne wiki hii, bado wanaendelea kusota katika Gereza la Keko baada ya kushindwa kutimiza masharti ya dhamana. Sharti linalodaiwa kuwa gumu ni lile lililotolewa na Hakimu Mkazi Hezron Mwankenja la kuwataka kila mshitakiwa kutoa fedha taslimu kiasi cha Sh bilioni 3.9 ili aweze kuwa nje kwa dhamana.

Licha ya washitakiwa hao kuwa na wadhamini wa uhakika, lakini sharti hilo lilitosha kuwafanya wanasiasa hao kuendelea kuwa chini ya ulinzi wa askari magereza hadi hapo watakapokamilisha masharti hayo. Masharti mengine ambayo sio magumu kwa washitakiwa ni kukabidhi hati zao za kusafiria kwa waendesha mashitaka, kutosafiri nje ya Mkoa wa Dar es Salaam hadi waruhusiwe na mahakama na kuwa na wadhamini wawili watakaothibitishwa na mahakama hiyo.

Mawakili hao wa utetezi wanadai kuwa kifungu 148 (5e) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA) ambacho kinazungumzia dhamana, kinatoa fursa kwa mahakama kutoa sharti badala ya washitakiwa kuweka fedha taslimu watoe hati ya mali yenye thamani ya fedha inayodaiwa kupotea. Sheria hiyo inatamka kuwa dhamana ya mshitakiwa anayetuhumiwa kuiba kiasi cha fedha zinazozidi Sh milioni 10, dhamana yake ni lazima iwe fedha taslimu ambazo ni nusu ya kiasi kilichoibwa au kupotea.

Lakini mawakili wanadai sheria hiyo inafafanua kwa uwazi kuhusiana na mshitakiwa kupewa mbadala wa sharti hilo ambalo ni kutoa hati yenye thamani ya kiasi kinachotajwa na mahakama. Kutokana na mawakili hao kutoridhika na uamuzi wa Hakimu Mwankenja juzi waliandika barua ya kuomba kupatiwa mwenendo wa shauri hilo, ili wawasilishe maombi Mahakama Kuu ya kupinga uamuzi huo wa Mahakama ya Kisutu.

Mramba ni Mbunge wa muda mrefu wa Rombo na amewahi kuwa Waziri wa Miundombinu na Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko katika Awamu ya Nne. Lakini kwa miaka 10 ya utawala wa Rais Mkapa, Mramba alikuwa ndiye Waziri wa Fedha ofisi anayodaiwa kuitumia vibaya na mwenzake Yona ambaye alikuwa Waziri wa Nishati na Madini kwa kuipendelea kampuni hiyo ya Uingereza, kitendo kinachokiuka sheria za nchi.

Chini ya mkataba wake na Serikali ya Tanzania, Kampuni hiyo ilikuwa inalipwa asilimia 1.9 kati ya asilimia tatu za mrabaha ambao Serikali ya Tanzania inalipwa na kampuni zinazochimba madini ya dhahabu nchini. Serikali katika kesi hiyo inawakilishwa na wakili Boniface Stanslaus na Joseph Hole wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru).
 
Back
Top Bottom