Yericko Nyerere: Kuna kila dalili njema Taifa linarejea kwenye nafasi yake Afrika Mashariki

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,224
22,305
Kwa dhati kabisa nampongeza mfuasi wa Mbowe, ndugu Yeriko kwa kutambua juhudi zinazofanya na serikali ya CCM chini ya Mama Samia Hassan Suluhu. Kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook;

===================
Huu ni ushindi mkubwa sana wa Idara ya Ujasusi nchini Tanzania, Binafsi nafurahi kuona yale niliyoyahubiri kwa miaka 15 na kuyaandikia kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchimi, sasa yanaanza kuzaa matunda.

Nilipongeza uamuzi wa Tz kupeleka majeshi ya ulinzi wa amani DRC, Na leo haya ndio matunda ya Ujasusi wa Kiuchumi.

Well done Community of Intelligence Agencies Of Tanzania (TISS and MI) Well Done Spymaster, Well Done Hon E. President.

Sasa kuna kila dalili njema kwamba Taifa linarejea taratibu na kwa ufanisi kwenye nafasi yake Afrika Mashariki, Kusini mwa Jangwa la Sahara na Afrika kwa Ujumla.
Screenshot_20240326-213638_Facebook.jpg

FB_IMG_1711481788109.jpg
 
Huyu kilaza mbona analazimisha vitu hata hajawahi kuwa au kufanya kazi taasisi yeyeto ya usalama let alone sungusungu
Na kielimu ni mweupe kaungaunga upupu wa vyeti mitandaoni hata vya TEKU vina thamani
Mimi nafikiri wewe ndo kilaza..Human Military Intelligence sio kutumikia au kupata mafunzo mahali popote....nenda Gaza kaone kuna mambo yanaishangaza sana Dunia......

Ref Kufufurushwa kwa NDULI
 
Kwa dhati kabisa nampongeza mfuasi wa Mbowe, ndugu Yeriko kwa kutambua juhudi zinazofanya na serikali ya CCM chini ya Mama Samia Hassan Suluhu. Kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook;

===================
Huu ni ushindi mkubwa sana wa Idara ya Ujasusi nchini Tanzania, Binafsi nafurahi kuona yale niliyoyahubiri kwa miaka 15 na kuyaandikia kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchimi, sasa yanaanza kuzaa matunda.

Nilipongeza uamuzi wa Tz kupeleka majeshi ya ulinzi wa amani DRC, Na leo haya ndio matunda ya Ujasusi wa Kiuchumi.

Well done Community of Intelligence Agencies Of Tanzania (TISS and MI) Well Done Spymaster, Well Done Hon E. President.

Sasa kuna kila dalili njema kwamba Taifa linarejea taratibu na kwa ufanisi kwenye nafasi yake Afrika Mashariki, Kusini mwa Jangwa la Sahara na Afrika kwa Ujumla.
View attachment 2945498

View attachment 2945500
Huyu mswahili anaongea nini wakati wikileaks ilionesha submarine ya US ilikaa mwaka mzima hapo bandari ya Dar es salaam ikisikiliza mazungumzo ya Ikulu wakati wanatamfuta alipo Che Guevara bila mtu yoyote hapa Tanzania kujua. Tunatiana ujinga tu wakati pesa ya ujenzi wa shule hatuna.
 
Ingelikuwa bandari kwa Afrika ipo Tanzania pekee labda utoroshaji mali ya wizi usingefanyika, madhali bandari zipo nyingi worry out bout that, "Tusafirishe cognsiment madhali zimelipiwa na taifa limepata" inatosha!
 
Kwa dhati kabisa nampongeza mfuasi wa Mbowe, ndugu Yeriko kwa kutambua juhudi zinazofanya na serikali ya CCM chini ya Mama Samia Hassan Suluhu. Kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook;

===================
Huu ni ushindi mkubwa sana wa Idara ya Ujasusi nchini Tanzania, Binafsi nafurahi kuona yale niliyoyahubiri kwa miaka 15 na kuyaandikia kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchimi, sasa yanaanza kuzaa matunda.

Nilipongeza uamuzi wa Tz kupeleka majeshi ya ulinzi wa amani DRC, Na leo haya ndio matunda ya Ujasusi wa Kiuchumi.

Well done Community of Intelligence Agencies Of Tanzania (TISS and MI) Well Done Spymaster, Well Done Hon E. President.

Sasa kuna kila dalili njema kwamba Taifa linarejea taratibu na kwa ufanisi kwenye nafasi yake Afrika Mashariki, Kusini mwa Jangwa la Sahara na Afrika kwa Ujumla.
View attachment 2945498

View attachment 2945500
Haters wa Samia watamuita chawa 😆😆😆
 
Huyu mswahili anaongea nini wakati wikileaks ilionesha submarine ya US ilikaa mwaka mzima hapo bandari ya Dar es salaam ikisikiliza mazungumzo ya Ikulu wakati wanatamfuta alipo Che Guevara bila mtu yoyote hapa Tanzania kujua. Tunatiana ujinga tu wakati pesa ya ujenzi wa shule hatuna.
Du kumbe hatari hivyo
 
Sasa miaka hiyo na sasa ni tofauti mno. Ubazungumzia post uhuru where tulikua hatuna technological advanced zozote? Basically ndio tulikuwa chekechea kwenye mambo ya kimataifa. While us was waaay advanced. Simtetei but comparisonzon yako is so off
 
Ila bado nadhani hatuna teknolojia hiyo,hata vifaa vya ulinzi tunavyotumia ni zilipendwa.
 
Napenda kukwambia kwa sasa afadhali. Mpaka naondoka kwenye service kulikuwa na program wa ku upgrade, na mabadiliko ni makubwa mno leo hii. difference is hawatangazi so walioko nje ya mfumo ni ngumu ku notice hayo
 
Back
Top Bottom