Yanga tutaishije bila GSM? Ufadhili una kikomo

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,852
Reaction score
39,814
Mimi kama mwanachama wa Yanga nampongeza mfadhili wetu GSM Kwa mazuri anayoifanyia timu yetu

Lakini tukumbuke GSM ni binadamu anaweza siku akaamka hana furaha, akasitisha ufadhili wake, Kuna kufirisika, kifo n.k

Viongozi watueleze, je bila GSM sisi wanayanga tutakuwa vipi imara

Sifurahii kuishi Kwa pesa za mfadhili

Sifurahii GSM kuitwa mfadhili Bali aitww mdhamini, yaani ananufaika na Yanga ina nufaika sio kusema anatufadhili kama Yatima, hiyo ni kauli mbaya kwetu Yanga kuishi Kwa kufadhiliwa tunataka udhamini sio kufadhili

Tuliwahi kuwa timu Bora kipindi tuna Yusuph Manji, Gulmali, Mengi, Tarimba lakini walitoka timu yote ilipitia magumu sana

Eng Hersi nakuheshimu ila njoo na mikakati mizuri Yanga utoke kwenye wafadhili ije kwenye wadhamini

GSM aje na mahesabu atwambie anawekeza sh ngapi na ananufaika vip kutumia Logo ya Young Africans sio sisi mashabiki tuwe tunamwimba tu

GSM aweke pesa kulingana na mikataba, na vyanzo vya mapato ya club yawe wazi,

Binafsi naamini Kwa taasisi kama Yanga tunaweza kutumia brand yetu kujiendesha na kuingiza pesa ndefu bila kuwa na wafadhili

Tunahitaji uwanja wa timu
Viongozi achaneni na hapo jangwani kwenye Mafuriko, Tanzania ni kubwa ardhi ipo, tafuta sehemu Jenga uwanja sio mpaka kulilia vibali na ku risk ili uwanja ujengwe sehemu isiyo salama

GSM anafanya kazi nzuri ila tusifurahie maisha ya kufadhiliwa kama Yatima au wajinga
 
Hongera sana Mkuu Siku za Karibuni Unaandika Hoja za Maana sana.
Mimi najua wewe ni Moja ya Watu wenye akili sana Hapa Jukwaani.
Naamini hivyo.

Hili suala la Yanga na GSM watu hawawezi kukuelewa mkuu, Linapokuja suala la Simba na yanga watu huwa wanajitoa akili kabisa, wanaweka akili pembeni na kwenda na Mahaba na mahisia.

Binafsi huwa namchallange Mo nimeandika makala Magazetini ila Reputation yake watu hawanielewi kabisa ni kama Kigwangala wasivyo muelewa.

Anachokifanya Jayrotty Mo alipaswa kukifanya mala Kumi.
Kwaheri Mo kwaheri Mwamedi.
 
Acha propaganda na mazingaombwe ya jana, timu za simba na yanga zitaishi kwa ufadhiri mpaka mwisho.
Sheria ya nchi hii hairuhusiwi hizo timu kuwa na uwanja wala uwekezaji. Hizo unazoziona huko simba ni propaganda na siasa za kitoto
 
Mimi kama mwanachama wa Yanga nampongeza mfadhili wetu GSM Kwa mazuri anayoifanyia timu yetu

Lakini tukumbuke GSM ni binadamu anaweza siku akaamka hana furaha, akasitisha ufadhili wake, Kuna kufirisika, kifo n.k

Viongozi watueleze, je bila GSM sisi wanayanga tutakuwa vipi imara

Sifurahii kuishi Kwa pesa za mfadhili

Sifurahii GSM kuitwa mfadhili Bali aitww mdhamini, yaani ananufaika na Yanga ina nufaika sio kusema anatufadhili kama Yatima, hiyo ni kauli mbaya kwetu Yanga kuishi Kwa kufadhiliwa tunataka udhamini sio kufadhili

Tuliwahi kuwa timu Bora kipindi tuna Yusuph Manji, Gulmali, Mengi, Tarimba lakini walitoka timu yote ilipitia magumu sana

Eng Hersi nakuheshimu ila njoo na mikakati mizuri Yanga utoke kwenye wafadhili ije kwenye wadhamini

GSM aje na mahesabu atwambie anawekeza sh ngapi na ananufaika vip kutumia Logo ya Young Africans sio sisi mashabiki tuwe tunamwimba tu

GSM aweke pesa kulingana na mikataba, na vyanzo vya mapato ya club yawe wazi,

Binafsi naamini Kwa taasisi kama Yanga tunaweza kutumia brand yetu kujiendesha na kuingiza pesa ndefu bila kuwa na wafadhili

Tunahitaji uwanja wa timu
Viongozi achaneni na hapo jangwani kwenye Mafuriko, Tanzania ni kubwa ardhi ipo, tafuta sehemu Jenga uwanja sio mpaka kulilia vibali na ku risk ili uwanja ujengwe sehemu isiyo salama

GSM anafanya kazi nzuri ila tusifurahie maisha ya kufadhiliwa kama Yatima au wajinga
Usihofu bro yanga ipo kwenye mchakato wa kujengwa upya kimfumo.
 
Timu za mipira za Tanzania ni zakimpumbavu sana kwanini zisiwekeze kwenye magengo apartment nk ..timu kama yanga na Simba zilitakiwa kuwa na magorofa ya kisasa ya apartment yasiyo pungua 10 kila moja na nyumba za kisasa zisizo pungua 200.
 
Hakuna timu ambayo haina ufadhili duniani na hakuna timu inayosimama pekee yake bila ufadhiri na kutegemea ukubwa wa jina au logo yake never

Tumeshuhudia timu nyingi zimedondoka kwa kukosa ufadhiri licha ya kuwa na mjina makubwa baada ya kufadhiriwa zika simama tena mfano mzuri Ac milan, Liverpool, Man city, Young african, mamelodi sundowns, orando pirates New castle na vilabu vingine mashuhuri
 
Back
Top Bottom