S. S. Phares
JF-Expert Member
- Nov 27, 2006
- 2,138
- 88
...a republican thinking democrat...
Classic..!!
...a republican thinking democrat...
Nimepita sehemu nimeokota hii comment. Pesa Mbili Mramba na Daniel Yona kama wangetumia japo asilimia ndogo ya pesa zilizopotea kukarabati mahakama na mahabusu leo wangekuwa miongoni mwa watanzania ambai wangefaidi na matumizi ya pesa hizo. Sasa wao hawakutaka kukarabati wamekaa kwenye mabenchi yaliyochoka, kuta zilizochubuka.
Okay Wakuu Yaliyopita Si Ndwele, Tunasonga Mbele tena in full speed maana kuna mengi ya ku-cover,:-
- According to the dataz, ni kwamba leo mahakamani hakimu alikuwa anajitayarisha kutoa dhamana, lakini msaidizi wake mmoja akamletea ujumbe wa simu kutoka somewhere, wenye maagizo kwamba hakuna dhamana mpaka next hearing! Lazima waende rumande!
- tunajaribu ku-locate ule ujumbe wa simu ulitokea wapi? Nitarudi soon!
Hapa nilipo ni Alfajiri lakini naifuatilia kesi hii kwa karibu kabisa. Nadhani kama muendesha mashtaka ana roho mbaya basi muda kama huu ni kufile kama between 5 and 10 counts kwa kila mmoja..
...lakini uwongo mbaya na nilikuwa shocked na hali ya ile ofisi ya mahakama kisutu,yaani ni chafu ile mbaya kama nyumba ya mbuzi,ile ofisi inafanya hata mahakama isiheshimike,na askari wenyewe wamejaza vitambi tuu na wale wengine sijui lawyers wao na misuit yao sijui ya kushona,na ukitoka nje ya mahakama ni mavumbi matupu..yaani zile picha za michuzi ni story kuliko hao waliokamatwa!
.................... mi hata kama Mramba atatoka kesho kukaa kwenye lile bench la Kisutu is no JOKE!!!!!!!!! GUYS wote picha mmeona amekaa kwenye bench!!!!
Tusisheherekee sana kufikishwa kwa samaki wakubwa mahakammani, serikali imekurupuka ili kurejesha imani ya wananchi kwa JK na serikali yake.
Nimesema imekurupuka kwa sababu it had all the time to complete investigation kabla ya kuwafikisha mahakamani.
Jamani kesi ni kesi, inategemea na mawakili wa utetezi. Kwa sheria zetu mazingira ya rushwa pekee hayamtii mhusika hatiani.
Kesi iko mahakamani tusijadili ili JF isittuhumiwe kwa kosa la kuingilia uhuru wa mahakama.
Pia tusihukumu ili tusije kuhukumiwa. The law of 'karma' does exist.
BigMan,nasikia mramba alishaanza kuuza baadhi ya mali zake miezi sita iliyopita kwani alishanusa kwa kupata tips ndani ya system miongoni mwa mali hizo ni pamoja na kibo hotel iliyopo arusha
Halafu talking about abuse of office....is there any more abuse of office than the head of government starting a business (or businesses rather) while still occupying the state house? Should the rungu of justice land from the top down...?
Welcome Back Bro!Okay Wakuu Yaliyopita Si Ndwele, Tunasonga Mbele tena in full speed maana kuna mengi ya ku-cover,:-
1. According to the dataz, ni kwamba leo mahakamani hakimu alikuwa anajitayarisha kutoa dhamana, lakini msaidizi wake mmoja akamletea ujumbe wa simu kutoka somewhere, wenye maagizo kwamba hakuna dhamana mpaka next hearing! Lazima waende rumande!
- tunajaribu ku-locate ule ujumbe wa simu ulitokea wapi au kwa nani?
2. According to the dataz, originally Mtandao walipanga kuchota shillingi Billioni 30 tu kwa ajili ya uchaguzi, lakini waliotumwa kuzichota wakaongeza kwa ujanja na kufikia Billioni 133, kwa hiyo Billioni 103 zilichotwa na wajanja na kumfanya Diallo kumpa onyo kali sana Muungwana, kwamba iwapo hatafikishwa mtu kwenye sheria, basi he should forget 2010.
3. Hapa Mgonja is missing kwa sababu original plan ilikuwa ni Mgonja na Mramba kwanza yaani leo, kama nilivyotabiri huko nyuma nilisema wafanyabiashara kwanza, baadaye kuna awamu ya pili ya viongozi ndio hii imeanza, bado hatujafanikiwa kujua what happened to Mgonja lakini soon tutakua nazo.
4. Now this thing ukweli ni kwamba inaelekea kwa one and the only, Mkapa. According to the dataz ni kwamba Mkapa alikuwa mjanja sana kwani katika biashara zote alizoanzisha akiwa Ikulu, siku zote alijiweka kwenye makaratasi kama rais, na kufanya kazi ya kumfikisha kwenye sheria baada ya kutoka kua ngumu, lakini inasemekana kuwa alifanya kosa moja kubwa sana, kwenye makaratasi ya Kiwira alikosea na kuandika Mjasiriamali,
- Ndani ya serikali na bunge, kuna wanaoamini kwamba wanaweza kumnasa kwenye hilo, kwa kuanzia huku mbali sana na kina Mramba na yona, na eventually kumfikia kupitia Kiwira labda rais aingilie kati, hapa Mzee Mboma lazima ajiweke sawa maana they are coming.
5. Kwenye meza ya Mwenyekiti wa CCM taifa sasa hivi, according to the more dataz kuna ishu ya kuwafukuza wale wote waliohusika na Richimonduli, na majuzi alikumbushwa na wajumbe wengi wa NEC, this too could be coming soon...........!
- Anyways, long day simu na mawasiliano mengi sana, sasa naomba kwenda kupumzika, tutakutana kesho with more dataz kuhusu yaliyojiri leo, what a day leo bongo ilikuwa kama ile siku ya Kujiuzulu kwa Lowassa, wananchi wana wasi wasi kwamba something might happened, leo wananchi wengi wamenitumia ujumbe kwamba hawa viongozi wa kina Mama Ks vipi watakuwa na usalama after this? Nitawatafuta kesho kujua mawazo yao, binafsi nina a mix feeling lakini by kesho nitakuwa na a lot to say!
6. Na by the way, nina tetesi za Kubenea kuondoka bongo na kwenda kusoma India, kama ni kweli sijui Mwanahalisi itakuwaje na hasa wakati huu wa mafisadi na sheria.
Ahsante Wakuuu, Kesho JF mbele!