William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Mkuu FMES: nimeonyesha sehemu ninazokubaliana na wewe 100% na ni maswali niliyoyauliza mapema kabisa. Kuhusu hii kuwa cabinet decision nimeishikia sana bango kwa sababu kuna sababu cabinet decisions zinafanyika hii ni ku-create collective responsibility, na kuhakikisha kuna mwafaka ili baadaye wasirukane kama sasa hivi. Na kama cabinet inastahili kushtakiwa basi wote washtakiwe akiwemo JK mwenyewe!
Sorry I am not bought on these charges na ninaona ni usanii mtupu na si kwamba Mramba na Yona wamekubalikuwa kafara bali ni kwamba wanatumika kama pawn in a chess game of powerful parties.
Mkulu Susuviri,
Yakhe hata mimi hizi habari ndio kwanza nimezipata leo katika kupekua pekua, nimefanikiwa kuongea na mkulu mmoja anayesubiri kukamatwa ndiye aliyenipa hizi zote leo.
Ninasema hivi wananchi tunahitaji kua macho sana na kinachoendelea, yaani kuchambua wka makini kesi za hawa watuhumiwa ili tusije lishwa sumu, leo nime-raise hii ishu sana na Mkulu mmoja wa serikali kwamba mbona kesi hakuna kwa kina Mramba na Yona? Wakanijia juu sana kwamba nina haraka sana na hukumu, kwamba nisubiri wote wanakwenda na maji haponi mtu, nikawaahidi kwamba tunafuatilia hili kwa makini na macho mawili kwa hiyo mkuu tupo ukurasa mmoja, nataka kuona wengine zaidi wakishikwa.
Ya rais kuhusika yamesemwa sana, sasa tunataka kuona walioshikwa, wakijitetea na kusema ukweli kwenye kujitetea, anyways ninasubiri kukutana uso kwa uso na mama k ambaye nitakua naye for the next one week in three days, ninaamini ukweli mwingi utakua wazi after!