Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

Jamani, mimi nadhani tunampa JK ujiko ambao pengine hastahili ingawa ukweli ni kuwa amejitahidi kufanya kile ambacho Mtangulizi wake Mkapa hakuthubutu kujaribu.

Nionavyo mimi bado JK ana kazi kubwa zaidi ya kufanya, the list is too long, I say too long! Yaani hayo aliyoyafanya kwa hali ilivto tete hapa nchini ni lazima afanye tu hata kama hataki vinginevyo hana haki ya kuwepo madarakani hata kabla ya 2010!

Bado tunasubiri wafuatao kutoka kwa JK ili nao watinge Mahakamani:-
1. Kagoda (Rostam, Manji au wote)
2. Chenge wa Vijisenti (Sijui anasubiri FSO?)
3. Mk...
wengine jazeni wenyewe

Umepigilia msumari haswa. Kama ilivyo kuwa South Africa walivyo mwachia Nelson Mandela sio kwamba walipenda,bali makaburu walishindwa kuhimili vugu vugu la ukombozi/ubaguzi,blacks wakaja na slogan one white man (Boer) one Bullet.
Na sasa hivi Srekali na Viongozi wake wanalazimika kuchukua hatua kama hii ili kujaribu ku-difuse pressure.
 
Hii list ina mapungufu kabla ya kuongezwa majina ya Lowasa, Karamagi na Rostam. Kulikuwa na maswali. Inawezekanaje Lowasa, Karamagi na Rostam wasiwamo wakati kipindi list ikitolewa ndio Richmond na Buzwagi ilikuwa HOT? K

Hivi inajulikana hii orodha ilitengenezwa lini hasa?
 
TWO former senior cabinet ministers appeared before the Kisutu Resident Magistrate’s Court in Dar es Salaam today charged with abuse of office and occasioning loss of over 11bn/- to the government.
They have been remanded for failure to meet bail conditions.

Mramba Basil Pesambili and Daniel Aggrey Ndhira Yona, who were Minister for Finance and Minister for Mineral and Energy, respectively are facing a total of 13 counts. They pleaded "not guilty" before Resident Magistrate Hezron Mwankenja.

Thought they appeared composed on the dock as the prosecution read the charges against them, Yona was sweating profusely and kept wiping his face the whole day. Members of the public booed at them as they were being taken to remand.

The magistrate granted them bail, but on stringent conditions requiring each to deposit cash 3.9bn/- and secure two reliable sureties.

He also ordered them to surrender their passports and restrained them to leave the city without court’s permission.

None of them met the conditions and were ordered to remain in remand until December 5, when their case will be mentioned.

Investigations into the case have not been completed, the prosecution, led by a team of five prosecutors told the court.

They are Principal State Attorney Boniface Stanslaus, Senior State Attorney Frederick Manyanga and three officials from the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB), Hole Joseph, Benn Linkon and Tabu Mzee.

The then ministers, who are defended by advocates Michael Ngalo, Joseph Tadayo, Sam Mapande, Mafuru Mafuru and Elisa Msuya, arrived at the court premises in a PCCB vehicle, Toyota Land cruiser GX registration number T 319 ATD.

They also boarded the same vehicle when were taken to Keko Remand Prison. Their arraignment was witnessed by several people who jammed at the court premises early in the morning after learing that the duo would be brought there to answer criminal charges.

The charges against the two former ministers are not related with the scandal surrounding the External Payment Arrears (EPA) account of the Bank of Tanzania as previouslyassumed by many.

Both accused are facing jointly five charges of abuse of office and one count of occasioning loss to the government, while Mramba alone faces eight similar counts.
It is alleged that the duo committed the offences between 2002 and 2007 at their respective offices.

The prosecution alleged that between August 2002 and May 28, 2005, being employed in public service and serving as ministers, the duo abused the authority of their offices by doing several decisions.

They include arbitrarily procured M/S Alex Stewart (Assayers) UK and its subsidiary company, M/S Alex Stewart (Assayers) Government Business Corporation to sign and execute gold production assaying agreement in Tanzania in contravention of Public Procurement Act and Mining Act, respectively.

The prosecution alleged that the former ministers left the Alex Stewart (Assayers) Government Business Corporation to sign an addendum extending gold production assaying agreement for two years from June 14, 2005 to June 23, 2007 in contravention of the said Acts.

It is alleged further that the duo invited Dr. Enrique Sugura of the said company to formalise the two years extension before the Government Negotiation Team was convened to work on the matter.

The accused also abstained from attending the mining assayer’s fees issue and submitting the agreement to the Attorney General for vetting as it was recommended by the team consequent upon which act an addendum extending the gold production assaying agreement for two years.

Between June 1003 and May 28, 2005, serving as ministers, willfully and by their failure to take reasonable care or discharge their duties in reasonable manner, the duo unjustifiably allegedly processed a gold production assaying agreement with a clause number 4.3.1.

The prosecution alleged that the said clause led to unjustified tax exemption in favour of M/S Alex Stewart) Assayers) Government Business Corporation, thereby occasioning loss to the government to the tune of 11,752,350,148/-.

While Mramba alone, the prosecution alleged, between October 10, 2004 and November 15, 2005, as Minister for Finance, abused the authority of his office by arbitrarily doing several unjustified decisions.

They include ignoring the recommendation by the Tanzania Revenue Authority (TRA) not to grant tax exemption to M/S Alex Stewart Assayers) Government Business Corporation.

He also allegedly processed and issued Government Notices (GN) No. 423/2003, 424/2003, 497/2004, 498/2004, 377/2005,378/2005, which granted tax exemption to the whole of withholding income tax payable by the said company contrary to the recommendations given by the TRA.

Between 2003 and 2007 in the city, as Minister for Finance, willfully and by his failure to take reasonable care of to discharge his duties in a reasonable manner, Mramba unjustifiably allegedly signed the said government notices.

The said notices, according to the prosecution, had the effect of exempting the said company from paying income tax, thereby occasioning loss to the government of the said 11bn/-.
SOURCE:MICHUZI BLOG
 
..wananchi wasingepiga kelele JK asingechukua hatua yoyote ile.

..kumbukeni kwamba JK alimteua Mramba kuwa waziri wa miundo mbinu.

..JK pia alimteua Daniel Yona kuwa mwenyekiti wa bodi ya utalii.

..JK ameona kitumbua kinakaribia kuingia mchango, sasa ndiyo anachukua hatua.

..the way forward is to keep on putting pressure on Kikwete, kwamba asipokuwa makini Uraisi utamponyoka 2010.
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

JMK, hivi sasa ANATISHA!... Kaamua kujitoa muhanga kwelikweli.

Wengi wetu hapa hatuwezi hata kumnyooshea kidole au kumuongelea in public muhalifu anaejulikana sababu ya woga, let alone kumtupa mahakamani a former collegeu in government.... kazi kupiga kelele behind the keyboard tu.

Alichofanya JMK kinahitaji balls kwelikweli, hasa kwa culture yetu ya kujuanajuana.

Kwa wanaomfahamu Pesambili, na ile jeuri yake ya kuwa wao ndiyo wazee wa nchi.(make no mistake, huyu mtu ni mzito kwelikweli kwa siasa za TZ).

Halafu leo kumfanya atinge kisutu, mchana kweupeee na KANDAMBILI!... halafu akae kwenye mabenchi machafu yale....halafu atoke hapo apelekwe keko!

Hakika ni patashika nguo kuchanika,...kwa pesambili huu ni udhalilishaji beyond comprehension!

Sioni ni kwa vipi atakua anajifanyia usanii utakao ruin his remaining life forever(kumbukeni
huyu mtu ana jeuri ya power kupindukia)

Kama isingekua kesi yenye uzito,... hata mahakamani ISINGEFIKA. Kumbukeni kua JMK mwenyewe alimpa uwaziri wa miundombinu. Leo hii kumpa ngumi za uso namna hii,...inanifanya niamini pengine watanzania hatumjui JMK kama tunavyodhani.

You've said it very well .Of all the posts this one says it all.MANY THANKS.
 
Tunahitaji pia kuona hawa wakipelekwa mahakamani......
Gray Mgonja
RUGEMARILA
Mama Ndossi

.....and list goes on
 
Tunahitaji pia kuona hawa wakipelekwa mahakamani......
Gray Mgonja
RUGEMARILA
Mama Ndossi

.....and list goes on

Walikuwa wametishia kumshitaki Dr. Slaa, lakini wakagwaya; kumbe walikuwa wanajuwa kuwa dawa yao iko jikoni.
 
Thread hii imekua kwa kasi ambayo sijawahi kuona tangu niwe mwanachama kwenye forum hii.

Inaelekea matukio kama haya ndiyo tumekuwa tunasubiri kwa hamu sana kuthibitisha nguvu mpya na kasi mpya.
 
Kama unahitaji balls kwelikweli ili kuwaburuza mahakamani watu wanatuhumiwa kwa makosa ambayo yako wazi kiasi hiki, uonmgozi wako haufai. haya mambo yalipaswa kufanyika siku nyingi zilizpotia. ilitakiwa wakati aidha watu wawe wameshahukumiwa au kesi ipo hatua za mwisho mwisho

Utafungua tu mashitaka na kuhukumu bila kufanya uchunguzi wa kina?...

Tusiongee bila kufikiri....hii nadharia ya alfu lela ulela kuwa atakuja mtu siku moja then within one year, atakua kawashitaki na kuwafunga wahalifu wooote...inaturudisha kwenye mawazo mgando.... lets be REALISTIC
 
Kwa mtaji huu nafikiri kwa wale ambao pia waliuza mashirika ya umma wa Watanzania kwa bei ya ubuyu wakae mkao wa kwenda jela. Pia wale ambao waliyaua kwa kutengeneza fedha za kufuru wasombwe. JK jenga magereza ya kutosha wape mahakimu na askari wa magereza posho ya kutosha kushughulikia uozo wote. Tunataka Tanzania mpya yenye kuangalia maendeleo ya kizazi hiki na kijacho.
 
Nampongeza JK kwa hatua hiyo moja,bado tuna safari Ndefu tunataka kuwaona akina Kingunge,Rostam Aziz na mzee wako Mkapa pamoja mkuu wa usalama wa mafisadi Apson Mwang'onda mahakamani

Warning: Jk na serikali yako tulishuhudia usanii mliocheza wakati ule wa braza Ditto(RIP),sasa msithubutu kuurudia katika hii game.Safari hii ni ama zao(Zenu) ama zetu.Kwanza Wananchi wa Rombo waandamane kumtaka huyu m mwizi kuachia madaraka haraka sana,aachie ubunge uchaguzi mwingine ufanyike.Huu ni udhalilishaji mkubwa,Mramba hafai kushika ofisi ya umma
 
mhmm! yaaani anaruhusiwa kuhudhuria send off kwanza! kweli sheria ina heshima.

Sheria za bongo hizo!! Kuna za walala hoi na za mafisadi!!! Isije hii ikawa ni danganya toto njemba kujisafisha machoni mwa Watanzania kabla ya 2010. Tusubiri tuone mwelekeo wa kesi hii na kesi nyingine za mafisadi. Tusije kushangaa tukikatishwa tamaa na yatakayojiri katika kesi hizi.
 
Hivi mbona kesi wanazoshitakiwa hawa waheshimiwa zina "100%" watashinda?. Kesi za abuse of power?, kutoa misamaha ya kodi?, mbona hata mbilinyi alifanya hilo?. Tusubiri
 
Tunawahitaji pia akina kingunge,haka kazee hakana heshima yoyote kwangu tena
 
tunamtaka rostam aziz naye apande kizimbani otherwise huu ni mchezo wa kuigiza

Na bila kuwasahau Yusuf Manji, Mkono, MajiyaRukwa Mzindakaya, Karamagi, Lowassa, Chenge, Mkapa na mafisadi wengi wote.
 
As usual, watanzania tumeshaanza kusifia mafanikio hewa, yaleyale ya kumsifia baba/mama kwa kumnunulia mwanae nepi. Interesting...
 
Back
Top Bottom