YESU amenipa kazi UN


Ukianza kupata mshahara mnono, usimwache. Pia kumbuka kumshukuru kwa matendo.
 
Sifa na Utukufu apewe Mungu baba aliye asili ya vitu vyote
 
there is something about the name Jesus......it is sweetest name of all
 

mkuu nimecheka sana hapo uliposema kuwa mimi sina dini. ok thanks for the advice lakini ndio uhuru wa kuongea huo. lakini kumbuka several times Yesu aliwazuia wanafunzi wake wasitaje yale aliyotenda ama kwao moja kwa moja au kwa watu walioleta matatizo yao mbali mbali, logic behind ilikua nini?,

kuna mengi sana lakini unatakiwa kujifunza jinsi ya kuchukua utukufu wa Mungu kwa namna nyingi si rahisi tu kusema Yesu amenipa kazi ukaishia hapo. kwani main objective ya Yesu kuja duniani ilikua kuja kutoa Earthly things? kwani mwanzo wa kufanya kazi ulikua ni nini? je wote walio huko walimuomba Yesu? au wali-compete wao kwa wao pasipo followers wa Yesu?
Please try to go to the next level spiritually for both of us to be on the same page?
 
Hongerasana mtumishi hakika jina la bwana lihimidiwe.
 
ukimwomba Mungu anakupa. Hongera sana. Remember u are blessed to bless others. Never forget where u are coming from
 
mungu baba=mungu mwana(yesu)=roho mtakatifu. Jumla yake ni muumba wa mbingu na nchi. Na ndio atupaye vipaji hivi tukiomba kupitia kwa mwanae yesu christu ambaye ndo njia ya uzima wa milele bila yeye ur fineshed complete.
 
Nami ninakuomba umuombe YESU Unayemuamini anisaidie nifanikiwe ndoto zangu. Kila la Kheri, usimuache YESU.
 

Hongera sana, kweli Yesu anaweza, jina lake lihimidiwe!
 

Je upo, unaendeleaje,
Nami nisaidie kijana wangu anatafuta kazi,
ni mwalimu wa hesabu;
Fanya tendo la UNABII na UTUME mwema.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…