Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,022
- 144,380
Mimi ninamtahadharisha juu ya alichoandika halafu na mimi nishiriki kusambaza?! Nitakuwa timamu au sheria huzijui?Jamaa kwani simu yako haina uwezo wa screenshot? Kila siku tunakwamabia taarifa kama hizo lete na screenshot.
Naunga mkono hoja, Tanzania inafuata mfumo wa haki wa Uingereza unaofuatwa katika nchi zote za Jumuiya ya Madola, ambao unasema,Nimeona umeandika ujumbe katika mtandao wa twitter huku ukimshushia tuhuma nzito yule RC wa zamani mwenye kashifa nyingi pengine kuliko wote.
Wasiwasi wangu ni wahusika kukuhitaji wakitaka utoe ushahidi wa tuhuma ulizotoa ingawa si mpya kwani ni wengi wanamtuhumu ila wewe umekwenda mbali kwa kumtaja moja kwa moja.
aleges=allegesNaunga mkono hoja, Tanzania inafuata mfumo wa haki wa Uingereza unaofuatwa katika nchi zote za Jumuiya ya Madola, ambao unasema,
Hivyo ukitoa tuhuma zozote in public, hakikisha una ushahidi, hata ukiulizwa unaweza kuthibitisha.
- Watu wote ni sawa mbele ya sheria
- Kila mtu ni innocent until proven guilty
- Mtu hatashitakiwa mara mbili kwa kosa lile lile
- The one who aleges must prove
- The burden of proof lies with the prosecution
- Every body is entitled of fair trial
- Na mengine mengi
Ushauri kama huu, niliwahi kuutoa humu
PTuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!
Wanabodi, Hili ni bandiko la wito wa Tuacheni Ramli Chonganishi Kuhusu Mhusika wa Shambulizi la Risasi kwa Mhe. Tundu Lissu, kupotea kwa mwana jf maarufu Ben Saanane, kupotea kwa mwanahabari Azory Gwanda, kuibuliwa kwa miili yenye majeraha kwenye viroba, au vitendo vingine vyovyote vya...www.jamiiforums.com
Pumbavu si ungeenda kumtahadharisha kwenye twira yakeMimi ninamtahadharisha juu ya alichoandika halafu na mimi nishiriki kusambaza?! Nitakuwa timamu au sheria huzijui?
Kajinyonge!Pumbavu si ungeenda kumtahadharisha kwenye twira yake
Naunga mkono hoja, Tanzania inafuata mfumo wa haki wa Uingereza unaofuatwa katika nchi zote za Jumuiya ya Madola, ambao unasema,
Hivyo ukitoa tuhuma zozote in public, hakikisha una ushahidi, hata ukiulizwa unaweza kuthibitisha.
- Watu wote ni sawa mbele ya sheria
- Kila mtu ni innocent until proven guilty
- Mtu hatashitakiwa mara mbili kwa kosa lile lile
- The one who aleges must prove
- The burden of proof lies with the prosecution
- Every body is entitled of fair trial
- Na mengine mengi
Ushauri kama huu, niliwahi kuutoa humu
PTuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!
Wanabodi, Hili ni bandiko la wito wa Tuacheni Ramli Chonganishi Kuhusu Mhusika wa Shambulizi la Risasi kwa Mhe. Tundu Lissu, kupotea kwa mwana jf maarufu Ben Saanane, kupotea kwa mwanahabari Azory Gwanda, kuibuliwa kwa miili yenye majeraha kwenye viroba, au vitendo vingine vyovyote vya...www.jamiiforums.com
Si umetoka kusema hajamtaja mhusika?Mimi ninamtahadharisha juu ya alichoandika halafu na mimi nishiriki kusambaza?! Nitakuwa timamu au sheria huzijui?
Hata kama watanzania tuliona, Marekani iliona (mpk ikamzuia kwenda nchini kwao) na dunia ilishuhudia??The one who alleges must prove
Akikujibu nitag.aleges=alleges
Vp kuhusu kabendera hukumtendea haki mwandishi mwenzako ujue
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Pascal Mayala , Salute kwako Mimi ni mmoja wa watu wanaokukubali Sana maana mchango wako kwa nchi yetu ni mkubwa Sana ,hongera Sana.Lakini shida yangu kwako wewe ni MBINAFISI Sana inakuaje wewe ni mwanasheria mzuri kiasi hicho na sheria unazijua vizuri lakini hutaki kuingia na kuitumikia taaluma yako mahakamani kama wakili?Naunga mkono hoja, Tanzania inafuata mfumo wa haki wa Uingereza unaofuatwa katika nchi zote za Jumuiya ya Madola, ambao unasema,