Udhamini wa Jay Ruty Kwa Simba utuamshe Yanga

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,697
Reaction score
39,155
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, tukiachana na utani wetu wa jadi wa hapa na pape ila mtani katisha
Mtani Leo amepata ufadhili mkubwa mno, billion 38 Kwa miaka 5 ni pesa ndefu mno,

Simba ina wastani wa kuvuna billion 7.6 Kwa kila mwaka. Ambayo ni pesa ndefu kiukweli

Nimeshtuka kusikia kuwa mbali na udhamini huu, kampuni ya Jay Ruty imeahidi
1. Kuwajengea Simba uwanja wa kubeba mashabiki elfu 10 hadi 12

2. Kutoa million 100 Simba day kila mwaka

3.kutoa million 100 kila mwaka kufadhili timu ya vijana

4. Kuwanunulia Simba bus la kifahari aina ya IRIZAR

5 kuwajengea Simba ofisi za kisasa

6 kujenga Media production room

7 fedha za motisha Kwa wachezaji 470milion

8. Medical center

9.kusajili mchezaji yeyote mkubwa kila msimu, ambaye atakuwa kipenzi cha mashabiki
Yaani kwamba wana Simba wakisema mshushe Mayele, chap anasain
Hii proposal mtu mwenye akili timamu huwezi kuikataa
Kusema ukweli Simba wamepata udhamini wa maana

Soma Pia: Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY mzabuni wa utengenezaji Jezi

Sisi Young Africans Kwa GSM ni mfadhili mzuri ila kama hawezi kutuweka wazi na kufanya mambo yaonekane wazi Kwa maandishi na makubaliano basi afanye machache, ila waje wawekezaje wangine wawekeze

Yanga tunatamani mazuri kama haya

Hongera sana Simba sc

Endapo Mambo yatakuwa hivi basi Simba itakuwa timu nzuri kiuchumi
 
TUTA
TUTA
TUTA
TUTA
ogopa sana hizo kauli akiziomgea mtanzania
 
Attachments

  • 20250416_202018.jpg
    20250416_202018.jpg
    31.1 KB · Views: 43
Hayo yote yaende sambamba na usajili wa wachezaji wenye hadhi sawa na udhamini huo. Vinginevyo usajili ukiwa tia maji tia maji huyo mdhamini atapata hasara.
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, tukiachana na utani wetu wa jadi wa hapa na pape ila mtani katisha
Mtani Leo amepata ufadhili mkubwa mno, billion 38 Kwa miaka 5 ni pesa ndefu mno,

Simba ina wastani wa kuvuna billion 7.6 Kwa kila mwaka. Ambayo ni pesa ndefu kiukweli

Nimeshtuka kusikia kuwa mbali na udhamini huu, kampuni ya Jay Ruty imeahidi
1. Kuwajengea Simba uwanja wa kubeba mashabiki elfu 10 hadi 12

2. Kutoa million 100 Simba day kila mwaka

3.kutoa million 100 kila mwaka kufadhili timu ya vijana

4. Kuwanunulia Simba bus la kifahari aina ya IRIZAR

5 kuwajengea Simba ofisi za kisasa

6 kujenga Media production room

7 fedha za motisha Kwa wachezaji 470milion

8. Medical center

Hii proposal mtu mwenye akili timamu huwezi kuikataa
Kusema ukweli Simba wamepata udhamini wa maana

Soma Pia: Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY mzabuni wa utengenezaji Jezi

Sisi Young Africans Kwa GSM ni mfadhili mzuri ila kama hawezi kutuweka wazi na kufanya mambo yaonekane wazi Kwa maandishi na makubaliano basi afanye machache, ila waje wawekezaje wangine wawekeze

Yanga tunatamani mazuri kama haya

Hongera sana Simba sc

Endapo Mambo yatakuwa hivi basi Simba itakuwa timu nzuri kiuchumi
Unajua camp ya avic town kwa mwezi gsm analipa shilingi ngapi?
 
Huyu ni miongoni mwa wale utopolo wenye akili.
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, tukiachana na utani wetu wa jadi wa hapa na pape ila mtani katisha
Mtani Leo amepata ufadhili mkubwa mno, billion 38 Kwa miaka 5 ni pesa ndefu mno,

Simba ina wastani wa kuvuna billion 7.6 Kwa kila mwaka. Ambayo ni pesa ndefu kiukweli

Nimeshtuka kusikia kuwa mbali na udhamini huu, kampuni ya Jay Ruty imeahidi
1. Kuwajengea Simba uwanja wa kubeba mashabiki elfu 10 hadi 12

2. Kutoa million 100 Simba day kila mwaka

3.kutoa million 100 kila mwaka kufadhili timu ya vijana

4. Kuwanunulia Simba bus la kifahari aina ya IRIZAR

5 kuwajengea Simba ofisi za kisasa

6 kujenga Media production room

7 fedha za motisha Kwa wachezaji 470milion

8. Medical center

9.kusajili mchezaji yeyote mkubwa kila msimu, ambaye atakuwa kipenzi cha mashabiki
Yaani kwamba wana Simba wakisema mshushe Mayele, chap anasain
Hii proposal mtu mwenye akili timamu huwezi kuikataa
Kusema ukweli Simba wamepata udhamini wa maana

Soma Pia: Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY mzabuni wa utengenezaji Jezi

Sisi Young Africans Kwa GSM ni mfadhili mzuri ila kama hawezi kutuweka wazi na kufanya mambo yaonekane wazi Kwa maandishi na makubaliano basi afanye machache, ila waje wawekezaje wangine wawekeze

Yanga tunatamani mazuri kama haya

Hongera sana Simba sc

Endapo Mambo yatakuwa hivi basi Simba itakuwa timu nzuri kiuchumi
Usipende kuwa fuata upepo haraka hivyo!, tulia ujionee mambo halafu GSM muache kama alivyo sio kama haoni na shida nyengine unaweza ukawa unajaza watu vitita tu ila usiwe na machaguo mazuri ya watu kumbuka hilo pia!.
sasa we hizo offer tu basi unataka na yanga tuanze kubabaika we have to watch our steps first!.
 
Wakati ni hakimu mzuri
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, tukiachana na utani wetu wa jadi wa hapa na pape ila mtani katisha
Mtani Leo amepata ufadhili mkubwa mno, billion 38 Kwa miaka 5 ni pesa ndefu mno,

Simba ina wastani wa kuvuna billion 7.6 Kwa kila mwaka. Ambayo ni pesa ndefu kiukweli

Nimeshtuka kusikia kuwa mbali na udhamini huu, kampuni ya Jay Ruty imeahidi
1. Kuwajengea Simba uwanja wa kubeba mashabiki elfu 10 hadi 12

2. Kutoa million 100 Simba day kila mwaka

3.kutoa million 100 kila mwaka kufadhili timu ya vijana

4. Kuwanunulia Simba bus la kifahari aina ya IRIZAR

5 kuwajengea Simba ofisi za kisasa

6 kujenga Media production room

7 fedha za motisha Kwa wachezaji 470milion

8. Medical center

9.kusajili mchezaji yeyote mkubwa kila msimu, ambaye atakuwa kipenzi cha mashabiki
Yaani kwamba wana Simba wakisema mshushe Mayele, chap anasain
Hii proposal mtu mwenye akili timamu huwezi kuikataa
Kusema ukweli Simba wamepata udhamini wa maana

Soma Pia: Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY mzabuni wa utengenezaji Jezi

Sisi Young Africans Kwa GSM ni mfadhili mzuri ila kama hawezi kutuweka wazi na kufanya mambo yaonekane wazi Kwa maandishi na makubaliano basi afanye machache, ila waje wawekezaje wangine wawekeze

Yanga tunatamani mazuri kama haya

Hongera sana Simba sc

Endapo Mambo yatakuwa hivi basi Simba itakuwa timu nzuri kiuchumi
Wamejitahidi, kiukweli kuna mambo Yanga hayako vizuri. Mojawapo ni hilo la jezi. Tupo kimya sababu timu inafanya vizuri.
 
Nakubaliana na wewe kabisa
Mabadiriko yatakuja hapo Jangwani iwapo mashabaki wengi zaidi watakuja na mawazo kama yako kuwa-pressurise Viongozi wenu

Mkimtegemea Engineer peke yake sio rahisi kutokea
 
Back
Top Bottom