Yebaaaaaaa leo nimefunguliwa.

Mcharuko

JF-Expert Member
Sep 25, 2011
209
172
Nilifungiwa toka Mwezi wa Tisa, yaani kama Mandela vile
Leo ndio nimefunguliwa, Nimewamiss sana Rafiki zangu

Lakini nasikitika nimeingia nikiwa mpya kabisa kwani
nimeshavishwa pete na nilikosa kuwaalika katika tukio hilo
Muhimu ambalo lilifanyika Eneo la Msamvu pale Morogoro
Nawapendeni.

Nimefunguliwaaaaaaaaaaaaaaa,
Hureeeeeeeeee, Mandela niko nje sasa

I'm a new Mandela.
 
Karibu tena Mcharuko! Nilikumiss sana.
Hivi na mimi siwezi kukuvisha nyingine kama hutojali?

Nilifungiwa toka Mwezi wa Tisa, yaani kama Mandela vile
Leo ndio nimefunguliwa, Nimewamiss sana Rafiki zangu

Lakini nasikitika nimeingia nikiwa mpya kabisa kwani
nimeshavishwa pete na nilikosa kuwaalika katika tukio hilo
Muhimu ambalo lilifanyika Eneo la Msamvu pale Morogoro
Nawapendeni.

Nimefunguliwaaaaaaaaaaaaaaa,
Hureeeeeeeeee, Mandela niko nje sasa

I'm a new Mandela.
 
Nilifungiwa toka Mwezi wa Tisa, yaani kama Mandela vile
Leo ndio nimefunguliwa, Nimewamiss sana Rafiki zangu

Lakini nasikitika nimeingia nikiwa mpya kabisa kwani
nimeshavishwa pete na nilikosa kuwaalika katika tukio hilo
Muhimu ambalo lilifanyika Eneo la Msamvu pale Morogoro
Nawapendeni.

Nimefunguliwaaaaaaaaaaaaaaa,
Hureeeeeeeeee, Mandela niko nje sasa

I'm a new Mandela.

Dah,kama wewe ni Mandela,una maana nani ni kaburu aliye kufunga?
Angalia usije rudi tena lupango!!
 
hayo maneno yako kwenye uzi mama yanatoa picha kwa nini unaitwa Mcharuko
 
hayo maneno yako kwenye
uzi mama yanatoa picha kwa nini unaitwa Mcharuko

Ndio maana mnaambiwa kiswahili ni cha WAKENYA tatizo lenu
hamuelewi kiswahili, Tafuta tafsiri ya MCHARUKO kwanza halafu
tukutane hapa jukwaani.
 
Amesema amevishwa pete wala hajasema ni ya ndoa au uchumba!

Kwa hiyo me ni me propose ni mvishe nyingine nadhani ni ya ndoa! Hapa hakuna kosa maana hakuna ndoa!

Kwa sheria ipi ya ndoa!? Au ni yeye tu akiridhia!?
 
Nilifungiwa toka Mwezi wa Tisa, yaani kama Mandela vile
Leo ndio nimefunguliwa, Nimewamiss sana Rafiki zangu

Lakini nasikitika nimeingia nikiwa mpya kabisa kwani
nimeshavishwa pete na nilikosa kuwaalika katika tukio hilo
Muhimu ambalo lilifanyika Eneo la Msamvu pale Morogoro
Nawapendeni.

Nimefunguliwaaaaaaaaaaaaaaa,
Hureeeeeeeeee, Mandela niko nje sasa

I'm a new Mandela.

Alafu ulikuwa umepotea kweli
Welcome back my dear!
 
Nilifungiwa toka Mwezi wa Tisa, yaani kama Mandela vile
Leo ndio nimefunguliwa, Nimewamiss sana Rafiki zangu

Lakini nasikitika nimeingia nikiwa mpya kabisa kwani
nimeshavishwa pete na nilikosa kuwaalika katika tukio hilo
Muhimu ambalo lilifanyika Eneo la Msamvu pale Morogoro
Nawapendeni.

Nimefunguliwaaaaaaaaaaaaaaa,
Hureeeeeeeeee, Mandela niko nje sasa

I'm a new Mandela.

Hivi wanawake hawaoi mitala.....?
Naomba unipose Mcharuko...........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom