Yanayojiri Kombe la Mapinduzi Zanzibar: Simba na Taifa Jang'ombe

Ni kweli mkuu ila nyie bora mkutane na Mtibwa ila mkikutana na Azam mechi itakuwa ngumu sana. Simba 3, halafu huyo dogo alipelekwa timu B kukuza kiwango. Kuna haja ya kuleta wale wa timu B ndo wacheze fainali.
Azam wepesi sana kwa Yanga sbb ya mamluki
 
Ni kweli mkuu ila nyie bora mkutane na Mtibwa ila mkikutana na Azam mechi itakuwa ngumu sana. Simba 3, halafu huyo dogo alipelekwa timu B kukuza kiwango. Kuna haja ya kuleta wale wa timu B ndo wacheze fainali.

Ninyi tu!
 
Naona mikia wameamka, ila mmesumbuliwa sana na Taifa Jang'ombe, ambao hao wameingia kibahati nasibu tu robo fainali.
 
vipi kuhusu shaba ambao wamepata ngekewa ya kushiriki michuano hii walivyowasumbua siku ya jana?
 
Back
Top Bottom