Hali ya ulinzi vp hapo ikoje.
Kilaza Lukuvi atuambie kuna polisi gani alipigwa mawe eneo la tukio?
Mbowe:
Katika eneo la tukio zimetumika silaha tatu.
Silaha ya kwanza ni bomu. Aliyerusha bomu tunamjua.
Silaha ya pili ni bunduki aina ya smg. Silaha ya tatu ni bastola.
Mauaji haya yalipangwa. Nimezungumza na IGP pamoja na Chagonja. Tumewaambia tuwajua, na waliochafua amani ni jeshi la polisi.
Lukuvi anatoa kauli bungeni kwa kudanganya wananchi kuwa wananchi waliwashambulia polisi. Uwongo.
Nilikuwa wa mwisho kuondoka eneo la tukio nikiwa na lema. Majeruhi wote makamanda wa chadema waliwabeba siyo polisi.
Lukuvi anazungumzia tukio la arusha utadhani waliokufa arusha ni kuku.
utaachaje kumjua aliyerusha bomu wakati wewe ndio ulimtuma?
Kwa system hii ya ccm hakuna anayefaa ni lazima chadema ichukue madaraka 2015 ifumue mfumo mzima na kuusuka upya, mkuu wa majeshi ni chaguo la mwenyeketi wa ccm, kamisheni zote anatoa mwenyekiti wa ccm mnadanganywa na maneno matamu na machache mnaingia kingi kwa urahisi! system yote kuanzia jeshi, polisi, mahakama , magereza, takukuru, TRA, BOT, etc zimeoza ni za kufumua na kusuka upya kabisa!!
utaachaje kumjua aliyerusha bomu wakati wewe ndio ulimtuma?
Mbowe:
Katika eneo la tukio zimetumika silaha tatu.
Silaha ya kwanza ni bomu. Aliyerusha bomu tunamjua.
Silaha ya pili ni bunduki aina ya smg. Silaha ya tatu ni bastola.
Mauaji haya yalipangwa. Nimezungumza na IGP pamoja na Chagonja. Tumewaambia tuwajua, na waliochafua amani ni jeshi la polisi.
Lukuvi anatoa kauli bungeni kwa kudanganya wananchi kuwa wananchi waliwashambulia polisi. Uwongo.
Nilikuwa wa mwisho kuondoka eneo la tukio nikiwa na lema. Majeruhi wote makamanda wa chadema waliwabeba siyo polisi.
Lukuvi anazungumzia tukio la arusha utadhani waliokufa arusha ni kuku.
Mbowe:
Katika eneo la tukio zimetumika silaha tatu.
Silaha ya kwanza ni bomu. Aliyerusha bomu tunamjua.
Silaha ya pili ni bunduki aina ya smg. Silaha ya tatu ni bastola.
Mauaji haya yalipangwa. Nimezungumza na IGP pamoja na Chagonja. Tumewaambia tuwajua, na waliochafua amani ni jeshi la polisi.
Lukuvi anatoa kauli bungeni kwa kudanganya wananchi kuwa wananchi waliwashambulia polisi. Uwongo.
Nilikuwa wa mwisho kuondoka eneo la tukio nikiwa na lema. Majeruhi wote makamanda wa chadema waliwabeba siyo polisi.
Lukuvi anazungumzia tukio la arusha utadhani waliokufa arusha ni kuku.
Too bad.Taarifa mpya mbaya aliyotoa Mbowe ni kuwa mmoja wa majeruhi aliyekuwa kalazwa Mount Meru Hospital na jana akahamishiwa Selian Hospital aitwaye Amiri Ally amefariki leo mchana!