Yebaaaaaaa leo nimefunguliwa.

Halafu weweee, hivi unajua unalumbana na nani hapa..
Siku ukinijua utapiga magoti kuomba radhi, waulize wenzio waliowahi kukutana na mimi walinywea kama nini.

Mimi ni mutu mukubwa katika NCHI HII......................LOL

Nachojua mutu mukubwa ni yule mzee wa busara
Anaogopeka kotekote, ukibisha nusu sekunde anakugeuza nzi!

Sikujua hicho ndo cheo chako dingi!
 
kaka nipo bwana, nishazoea maisha ya celibacy siku hizi, sina tabu tena...
Sarakasi za mabinti nimewaachia ninyi............LOL
Aaaah mi mwenyewe nimekuwa mtazamani tu siunajua tena umri unaenda sasa....mwaka unakaribia kwisha sasa tunawaachia akina Bishanga waendelee kuvutana kidogo
 
Last edited by a moderator:
Nachojua mutu mukubwa ni yule mzee wa busara
Anaogopeka kotekote, ukibisha nusu sekunde anakugeuza nzi!

Sikujua hicho ndo cheo chako dingi!

Hivi hujui kwamba nishahukumiwa mara nyingi kwa kesi za kubaka eh!
Huyu jogoo wangu akiwika haangalii hata vifaranga..............shauri yako..............LOL
 
Halafu weweee, hivi unajua unalumbana na nani hapa..
Siku ukinijua utapiga magoti kuomba radhi, waulize wenzio waliowahi kukutana na mimi walinywea kama nini.

Mimi ni mutu mukubwa katika NCHI HII......................LOL
hahahaahahhahahhahahahah piritoni ilikuwa uwanja wa taifa lol!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom