Yanayojiri Kombe la Mapinduzi Zanzibar: Simba na Taifa Jang'ombe

Yanayojiri Kombe la Mapinduzi Zanzibar: Simba na Taifa Jang'ombe

Are you sure?

Lazma nianze kuona hivyo.. maana Simba ya sasa 2nd half ndo imekua ikifanya vizuri zaidi tofauti na kipindi cha phiri hii inaonesha wachezaji stamina zao zimeongezeka, pia amesuka defence yetu kiasi kwamba mpaka sasa haijaruhusu goli hata moja.. Kwasababu hizo kwanini nisimpe heshima zake Goran.
 
lazma nianze kuona hivyo.. Maana simba ya sasa 2nd half ndo imekua ikifanya vizuri zaidi tofauti na kipindi cha phiri hii inaonesha wachezaji stamina zao zimeongezeka, pia amesuka defence yetu kiasi kwamba mpaka sasa haijaruhusu goli hata moja.. Kwasababu hizo kwanini nisimpe heshima zake goran.
ni mapema sana mkuu
 
Halafu dogo yuko serious na kazi.

Huku shabalala, kule hassan kessy, kati isihaka na juuku murshid.. sijui hao waganda watapenyea wapi.. bila kusahau golini kuna mikono 10000 manyika jr.
 
ni mapema sana mkuu

muda ufike Kiongera wetu aje Owino aende make tunajitahidi kuandaa vijana ili wacheze muda mrefu vipi jamaa zetu mtaa wa pili wana malengo hayo kweli? Make wanzidi kurundika wazee ndo maana huwa haendi kwa mnyama make umri umeenda mfano: MRWANDA, YONDANI,KANAVARO, SHE/MAN,NGONO,KASEJA,TAMBWE TWITE NA JOSHUA
 
Huku shabalala, kule hassan kessy, kati isihaka na juuku murshid.. sijui hao waganda watapenyea wapi.. bila kusahau golini kuna mikono 10000 manyika jr.
tusilewe sana kazi bado nzito
 
muda ufike kiongera wetu aje owino aende make tunajitahidi kuandaa vijana ili wacheze muda mrefu vipi jamaa zetu mtaa wa pili wana malengo hayo kweli? Make wanzidi kurundika wazee ndo maana huwa haendi kwa mnyama make umri umeenda mfano: Mrwanda, yondani,kanavaro, she/man,ngono,kaseja,tambwe twite na joshua
nizar khalfan
 
Kweli mkuu ila kwa stage tuliyofikia we have 2 celebrate..
celebration kubwa ni kufanikiwa kuwekeza na hawa vijana wanaelekea kuwa nguzo ya timu

  1. Manyika
  2. Isihaka
  3. Miraji Adam
  4. Gallasi
  5. Mkude
  6. seseme
  7. Hajib
  8. Ndemla
hawa wote ni matunda ya kuwekeza

cc Yeboyebo
 
celebration kubwa ni kufanikiwa kuwekeza na hawa vijana wanaelekea kuwa nguzo ya timu

  1. Manyika
  2. Isihaka
  3. Miraji Adam
  4. Gallasi
  5. Mkude
  6. seseme
  7. Hajib
  8. Ndemla
hawa wote ni matunda ya kuwekeza

cc Yeboyebo

Naunga mkono hoja.. Ila hapo Mkuu naona umemsahau Ramadhani Singano.
 
Back
Top Bottom