Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,027
- 144,382
Huu ndio ukweli kwani humu katika makundi na kufuzu kuingia hatua ya makundi, huwa kuna timu dhaifu sana kutegemea na ligi yao na pia kwa kanuni za siku hiz,i wanaoshiriki sio wote ni mabingwa katika ligi zao bali ni utaratibu tu wa siku hizi unawabeba tofauti na zamani.
Hivyo, kuanzia hatua ya robo fainali, ndio timu bora hujichuja yaani makapi na mchele kila kimoja kinachukua uelekeo wake.
Kama umefuzu kutokana udhaifu wa timu ulizokutananazo, basi katika hatua ya robo fainali,. unaweza kula hata bao 5 usipokuwa makini.
Yanga na Simba hongereni kwa hatua hii, ila kipimo sahihi ni hatua inayofuata na ndio itafanya mmoja amuheshimu mwenzake
Nina imani zaidi na timu moja katika hatua inayofuata.