Yanayojiri Kombe la Mapinduzi Zanzibar: Simba na Taifa Jang'ombe

Yanayojiri Kombe la Mapinduzi Zanzibar: Simba na Taifa Jang'ombe

Mazuri kwa kuweka timu fit

Usijidanganye!!! nani aliyekwambia ukifanya mazoezi na mtu/ timu dhaifu kuwa unakuwa fit nani!!! hiyo changamoto ya kuwafanya wachezaji wetu wa simba na yanga kuwa fit itatoka wapi wakat wachezaji wa timu za zanzibar wanalegea sana kama wanaliwa sseru-nkuma???
 
Pumbavu zao magori kama mpira wa magongo.
 
Nakushukuru sana kwa ushabiki wa kizalendo, ama kweli mzigo mzito mpe mnyamwezi, umetendea haki majuku niliyokupa
full time: Simba 4-0 taifa jang'ombe.

Hongereni watani kwa kutinga nusu fainali kama ilivyotarajiwa na wengi.
 
Usijidanganye!!! nani aliyekwambia ukifanya mazoezi na mtu/ timu dhaifu kuwa unakuwa fit nani!!! hiyo changamoto ya kuwafanya wachezaji wetu wa simba na yanga kuwa fit itatoka wapi wakat wachezaji wa timu za zanzibar wanalegea sana kama wanaliwa sseru-nkuma???

Kwa hiyo timu zote zinazoshiriki mapinduz cup ni dhaifu ?au unataka kusemaje?
 
Rekodi za simba leo

  1. washindi
  2. mfungaji bora
  3. mchezaji bora
  4. wamiliki wakuu
 
Goran Kopunovic kazi yako imeonekana.. I salute u.
 
Hao yanga watakutana lini na azam,maana naona hamna chao hapo
 
Nakushukuru sana kwa ushabiki wa kizalendo, ama kweli mzigo mzito mpe mnyamwezi, umetendea haki majuku niliyokupa

Asante sana. Tukutane kesho uone tutakavyotoa onyo kali kwa timu zilizo mbele yetu. Usiku mwema Mkuu.
 
Kwa hiyo timu zote zinazoshiriki mapinduz cup ni dhaifu ?au unataka kusemaje?
Sio zote isipokuwa hizi timu zinazotoka kwa mzee shein ni hovyo kabisa na ndo maana kila mwaka kombe wanaandaa wao lakin wanaishia kwa kuliona kwa macho, labda zishiriki timu zao tu!
 
Back
Top Bottom