Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,798
- 218,438
Huyo ndio Lissu halisi... nimesikiliza kikao chake na waandishi muda mfupi uliopita; kwa kweli ni chakula bora cha ubongo!
Ameshakujibu leo kua ratiba hii ilikua ya chopa ambayo ccm wamemzuia rubani.....Time management.. Kama jana kuingia Mwanza late sio sawa. Mwanza mjini kuna kura, sio mahali pa kuhutubia kwa dakika tano. Watu wamesubiri muda mrefu kuwasikiliza halafu mna wavunja moyo kwa hotuba fupi. Mna shindwa hata kuwatambulisha wagombea ubunge na udiwani.. Tumieni muda vizuri..
Muda mrefu Tanzania ilikuwa imekosa mtu wa kum-challege Magufuli kwa hoja. Lissu amemshusha kule mawinguni alikokuwa amejiweka na kumfanya aonekane kama zuzu. Hili la uwanja wa ndege wa Chato hata walitolee ufafanuzi gani ni dosari kubwa sana inayoonyesha tulivyo na rais mwenye ubinafsi na maamuzi mabovu.Huyo ndio Lissu halisi
Nachukua nafasi hii kwa niaba ya Timu nzima kuomba radhi kwa yaliyotokeaTime management.. Kama jana kuingia Mwanza late sio sawa. Mwanza mjini kuna kura, sio mahali pa kuhutubia kwa dakika tano. Watu wamesubiri muda mrefu kuwasikiliza halafu mna wavunja moyo kwa hotuba fupi. Mna shindwa hata kuwatambulisha wagombea ubunge na udiwani.. Tumieni muda vizuri..
Kama rubani kakataliwa kwa sababu ya sheria hatutakiwi kulalamika. Kwamba pilot wa helkopter Tanzania ni huyo babu tuu?? Tusiwe watu wa kulalamika. Tuwe watu wa kutafuta majibu.Ameshakujibu leo kua ratiba hii ilikua ya chopa ambayo ccm wamemzuia rubani.....
Walaumu ccm sio Tundu Lissu..... Btw watz tayari wameshamuelewa sn mpaka sasa.... Ni km anakamilisha ratiba tu na kusalimiana na wananchi
Tunaiomba kamati ya kampeni iwe inaandaa midahalo na waandishi wa habari kila baada ya muda mfupiKikao cha Tundu Lissu na Waandishi wa Habari kwa kweli huyu mtu ni zawadi kutoka kwa Mungu.....tusiipoteze lulu hii trh 28.10
Time management.. Kama jana kuingia Mwanza late sio sawa. Mwanza mjini kuna kura, sio mahali pa kuhutubia kwa dakika tano. Watu wamesubiri muda mrefu kuwasikiliza halafu mna wavunja moyo kwa hotuba fupi. Mna shindwa hata kuwatambulisha wagombea ubunge na udiwani.. Tumieni muda vizuri..
Nakubali, ila strategy ziwe halisi. Tuangalie kwenye kura nyingi tusi waudhi wasikilizaji. Naamini Mh Lissu angefika mapema Nyamagana jana hapange tosha.. Watu wengi waliondoka baada ya kuchelewa. Halafu wakio baki wanaona mgombea ana lazimishwa kumaliza mkutano na Rpc.. Think that way...We are strategic men-please be patient and see the outcomes.
... muda huu atakuwa anawaza bunduki tu! Hakuna kingine.Mwenzake anaona kampeni chungu sasa na kuzuia risasi kwa mikono
Lissu The Game changerWamemlazimisha kutumia usafirir wa magari badala ya Chopper kwa kisingizio cha Rubani Mzee,wakataka wao ndiyo waanzishe matumizi ya Chopper ila mpango umebuma maana hawafahamu tena Sera gani wanaenda kuisema huko watakakotua.
Sasa hivi kampeni wanafanya Samia na Mjaliwa/Pinda ila nao hawana cha kuwaambia wananchi zaidi ya kusemea Ndege walizonunua,Bwawa la umeme linalojengwa na sgr ambayo itakamilika baada ya 15 Years.CCM kifo chao hakina kizuizi tena.
Watanzania wameshaamua kwenda na Mh.Lissu na kwenye hilo hakuna wa kuwazuia,kinachotafutwa kwa sasa ni Wabunge na Madiwani ili kuunda Serikali iliyochguliwa na Wananchi na siyo wabunge/madiwani waliopitishwa na Tume ya Uchaguzi.Kampeni za CCM zinafanyikia Ikulu na Mzee Baba amelegea tepe tepe.
NI YEYE LISSU 2020!
Tunaiomba kamati ya kampeni iwe inaandaa midahalo na waandishi wa habari kila baada ya muda mfupi