Niliyogundua baada ya mechi za Simba na Yanga

martial jb

JF-Expert Member
Oct 21, 2021
864
1,456
Habari wakuu,

Kwanza kabisa naomba sote kwa pamoja tumshukuru Mungu kwa kutupa uzima na uhai pamoja na hatua hii ambayo kila timu na shabiki ameifikia, naamini kila timu (Simba na Yanga) imepata kile inachostahili kutokana na uwekezaji wake na maandalizi yake mwanzoni mwa msimu.

Nisiongee mengi sana, naomba niende moja kwa moja kwenye pointi ambayo ni kuongelea machache niliyogundua kuhusiana na mechi hizo za raundi ya pili;

𝙎𝙄𝙈𝘽𝘼
- Ana uzoefu mkubwa na michuano ya kimataifa, kiasi kwamba kwa sasa ana uwezo wa kukupiga kokote yaani iwe kwako, kwake ama kwa jirani yako.

- Chama ni kiungo bora Africa Mashariki na Kati, na naapia kumtusi au kumdharau yeyote atakayemfananisha na viungo wa Yanga (mfano Fei Toto).

-Juma Mgunda A.K.A Guardiola Mnene ni mfano wa makocha wa kuigwa, maana kaweza kuibadilisha Simba kwa kipindi kifupi sana.

- Siku zote mpira uwanjani na sio mdomoni. Simba hawakuonyesha majigambo yeyote dhidi ya Agosto, na wala haikuwajibu Yanga waliosema Simba msimu huu ana kikosi kibovu, bali walidhihirisha hilo uwanjani na sote tumeona huo ndiyo uanaume.

- Na baada ya hayo, kila la kheri Simba, naamini ipo siku mtakwenda kutwaa moja kati ya makombe ya kimataifa, kwani kama si leo basi kesho. Nuru kwa mbali inachomoza, kikubwa naomba muendelee kupambana na kuheshimu mashabiki wenu na kudumisha nidhamu yenu.

Ipo siku nchi itasimama na kusheherekea mafanikio ya Simba!

𝙔𝘼𝙉𝙂𝘼
- Inaonekana wanategemea sana uwezo wa mchezaji mmoja (Fiston Mayele) na si kitimu, kama unabisha basi chunguza mashambulizi mengi ya wapinzani yanayofanywa ikiwemo dribbling na mashuti ni ya nani? Au mtoe Mayele uone mwenyewe.

- Usajili waliofanya unasikitisha maana hauna msaada kwenye mechi zao za kimataifa. Mfano Bigirimana, Lomalisa na Kisinda wote wanaonekana kutoweza kuingia kwenye kikosi cha kwanza(mashabiki wasikubali maana huu ni uhuni wa viongozi), na pia mtu kama Aziz Ki amedhihirisha kuwa yeye ni mchezaji mdogo. Hii ina maana hakuna walichofanya pia.

- Feisal Toto amedhihirisha kuwa yeye ni mtoto! Hakuna anachofanya zaidi ya kurukaruka, kutoa maboko, na hata nafasi za kupiga hapigi kama ilivyozoeleka.

- Nani kamrudisha Kisinda? Naomba hata mimi kuuliza hilo swali, na kwa malengo gani? Maana hata jamaa alipoingia ndiyo wageni wakasawazisha na pia mchezo ukabadilika. Yanga wakapelekewa pumzi za moto na wageni, huku Kisinda akishangaa shangaa!

- Nabi kaishiwa mbinu, hii inatokana na hata yeye kusema kuwa kikosi kilikuwa kizuri, tulijipanga, na kila kitu kilikuwa sawa ila uwezo wetu naona pale ndiyo ulipoishia!

Hii inadhihirisha kuwa Yanga ametuthibitishia kuwa michuano ya kimataifa haiwezi, kwani hana la maana analofanya.

Ushauri wangu;
Yanga ijifunze kutoka kwa Simba, iache maneno mengi maana nilisikia kuna baadhi ya mashabiki walisema Al Hilal atapigwa kama ngoma na wengine wakasema atapigwa ngumi mchomoko, ila mwisho wa siku ni hakuna kitu.

IMEFIKIA MUDA WA YANGA KUKAA MEZA MOJA NA WABABE SIMBA ILI WASHAURIWE NA KUPEWA DARASA KUHUSU MICHUANO YA KIMATAIFA, ILI WAWEZE KUJIKWAMUA. TUWEKE USHABIKI PEMBENI.

Na pia Yanga iangalie uongozi kama si hivyo basi wataumia, maana HERSI ameshawahi kumwambia Nabi kuwa "ILI MASHABIKI WASIONGEE BASI IFUNGE SIMBA TU, HAPA HAMNA SHIDA" naomba hii kauli iangaliwe.
 
Habari wakuu,

Kwanza kabisa naomba sote kwa pamoja tumshukuru Mungu kwa kutupa uzima na uhai pamoja na hatua hii ambayo kila timu na shabiki ameifikia,

Naamini kila timu ( Simba na Yanga) imepata kile inachostahili kutokana na uwekezaji wake na maandalizi yake mwanzoni mwa msimu,

Nisiongee mengi saana, naomba niende moja kwa moja kwenye point ambayo ni kuongelea machache niliyogundua kuhusiana na mechi hizo za raundi ya pili;

𝙎𝙄𝙈𝘽𝘼
-Ana uzoefu mkubwa na michuano ya kimataifa, kiasi kwamba kwa sasa ana uwezo wa kukupiga kokote yaani iwe kwako, kwake ama kwa jirani yako

-Chama ni kiungo bora Africa mashariki na kati, na naapia kumtusi au kumdharau yeyote atakae mfananisha na viungo wa yanga( mfano fei toto)

-Juma mgunda aka Guardiola mnene ni mfano wa makocha wa kuigwa, maana kaweza kuibadilisha simba kwa kipindi kifupi sana

-Siku zote mpira uwanjani na sio mdomoni, simba hawakuonyesha majigambo yeyote dhidi ya agosto, na wala haikuwajibu yanga waliosema simba msimu huu ana kikosi kibovu, BALI walidhihirisha hilo uwanjani na sote tumeona
HUO NDIO UANAUME

-Na baada ya hayo, Kila la kheri SIMBA, naamini ipo siku mtakwenda kutwaa moja kati ya makombe ya kimataifa, kwani kama si leo basi kesho, NURU KWA MBALI INACHOMOZA, kikubwa naomba muendelee kupambana na kuheshimu mashabiki wenu na kudumisha nidhamu yenu

IPO SIKU NCHI
emoji1241.png
ITASIMAMA NA KUSHEHEREKEA MAFANIKIO YA SIMBA!!!

𝙔𝘼𝙉𝙂𝘼
-Inaonekana wanategemea sana uwezo wa mchezaji mmoja( fiston mayele) na si kitimu, kama unabisha basi chunguza mashambulizi mengi ya wapinzani yanayofanywa ikiwemo dribbling na mashuti ni ya nani!!?? Au mtoe mayele uone mwenyewe

-Usajili waliofanya unasikitisha maana hauna msaada kwenye mechi zao za kimataifa, mfano bigirimana, lomalisa na kisinda wote wanaonekana kutoweza kuingia kwenye kikosi cha kwanza,(Mashabiki wasikubali maana huu ni uhuni wa viongozi) na pia mtu kama Aziz Ki amedhihirisha kuwa yeye ni mchezaji mdogo, Hii ina maana hakuna walichofanya pia

-Feisal toto amedhihirisha kuwa yeye ni mtoto! Hakuna anachofanya zaidi ya kurukaruka, kutoa maboko, na hata nafasi za kupiga hapigi kama ilivyozoeleka

-Nani kamrudisha Kisinda!!?? naomba hata mimi kuuliza hilo swali, na kwa malengo gani!!?? Maana hata jamaa alipoingia ndiyo wageni wakasawazisha na pia gemu ikabadilika, Yanga wakapelekewa pumzi za moto na wageni!! Huku kisinda akishangaa shangaa!!

-NABY kaishiwa mbinu, hii inatokana na hata yeye kusema kuwa kikosi kilikuwa kizuri, tulijipanga, na kila kitu kilikuwa sawa ila uwezo wetu naona pale ndo ulipoishia!!

Hii inadhihirisha kuwa yangaa ametuthibitishia kuwa michuano ya kimataifa haiwezi, kwani hana la maana analofanya

-Ushauri wangu!! Yanga ijifunze kutoka kwa simba, iache maneno mengi maana nilisikia kuna baadhi ya mashabiki walisema Al hilal atapigwa kama ngoma na wengine wakasema atapigwa ngumi mchomoko, ila mwisho wa siku ni NOTHING

USHAURI

IMEFIKIA MUDA WA YANGA KUKAA MEZA MOJA NA WABABE SIMBA ILI WASHAURIWE NA KUPEWA DARASA KUHUSU MICHUANO YA KIMATAIFA, ILI WAWEZE KUJIKWAMUA.
TUWEKE USHABIKI PEMBENI,

Na pia Yanga iangalie uongozi kama si hivyo basi wataumia, maana HERSI ameshawahi kumwambia naby kuwa "ILI MASHABIKI WASIONGEE BASI IFUNGE SIMBA TU, HAPA HAMNA SHIDA" naomba hii kauli iangaliwe

Mkuu martial jb Salam kwako. Hongera kwa bandiko ambalo hata hivyo kwa jinsi ulivyoandika, nina mashaka kama malengo uliyokusudia yatafikiwa. Ni vyema unapoandika usitumie mipasho usiwe kero kwa msomaji yeyote.
Ahsante
 
Huku sudan mashabiki wa al merreck wanawabeza wale wa al hilal kwamba wametoa droo na kibonde! Kama wangekutana na timu inayojulikana duniani kote "SIMBA" Wangekiona cha moto! hivyo uto kupondea eti timu inayojulikana angola ni atletico de luanda na si agosto ni hivyohivyo hapo tz uto ni wasiojulikana pia! sasa kama mnatolewa na timu bado ipo pre szon ingekuaje kama wangekua wamecheza game 4 za ligi kuu na mbili za awali za klab bingwa pamoja na ngao ya jamii kama nyie? simngekubugia 8 goals hapohapo
 
Yanga Wamesajjiri Kwaajili Ya Kumfunga Simba
Yanga Imetumia Millions Zaidi Ya Mia Tatu Kupata Kikombe Cha NBC
EENGINEER Wao Ni Mjanjamjanja
 
Habari wakuu,

Kwanza kabisa naomba sote kwa pamoja tumshukuru Mungu kwa kutupa uzima na uhai pamoja na hatua hii ambayo kila timu na shabiki ameifikia, naamini kila timu (Simba na Yanga) imepata kile inachostahili kutokana na uwekezaji wake na maandalizi yake mwanzoni mwa msimu.

Nisiongee mengi sana, naomba niende moja kwa moja kwenye pointi ambayo ni kuongelea machache niliyogundua kuhusiana na mechi hizo za raundi ya pili;

𝙎𝙄𝙈𝘽𝘼
- Ana uzoefu mkubwa na michuano ya kimataifa, kiasi kwamba kwa sasa ana uwezo wa kukupiga kokote yaani iwe kwako, kwake ama kwa jirani yako.

- Chama ni kiungo bora Africa Mashariki na Kati, na naapia kumtusi au kumdharau yeyote atakayemfananisha na viungo wa Yanga (mfano Fei Toto).

-Juma Mgunda A.K.A Guardiola Mnene ni mfano wa makocha wa kuigwa, maana kaweza kuibadilisha Simba kwa kipindi kifupi sana.

- Siku zote mpira uwanjani na sio mdomoni. Simba hawakuonyesha majigambo yeyote dhidi ya Agosto, na wala haikuwajibu Yanga waliosema Simba msimu huu ana kikosi kibovu, bali walidhihirisha hilo uwanjani na sote tumeona huo ndiyo uanaume.

- Na baada ya hayo, kila la kheri Simba, naamini ipo siku mtakwenda kutwaa moja kati ya makombe ya kimataifa, kwani kama si leo basi kesho. Nuru kwa mbali inachomoza, kikubwa naomba muendelee kupambana na kuheshimu mashabiki wenu na kudumisha nidhamu yenu.

Ipo siku nchi itasimama na kusheherekea mafanikio ya Simba!

𝙔𝘼𝙉𝙂𝘼
- Inaonekana wanategemea sana uwezo wa mchezaji mmoja (Fiston Mayele) na si kitimu, kama unabisha basi chunguza mashambulizi mengi ya wapinzani yanayofanywa ikiwemo dribbling na mashuti ni ya nani? Au mtoe Mayele uone mwenyewe.

- Usajili waliofanya unasikitisha maana hauna msaada kwenye mechi zao za kimataifa. Mfano Bigirimana, Lomalisa na Kisinda wote wanaonekana kutoweza kuingia kwenye kikosi cha kwanza(mashabiki wasikubali maana huu ni uhuni wa viongozi), na pia mtu kama Aziz Ki amedhihirisha kuwa yeye ni mchezaji mdogo. Hii ina maana hakuna walichofanya pia.

- Feisal Toto amedhihirisha kuwa yeye ni mtoto! Hakuna anachofanya zaidi ya kurukaruka, kutoa maboko, na hata nafasi za kupiga hapigi kama ilivyozoeleka.

- Nani kamrudisha Kisinda? Naomba hata mimi kuuliza hilo swali, na kwa malengo gani? Maana hata jamaa alipoingia ndiyo wageni wakasawazisha na pia mchezo ukabadilika. Yanga wakapelekewa pumzi za moto na wageni, huku Kisinda akishangaa shangaa!

- Nabi kaishiwa mbinu, hii inatokana na hata yeye kusema kuwa kikosi kilikuwa kizuri, tulijipanga, na kila kitu kilikuwa sawa ila uwezo wetu naona pale ndiyo ulipoishia!

Hii inadhihirisha kuwa Yanga ametuthibitishia kuwa michuano ya kimataifa haiwezi, kwani hana la maana analofanya.

Ushauri wangu;
Yanga ijifunze kutoka kwa Simba, iache maneno mengi maana nilisikia kuna baadhi ya mashabiki walisema Al Hilal atapigwa kama ngoma na wengine wakasema atapigwa ngumi mchomoko, ila mwisho wa siku ni hakuna kitu.

IMEFIKIA MUDA WA YANGA KUKAA MEZA MOJA NA WABABE SIMBA ILI WASHAURIWE NA KUPEWA DARASA KUHUSU MICHUANO YA KIMATAIFA, ILI WAWEZE KUJIKWAMUA. TUWEKE USHABIKI PEMBENI.

Na pia Yanga iangalie uongozi kama si hivyo basi wataumia, maana HERSI ameshawahi kumwambia Nabi kuwa "ILI MASHABIKI WASIONGEE BASI IFUNGE SIMBA TU, HAPA HAMNA SHIDA" naomba hii kauli iangaliwe.
Kwa game ya Yanga na Al Hial bado ipo 50/50 hizi timu zina uwezo sawa Al Hial wana tatizo la kuzia same to Yanga ndio maana walikoswa koswa magoli mengi same to Yanga na bahati nzuri nmeona waamuzi wapo fair kwa reference use games za Azam na Simba wamecheza away lkn waamuzi walikua fair kikubwa Yanga wakakomae wapate goli mechi bado mbichi hii
 
Wanalalamika kwamba TATIZO NI TFF Kumfungia Msukule wao maaana mdomo wake ungewasaidia
Mdomo wa msukulee ungecheza dkk 90 uwanjan mkuu wanguu,au ndio angewaaadaa na maneno yakee km kawaidaa yakeee......
 
Back
Top Bottom