Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,229
Inabidi hiyo kesi ya huyo mwizi Rostam aziz pia mali zake zitaifishwe kulipia Interest ya hizo hela zetu
As usual, watanzania tumeshaanza kusifia mafanikio hewa, yaleyale ya kumsifia baba/mama kwa kumnunulia mwanae nepi. Interesting...
Tayari wako Keko? Je watapewa special treatement au nao watalala ndani ya vile viselo kama mahabusu wengine wote?
Ninavyoona ukweli ni kuwa jamaa hawa wanaweza kuja kukutwa na hatia zitakazokuwa na impilcations kwa viongozi wengi waliokuwamo kwenye awamu ya tatu, huenda na kumgusa Kikwete mwenyewe; tusishangae akiamua kufunika kombe haraka haraka.
Naambiwa JK amelazimika kwenda route hii maana kutofanya hivyo, serikali ijayo ingemsweka ndani yeye.
Japo hii yaweza kuwa sanaa, ni jambo jema sana kwamba wananchi sasa hawatayumba kuamini kwamba kuna watu wako juu ya sheria.
Tunachohitaji sasa ni Hakimu "mwenye kichaa" na ujasiri atakayebadili kesi kuwa ni ya kuhujumu Uchumi.
.
Hii habari niliandika wiki iliyopita wakati walipotakiwa kupelekwa mahakamani lakini ikaahirishwa sababu ya Send off ya mtoto wa Mramba.... yote yatatimia.
Charge zenyewe hizi hapa,
Wakuu wanasheria, tuelimisheni penalty ya such offences, iwapo mtuhumiwa atakutwa guilty.
Harusi ya mwanae nasikia bado haijafanyika. Kama hivyo ndivyo, hizi habari za kuahirishwa ukamatwaji wa Mramba kwa sababu ya send-off zitakua ni za kupikwa na pengine zenye malengo ya kufukia uvundo fulani.
Inasemekana harusi imepangwa kufanyika Jumamosi? Jamaa analipwa kisasi?
Btw, Rostam na Manji wako lined-up kwa mujibu wa habari za mtaani!
.
Ndugu Lazy Dog, taarifa unayo pishana nayo ni send off na wala si harusi, na send off imeishafanyika sasa.
Charge zenyewe hizi hapa,
Wakuu wanasheria, tuelimisheni penalty ya such offences, iwapo mtuhumiwa atakutwa guilty.
As usual, watanzania tumeshaanza kusifia mafanikio hewa, yaleyale ya kumsifia baba/mama kwa kumnunulia mwanae nepi. Interesting...
Ok imeeleweka
Nimeshindwa kujieleza vizuri hapo juu.
Swali - kwanini wakaacha kuahirisha wasubiri harusi pia ifanyike?
.
Hapa ni mchezo wa kuigiza unaendelea. Bado nina mashaka kidogo na hili jambo.
Serikali ilishajipanga katika hili ndiyo maana ilijenga vyumba VIP kule magerezani. Hawa hawafikishwi popote zaidi ya hapo mahakamani.
Kama kweli serikali iko serious basi ianze kutaifisha mali za Mramba na Yona kuzipiga bei hadharani. Na bila kuchelewa Mkapa apelekwe rumande kwani alifanya makosa kama Mkapa na wala si Raisi, hivyo suala la immunity halipo tena.