sembu naona tumebaki wenyewe kumbe hata mm alikua anajikaza tu
Huyu Mtangazaji alikua anasema Timu ya Taifa Jang'ombe, hakika sijamwelewa
Ndo jina la timu Mkuu.
Simba sasa imeamka kwenye Kombe la Mapinduzi baada ya kufanikiwa kutinga nusu fainai ya michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa kuichabanga Taifa ya Jang'ombe kwa mabao 4-0.Mpwa ni kweli? Ok nilidhani anakosea
[/TD]Huku shabalala, kule hassan kessy, kati isihaka na juuku murshid.. sijui hao waganda watapenyea wapi.. bila kusahau golini kuna mikono 10000 manyika jr.
Lazma nianze kuona hivyo.. maana Simba ya sasa 2nd half ndo imekua ikifanya vizuri zaidi tofauti na kipindi cha phiri hii inaonesha wachezaji stamina zao zimeongezeka, pia amesuka defence yetu kiasi kwamba mpaka sasa haijaruhusu goli hata moja.. Kwasababu hizo kwanini nisimpe heshima zake Goran.
haijaruhusu bao hata moja?
Simba 1 Mtibwa 0?
Maskini akipata.....mshaanza Kulewa sifa
Hivi umeelewa au ni hizo akili za kulamba miguu wahindi?.umeambiwa tokea goran achukue timu hajaruhusu goli.
Aaah hatuogopi mikia siye, kwanza mmeenda kwa kusuasua sana.
Mlianzia mguu mbaya kwa kufungwa, ingieni nusu fainali muondoke na makapu ya magoli, mbona mtaomba hata vile wanavyowekeaga halua....