Yebaaaaaaa leo nimefunguliwa.

ahhahahahhahan kwahiyo ulidhani tuna ndyofu kadhaa kichwani actuaaare mi nilikuwa nazo ka 3 hiv ndo nikaja, FP ngoja aseme mwenyewe manake nilimwacha pale anaclear bill sa mi ndo nikaja ,eti dada mkuwa kwani uliendelea na round nyingeni au?manake nilikuasubir pale nje nikaona unachelewa au ................:fencing::fencing:ahahhahahahhahhahaha
ha haaaaaaaaaa.....
mimi niliagizia tena fanta zangu 4 nikaenda nazo home, lol!
 
Aku mwaya!!! Mapenzi gani yasiyokuwa na wivu!!! ila usizidi kupita kiasi uwe wa aste aste tu. Kama hakuonei wivu basi hajakupenda au penzi lilishanyauka tangu mwaka 47.

[video]http://www.youtube.com/watch?NR=1&feature=endscreen&v =Q_7EKr5a82k[/video]
nakubaliana nawe kabisa rafiki.
zamani nilikuwa sipendi hayo mawivu maana nilikuwa nahisi kama mtu haniamini vile....
lakini hili teja linanihakikishia linavyoniamini, na naona kabisaaaaa linaniamini sana, lakini ukibugi kidogo tu ananuna huyo....
kuna siku alininunia masaa kadhaa..... wote wawili tulikuwa hoi kwa maumivu ya moyo..... sasa tumekubaliana hakuna kununiana tena maana tunateseka tu.
Asante kwa trading places, lol!
 
Naskitika kukwambia kuwa hilo jina linaweza kusababishia ban hata bila kosa, BTW hongera kwa kuvishwa pete, vipi jamaa nae ni Mcharuko kama wewe!!!??? nauliza tu
Mcharuko kikwetu ni povu linalopatikana juu ya kinywaji
chochote kama soda, pombe, Malta n.k. Hivyo usitafsiri
tofauti.
 
Back
Top Bottom