MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 887
Tusifurahie sana, inaweza kuwa cinema za hollywood. Nchi hi usanii mwingi, tungoje hatma je itakula kwao au kwa wananchi.
...Nadhani hata huyu Kimei atakuwa ana mnuko wa Ufisadi kwa kiasi fulani michongo mingine ya EPA iliyopitishwa CRDB huenda nae alikula ganji...akaunti nyingine zilifunguliwa tarehe Tarehe 01.Januari.......????????????!!!!!!!!!!BigMan,
Kibo Palace kishaiuza? Kamwuzia nani, Kimei?
Kwani tangu Tanzania izaliwe kuna mtu ameshatiwa hatiani kwa kosa la kutumia madaraka vibaya? Hakuna! Kwanza kabisa, kutumia madaraka vibaya ni kosa la jinai? Kosa la jinai litatokana na kile unachofanya baada ya kutumia madaraka vibaya. Kwa mfano, ukitumia madaraka vibaya ukadai hongo, basi kosa la jinai ni huko kudai hongo, na sio kutumia madaraka vibaya.
Kuna wakati alishtakiwa Nalaila Kiula kwa makosa kama haya ya kutumia madaraka vibaya. Halikonekana kosa la jinai, na akaachiwa.
Mfumo wetu ni wa kumfukuza kazi mtu anayetumia madaraka vibaya. Ukitaka kumpeleka mahakamani na kumtia hatiani labda uwe na ushahidi wa kuonyesha aliiba, au alipokea hongo. La sivyo ni kupoteza wakati tu.
i hear you......kwani tangu tanzania izaliwe kuna mtu ameshatiwa hatiani kwa kosa la kutumia madaraka vibaya? Hakuna! Kwanza kabisa, kutumia madaraka vibaya ni kosa la jinai? Kosa la jinai litatokana na kile unachofanya baada ya kutumia madaraka vibaya. Kwa mfano, ukitumia madaraka vibaya ukadai hongo, basi kosa la jinai ni huko kudai hongo, na sio kutumia madaraka vibaya.
kuna wakati alishtakiwa nalaila kiula kwa makosa kama haya ya kutumia madaraka vibaya. Halikonekana kosa la jinai, na akaachiwa.
mfumo wetu ni wa kumfukuza kazi mtu anayetumia madaraka vibaya. Ukitaka kumpeleka mahakamani na kumtia hatiani labda uwe na ushahidi wa kuonyesha aliiba, au alipokea hongo. La sivyo ni kupoteza wakati tu.
Mramba alikuwa amepiga lapa chini? ama ni macho yangu?
Jamani, mimi nadhani tunampa JK ujiko ambao pengine hastahili ingawa ukweli ni kuwa amejitahidi kufanya kile ambacho Mtangulizi wake Mkapa hakuthubutu kujaribu.
Nionavyo mimi bado JK ana kazi kubwa zaidi ya kufanya, the list is too long, I say too long! Yaani hayo aliyoyafanya kwa hali ilivto tete hapa nchini ni lazima afanye tu hata kama hataki vinginevyo hana haki ya kuwepo madarakani hata kabla ya 2010!
Bado tunasubiri wafuatao kutoka kwa JK ili nao watinge Mahakamani:-
1. Kagoda (Rostam, Manji au wote)
2. Chenge wa Vijisenti (Sijui anasubiri FSO?)
3. Mk...
wengine jazeni wenyewe
...so far so good,prosecutor sasa kuwaweka hatiani na wezi wote wa mali za walipa kodi naona mmepata message,najua kina Karamagi,Rostam,Lowassa etc huko waliko wameanza kujikojolea maana Richmond nasikia iko kwenye finals na anytime warrant zitatoka....this is good for our Nation na itasaidia kupunguza umaskini sana!
Tusifurahie sana, inaweza kuwa cinema za hollywood. Nchi hi usanii mwingi, tungoje hatma je itakula kwao au kwa wananchi.
Kaka unaweza kuwa sahihi na pia unaweza kuwa si sahihi. Kosa la jinai ni pale linapoangukia kwenye kuvunja sheria zilizopo. Je, kutumia madaraka vibaya kuko katika sheria gani? Je, kwa kutumia madaraka vibaya na kusamehe kodi ya mapato yenye jumla ya Sh bilioni 11 si kosa la jinai? Je, kutumia madaraka vibaya na kuongeza mkataba ambao umeisababishia serikali kulipa/kumega mabilioni kutoka katika mapato kidogo (3%) ya mrahaba wa dhahabu si kosa la jinai? Je, kutumia madaraka vibaya na kudharau mfumo mzima wa serikali ikiwamo TRA, kamati ya ushauri na Mwanasheria Mkuu si kosa la jinai?
Majibu yake utayapata katika Sheria iliyounda Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa na pia Penal Code.
Mm furaha yangu itakamilika endapo Sheria ikachukua mkondo wake wa kweli kwa hawa waheshimiwa na cyo kwa mchezo wa kuigiza. Nitapenda wapate adhabu inayo wastahili kutokana na uzembe wao kazini, na wasipate mwanya wa kukwepa kuvaa magwanda ya magereza.
1. According to the dataz, ni kwamba leo mahakamani hakimu alikuwa anajitayarisha kutoa dhamana, lakini msaidizi wake mmoja akamletea ujumbe wa simu kutoka somewhere, wenye maagizo kwamba hakuna dhamana mpaka next hearing! Lazima waende rumande!
Chenge hana kitu kama hawa jamaa! Ndo maana akasema vijisenti! Hawa Yona na Mramba wana shilingi bwana. Nasikia kwa kuogopa kurushwa na Shirima wakafanya mipango watoto wakaoana. Precision bwana imewaunganisha watu!