Yebaaaaaaa leo nimefunguliwa.

we umeanza kutoka juzi vip zile skendo zako ziliisha maana wewe utafikiri ma bongo movie hukaukiwi na skendo
Skendo kawaida kwa dunia ya sasa siunajua ndio zinawafanya baadhi ya watu waishi
Ila zimeisha siku hizi nimeamua kudeal nazo
 
Nilifungiwa toka Mwezi wa Tisa, yaani kama Mandela vile
Leo ndio nimefunguliwa, Nimewamiss sana Rafiki zangu

Lakini nasikitika nimeingia nikiwa mpya kabisa kwani
nimeshavishwa pete na nilikosa kuwaalika katika tukio hilo
Muhimu ambalo lilifanyika Eneo la Msamvu pale Morogoro
Nawapendeni.

Nimefunguliwaaaaaaaaaaaaaaa,
Hureeeeeeeeee, Mandela niko nje sasa

I'm a new Mandela.

Hongera. Ucrudie tena da Mcharuko basi.
Gee Cee
 
Last edited by a moderator:
Si ndo nashangaaaa nikadhani mlikuwa bar ila nikakumbuka FP ni mama mchungaji lol

ahhahahahhahan kwahiyo ulidhani tuna ndyofu kadhaa kichwani actuaaare mi nilikuwa nazo ka 3 hiv ndo nikaja, FP ngoja aseme mwenyewe manake nilimwacha pale anaclear bill sa mi ndo nikaja ,eti dada mkuwa kwani uliendelea na round nyingeni au?manake nilikuasubir pale nje nikaona unachelewa au ................:fencing::fencing:ahahhahahahhahhahaha
 
Last edited by a moderator:
Hi sredi sina neno ila mnasifia tu kama michirizi nyuma ya goti ya mwali.
 
Aku mwaya!!! Mapenzi gani yasiyokuwa na wivu!!! ila usizidi kupita kiasi uwe wa aste aste tu. Kama hakuonei wivu basi hajakupenda au penzi lilishanyauka tangu mwaka 47.

[video]http://www.youtube.com/watch?NR=1&feature=endscreen&v =Q_7EKr5a82k[/video]

ha haaaa, mimi ndo nasikia leo kama wanaume hawanaga wivu..... teja langu lina wivu ni balaa
kuna siku nakumbuka hata rafiki yangu BAK alisema wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli
 
Nilifungiwa toka Mwezi wa Tisa, yaani kama Mandela vile
Leo ndio nimefunguliwa, Nimewamiss sana Rafiki zangu

Lakini nasikitika nimeingia nikiwa mpya kabisa kwani
nimeshavishwa pete na nilikosa kuwaalika katika tukio hilo
Muhimu ambalo lilifanyika Eneo la Msamvu pale Morogoro
Nawapendeni.

Nimefunguliwaaaaaaaaaaaaaaa,
Hureeeeeeeeee, Mandela niko nje sasa

I'm a new Mandela.

Naskitika kukwambia kuwa hilo jina linaweza kusababishia ban hata bila kosa, BTW hongera kwa kuvishwa pete, vipi jamaa nae ni Mcharuko kama wewe!!!??? nauliza tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom