mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,334
- 57,155
MABEYO asiingilie
Ha ha ha!MABEYO asiingilie
Kamuulize yeye ndugai,Sina nasaba na huyo mtu mwenye akili fupiKama haingiliwi alikuwa analilia nini jana.
Siyo kweli unachosema. Bunge ndiyo hupitisha bajeti ya recurrent and development. Wanaposema makusanyo yatakuwa Tsh 24 Trillion huku Bajeti ya mwaka ni Tsh 32 Trillion unadhani hiyo nakisi inatoka wapi?Nawewe Ni CCM au? Sisiemu hakuna kilaza Kama wewe asiyejua kuwa ndugayi (spika) Ni mhimili unaounda serikali, hivyo mama Hana mamlaka juu yake.
Mhimili wa bunge hufanya kazi independently bila kuingiliwa na mhimili wa urais au wa mahakama.
Njoo nikufundiashe somo ka uraia Uwe smart kichwani
Nawewe Ni CCM au? Sisiemu hakuna kilaza Kama wewe asiyejua kuwa ndugayi (spika) Ni mhimili unaounda serikali, hivyo mama Hana mamlaka juu yake.
Mhimili wa bunge hufanya kazi independently bila kuingiliwa na mhimili wa urais au wa mahakama.
Njoo nikufundiashe somo ka uraia Uwe smart kichwani
Hivi utaratibu wa kumwondoa Spika ukoje? Rais anaweza?Mama fukuza Jobu Ndugai ni mtu hatari sana kwako
Muhimili umelala chali heshima yake haipo tena ameuvua nguo..Ndugsi slivyogombewa kama mpira wa kona, na wale wenyeviti wa CCM Mikoa na yule mwenezi wa Njombe, nikajua jua limemchwea Ndugai.
Elf 27000 ya umeme tupa kule...aisee si mchezoKama kiberiti kujaa ndio hii vitu kupanda bei hovyo, tozo na mambo kwenda shaghalabaghala, kazi tunayo.
Msoga ni hatariSitaki kuamini Wafuasi wa Hayati wamepiga magoti mapema hivi
I second youMkuu usishindane na aliyeshika dola,sasa hivi ni undava tu. Sisi watazamaji tunasema wacha wafu wazike wafu wao
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Elf 27000 ya umeme tupa kule...aisee si mchezo
Ha ha ha!
Mabeyo hana neno!
Hyo avatar mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mama kaamua liwalo na liwe, huwezi kunenepa kwa ARV za msaada halafu uinange mikopo.
Kumbe Ndugai ni sukumagang?Sukuma gang chaliii🤣🤣🤣🤣, mlijitapa sana kwa kuonea watu, na badoooi
Hiyo ya kuhoji mabos na wanafuka na kuvimba ni tabia ya asili.Hata makazini ukiwa unamchallenge bosi anakuambia unataka kupindua cheo chake.Kwani Magufuli aliruhusu watu kuhoji?
Umesahau Membe alivyotaka kumchallange kwenye nafasi yake alifukuzwa uanachama!!
CCM ni ile ile wacha kazi iendeleee [emoji23][emoji23][emoji23]