Yebaaaaaaa leo nimefunguliwa.

karibu ila mambo yamebadilika ka ulikuwa unatoka na Baba V mke wake Mama v ameshakuja yupo humo kajaa tele ka pishi la ubweche!umbea mwingine uje kwangu maana hapa naogopa pisto kidole upo hapo eeeh
 
Last edited by a moderator:
Hee wanaume hatunaga wivu meeeeeen!
Mzima?
Gud nyt
ha haaaa, mimi ndo nasikia leo kama wanaume hawanaga wivu..... teja langu lina wivu ni balaa
kuna siku nakumbuka hata rafiki yangu BAK alisema wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli
 
Last edited by a moderator:
ha haaaa, mimi ndo nasikia leo kama wanaume hawanaga wivu..... teja langu lina wivu ni balaa
kuna siku nakumbuka hata rafiki yangu BAK alisema wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli
Na mwana FA alisema ukimegewa na wewe tafuta mnyonge ummegee hakuna kugombana!
Ila natania tu @fp
 
Back
Top Bottom