Hiyo ndio nguvu ya umma magamba wataisoma nambaMuda Kamanda Mbowe ameomba dakika tano washauriane na viongozi wenzake nini cha kufanya
Hiyo ndio nguvu ya umma magamba wataisoma nambaMuda Kamanda Mbowe ameomba dakika tano washauriane na viongozi wenzake nini cha kufanya
jwtz wanafaa, kuliko polisccm
Mbowe: CHADEMA ni mpango wa Mungu, lazima kifanye kazi ya kukomboa nchi hii
Naona mmeanza kutokwa na povuBahati njema padri anakula raha yeye na kimwana Josephine mitaa ya born ujerumani
Well said comred!Kwa system hii ya ccm hakuna anayefaa ni lazima chadema ichukue madaraka 2015 ifumue mfumo mzima na kuusuka upya, mkuu wa majeshi ni chaguo la mwenyeketi wa ccm, kamisheni zote anatoa mwenyekiti wa ccm mnadanganywa na maneno matamu na machache mnaingia kingi kwa urahisi! system yote kuanzia jeshi, polisi, mahakama , magereza, takukuru, TRA, BOT, etc zimeoza ni za kufumua na kusuka upya kabisa!!
Mungu ibariki CHADEMATayari wameshauriana kwamba viongozi wanakwenda kwenye kufanya utaratibu wa mazishi. Vikundi vingine vitabaki hapa kufunga mahema kwa ajili ya kesho.
Ameomba watu waende manyumbani lakini waje hapa asubuhi.
Hapo sasa.Nilichopenda kwenye kauli ya leo ni hii: "ALIYERUSHA BOMU TUNAMJUA". Hakika ni faraja kubwa kwa wapenda amani wote kumjua mvunja amani ili sheria ichukue mkondo wake..