Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Dakika ya 40: Simba 0-0 Taifa J.
teh teh bebe ngalu nang'ho.Ushahidi unaendelea kukusanywa huku mtuhumiwa akihofia mkono wa sheria.
........jamani hii isitokee aisee, watani zetu/wetu watachonga saaana.Hawa nao washazoea kutudissapoint, unaweza ukashangaa dakika ya 85, Taifa Jang'ombe wanapata goli.
teh teh bebe ngalu nang'ho.
....kweli we Mnyama unamuogopa aisee.
........jamani hii isitokee aisee, watani zetu/wetu watachonga saaana.
Mkuu hii timu yetu ni kuyaiacha kama ilivyo hata kulogin na kupost humu ni kujibrazasugarcane tu lakini bila hivyo huwezi kuthubutu.........jamani hii isitokee aisee, watani zetu/wetu watachonga saaana.
maamgalia bemchi la simba sioni tumaini