Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

Pamoja na usanii wote wa JK, leo history was made. Mramba ni mtu mwenye nyodo. Anawaambia watanzania/wamiliki wa kampuni(Tanzania) kwamba ikibidi wale majani, lakini meneja aliyeajiriwa (raisi) lazima anunuliwe dege la kifahari.

Hivi wewe kama mmiliki wa kampuni unajisikiaje pale meneja uliyemwajiri anapotanua ilhali kampuni inaelekea kufilisika? Tafakari.
 
Long live JK, hiyo ndo "Rule of Law and Transparency" tunayoitaka. Tumeshachoka. Jamani wanaJF naomba mzidi kutumwagia uhondo huu maana wengine tuko huku ugenini lakini tunauchungu sana na nchi yetu. Niko Botswana na huwa numia sana kuona nchi hii ambayo inategemea madini aina moja tu diamond na uuzaji wa nyama ya ngombe pekee walivyotuacha kiuchumi. hata maisha ya mtu mmojammoja hatuwafikii hata chembe. wanauchungu na nchi yao na wanazisimamia raslimali zao kiuhakika bila uroho kama wa akina mramba. huku, ukisikia ving'ola na msafara sio rais bali ni madini yanapitishwa.siyo kwetu tunamlinda tu rais tunaacha mali zinachukuliwa na wajanja wachache. Lakini mwanzo mzuri, kwa mwendo huu nina imani tutafika siku moja.
 
I hope tutashuhudia mwisho wa hili saga.....maana na hawa wanaweza wakaja "kufa" kama Balali na Ditopile....
 
Nimejiuliza mara nyingi kwa nini Watanzania ndivyo tulivyo na jibu naanza kulipata taratibu kadiri hii thread inavyoendelea. Ninavyozidi kusoma maoni ya wengi wa wachangiaji, tumaini langu kwa taifa lazidi kufifia. Wadanganyika, oh wadanganyika, ni lini tutaamka katika hili lindi la usingizi. Wajukuu na watukuu wetu watapata wapi pa kuficha nyuso zao kwa mambo ya aibu waliyotenda babu zao. Nasubiri maandamano ya kumpongeza KJ na safari hii yatatanda nchi nzima kwa nderemo na vifijo na mwisho wa siku sauti zetu wengine zitafifia na kunyauka - tutatupa silaha zetu chini na kukubali kushindwa.
 
Hakuna umuhimu wa kumpa hongera yeyote Rais Kikwete mpaka pale Majambazi wote kutoka Chama Cha Mafisadi na Majambazi (CCM) yatakapofungwa jela na mali zao kutaifishwa. Huwezi kuniambia eti utaridhika tu pale kumuona Mramba amekalia benchi la Mahakama ya Kisutu halafu inakuja siku anaachiwa bila ya hatia yeyote. Hawa Majambazi wa CCM wameiibia sana nchi, ingekuwa vizuri kama Tanzania kungekuwa na sheria kama ya China ambapo hawa wahujumu Uchumi na wala rushwa wangepigwa risasi mpaka kufa pale uwanja wa Taifa (execution style)

Kikwete bado sana tunahitaji utendaji zaidi wa Kazi kutoka kwako. Ulichaguliwa na mamilioni ya watanzania wakitegemea utawala wako utafuata kanuni na sheria za nchi.

Mazee...wewe utawaweza wa bongo....yaani wanaridhika na vitu vidogo vidogo mno. Expectations zetu kwa kweli ziko chini mno. Mimi nasema siku ya siku ikifika (kama itafika) hawa jamaa wataachiwa huru kwa vi technicality na wataendelea kula maisha. Pili siamini kama hawa ndio peke yao wamekula fedha za umma. Kikwete mwenyewe kuna mashaka. Mkapa ndio usiseme kabisa...wingu la suspicion ni nene mno. Sasa kwa nini hawa wawili wazame peke yao.....

I'm still convinced at the end of the day nothing major will happen to them. I stand to be (pleasantly) proved wrong.
 
I'm still convinced at the end of the day nothing major will happen to them. I stand to be (pleasantly) proved wrong.

...Barack Obama is the 44th President of the united States of America!
 
...Barack Obama is the 44th President of the united States of America!

Ona na huyu naye....bado anasherehekea ushindi wa Obama.....

Haya harakisha utume maombi ya kuwa houseboy wake.....
 
Mazee...wewe utawaweza wa bongo....yaani wanaridhika na vitu vidogo vidogo mno. Expectations zetu kwa kweli ziko chini mno. Mimi nasema siku ya siku ikifika (kama itafika) hawa jamaa wataachiwa huru kwa vi technicality na wataendelea kula maisha. Pili siamini kama hawa ndio peke yao wamekula fedha za umma. Kikwete mwenyewe kuna mashaka. Mkapa ndio usiseme kabisa...wingu la suspicion ni nene mno. Sasa kwa nini hawa wawili wazame peke yao.....

I'm still convinced at the end of the day nothing major will happen to them. I stand to be (pleasantly) proved wrong.

Mi nilishakwambia ungebaki Democrat, because you are too reasonable to be GOP.
Lakini seriously, I absolutely agree with your statement hapo juu! Tatizo kubwa ni kwamba wabongo tumeset very low expectations.
Alafu naomba kuuliza kuajiriwa kwa hiyo kampuni ya Alex Stewart si ilikuwa ni cabinet decision? Na kama ilikuwa cabinet decision, it makes it collective responsibility and every member of the cabinet is guilty and that includes.... JK himself!
This doesn't make sense. Wangeweza kupata charges nyingine nyingi za kuwashtaki (maana kama kuiba wameiba sana a good example someone brought up Kiwira) lakini charge hii ya abuse of office is very loose and difficult to define because they will say we were misled by experts in the ministry. Sasa mtarudi kuwashtaki wakurugenzi na mamesengers!
Whichever way I look at it, this is just drama, with all the actors wearing their costumes and masks, once the show is over, everybody will go home and continue with their usual business..... except wabongo tutaendelea kushangilia eti ni historic... kwani Nalal Kiula si nayo ilikuwa precedent and historic?
Alafu kuna wapambe wamekuja hapa kumsifu mkulu na hawataki kuleta critical thinking, but chonde, chonde watanzania wenzangu! 2010 msije mkarogwa na kuipa kura Chama cha Mafisadi na kiongozi wao mkuu!
 
Ndio hata mimi niliposhangaa Mazee, eti mtu anadiriki kusema kwamba amesharidhishwa na kila kitu na hatojali hata matokeo ya kesi kisa tu amemuona Fisadi Basil Mramba na Daniel Yona kwenye benchi la mahakama ya Kisutu. Ni kweli wanaotuita wadanganyika hawakukosea, nadhani tuna matatizo sana na uwezo wetu wa kung'amua mambo ni mdogo sana.

Na ni kweli usishangae kuanzia kesho kutakuwa na maandamano yanaandaliwa kwa ajili ya kumpongeza Kikwete wakati watu hawajui kama wanapigwa changa la mamcho au la.

Nasema tena, hakuna hongera yeyote kwa Kikwete kutokana na hawa Majambazi kufunguliwa mashitaka.
 
[QUOTE=korosho;328855]Katika mashitaka yote 13, hakuna sehemu inayotaja shitaka la ufisadi au rushwa.

Yote yamelenga zaidi abuse of power na maadili ya utumishi....Unless mnishauri vinginevyo, sioni kikubwa katika hayo. Hii inaweza ikawa ni sinema nyingine. Yes, wakubwa hawa kufika mahakamani ni news, lakini we need to see more than that, kwa sababu wananchi wa kawaida, we bear more than that.[/QUOTE]

Mkuu,

katika sheria zetu za JMT, hakuna shitaka linaitwa SHITAKA LA UFISADI.

Ufisadi ni mjumuisho wa uhujumu uchumi including rushwa na kutumia madaraka vibaya... that is ni neno la mitaani si rasmi kisheria.
 
Ndio hata niliposhangaa Mazee, eti mtu anadiriki kusema kwamba amesharidhishwa na kila kitu na hatojali hata matokeo ya kesi kisa tu amemuona Fisadi Basil Mramba na Daniel Yona kwenye benchi la mahakama ya Kisutu. Ni kweli wanaotuita wadanganyika hawakukosea, nadhani tuna matatizo sana na uwezo wetu wa kung'amua mambo.

Na ni kweli usishangae kuanzia kesho kutakuwa na maandamano yanaandaliwa kwa ajili ya kumpongeza Kikwete wakati watu hawajui kama wanapigwa changa la mamcho au la.

Nasema tena, hakuna hongera yeyote kwa Kikwete kutokana na hawa Majambazi kufunguliwa mashitaka.

LOL! Maandamano ya kumpongeza Rais na CCM kwa kuwafikisha mafisadi Mramba na Yona mahakamani bila hata ya kujua hatma ya kesi zao. Hilo linawezekana kabisa katika nchi yetu.
 
LOL! Maandamano ya kumpongeza Rais na CCM kwa kuwafikisha mafisadi Mramba na Yona mahakamani bila hata ya kujua hatma ya kesi zao. Hilo linawezekana kabisa katika nchi yetu.
Nakwambia Bubu utasikia tu wewe subiri, wabongo tuna matatizo sana.
 
Mi nilishakwambia ungebaki Democrat, because you are too reasonable to be GOP.
Lakini seriously, I absolutely agree with your statement hapo juu! Tatizo kubwa ni kwamba wabongo tumeset very low expectations.
Alafu naomba kuuliza kuajiriwa kwa hiyo kampuni ya Alex Stewart si ilikuwa ni cabinet decision? Na kama ilikuwa cabinet decision, it makes it collective responsibility and every member of the cabinet is guilty and that includes.... JK himself!
This doesn't make sense. Wangeweza kupata charges nyingine nyingi za kuwashtaki (maana kama kuiba wameiba sana a good example someone brought up Kiwira) lakini charge hii ya abuse of office is very loose and difficult to define because they will say we were misled by experts in the ministry. Sasa mtarudi kuwashtaki wakurugenzi na mamesengers!
Whichever way I look at it, this is just drama, with all the actors wearing their costumes and masks, once the show is over, everybody will go home and continue with their usual business..... except wabongo tutaendelea kushangilia eti ni historic... kwani Nalal Kiula si nayo ilikuwa precedent and historic?
Alafu kuna wapambe wamekuja hapa kumsifu mkulu na hawataki kuleta critical thinking, but chonde, chonde watanzania wenzangu! 2010 msije mkarogwa na kuipa kura Chama cha Mafisadi na kiongozi wao mkuu!

I never said I was a Republican or Democrat....

At first I was for Bill Frist...then he decided not to run...then I turned to Hill...then I reluctantly went for McCain....

FYI, I'm a Republicrat.....
 
I never said I was a Republican or Democrat....

At first I was for Bill Frist...then he decided not to run...then I turned to Hill...then I reluctantly went for McCain....

FYI, I'm a Republicrat.....

Sawa bana! You are still quite reasonable compared to your sympathy for the GOP! 😀
 
Hii mkamate mkamate hii pamoja na kuwafikisha baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi mahakamani ni publicity tu ili kujikosha machoni pa nchi wafadhili.
Kwetu sisi wananchi sasa ngoma ndo tunatakiwa kuiendeleza..Ni haki..Kwetu ni JUSTICE...Na justice si eti kuwafungulia mashtaka tu..No...Ni haki kwa mtanzania.
Kama wasipopatikana na hatia bado shuguli itakuwa haijaisha kwasababu watu watajiuliza..Pesa wamesharudisha halafu itakuwa vipi hawakuiba?
Kama hawakuiba wasingerudisha to begin with.
Nakubaliana na wale wote wanaoendelea na vigilance...Everybody should stay alert...Discipline is important but so as FOCUS.
La muhimu sasa ni kuangalia ni mashtaka gani wamefunguliwa ili tujuwe tunakoelekea maana ushahidi hata chinga walikuwa nao.
 
Back
Top Bottom