Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,084
- 3,726
Hapo vip!!
Mpira ni mchezo wa wawazi na data hazidanganyi.
Kwa tathmini inavyoonyesha yanga ndio timu dhaifu na mbovu kwa sasa katika hatua hii ya robo final club bingwa kwasababu zifuatazo:
1. Ndio timu pekee iliyoingia na point chache na za mwisho kuliko timu zote.
2. Ndio timu inayoongoza kwa kufungwa magoli mengi kwenye hatua ya makundi.
3. Simba ilipocheza na Ally ALHALY wakati wa super league wame draw ndani na nje ila yanga wamedraw ndani nje wakafungwa goli moja.
4. Belouizdad walicheza walewachezaji wa akiba,ambao ni Belouizdad namba 2, hivyo timu mbovu ingeweza kuwafunga hata Tabora boys wangewafunga nne.
5. Wanaomba wakutane na ASEC kwasababu ya ubovu wao.