Yanayojiri bungeni: Tarehe 20 Machi, 2014

Yanayojiri bungeni: Tarehe 20 Machi, 2014

Ajabu ni kuwa alijipendekeza mwenyewe kwenye orodha ya wajumbe wa bunge la katiba iliyopelekwa kwa rais, hiyo ilikuwa ishara ya kukubaliana na mchakato mzima. aache mikwara kama anajitoa aondoke awaachie wengine wenye mapenzi mema na nchi
Ndiyo maana anasimamia kwa hoja katika kile anachokiamini. Huyu ni kiongozi pekee aliyekuwepo bunge hili, aliikosoa katiba tangu enzi za mwalimu. Alishaishitaki serikali ili irekebishe baadhi ya vifungu na kushinda kesi. Ila serikali hii ilimpotezea na kumfanyia hujma na vitisho vingi. Hivyo anavyoongea ujue anamaanisha haswaa.
 
Kwa kweli nimeamini jamaa ni jasiri na baadhi ya wajumbe mle ndani ni wanafiki wakubwa na kama tungepewa nafasi tuwafanyie vetting wengi wao tungewaondoa. Hoja ya MTIKILA haikuwa hoja ya kumzomea bali kusikiliza kwa makini maana inawahusu wote watakao kuwa na mawazo ya kukinzana na utawala bila kuwa na woga.
Amezungumzia kitendo cha kuwaasa wajumbe kutomzomea Rais kwani lazima kuwa na demokrasia ya ustaarabu. Jibu lake ni kuwa huko tunakoiga ustaarabu kama Uingereza Tony Blair alikuwa akizungumza alikuwa anaheshimu mawazo ya wengine ili wajumbe naye wamheshimu ila akileta dharau alipigwa na nyanya mbovu au mayai viza, sasa kama naye JK anataka aheshimiwe basi aheshimu mawazo ya waajiri wake yaani Wananchi.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
WanaJF,

Katika hali ya kushangaza bungeni, mch Mtikila ametokea kukurupuka na kuingizia mambo ambayo hayahusiki katika mjadala unao endelea bungeni kwa sasa ambao ni kuhusu semina ya uzoefu wa nchi ya Kenya katika kuandaa katiba yao.

Mchungaji Mtikila bila ya aibu ametokea kuingizia mijadala mingine kabisa ambayo haina mahusiano ya kile ambacho kinajadiliwa bungeni na kupelekea kutokea kwa hali ya taharuki miongoni mwa wajumbe wa bunge maalumu. Jambo ambalo limemdhalilisha sana Mtikila.

Kubwa ambalo Mtikila alikuwa anang'ang'ania ni kupigania Tanganyika bungeni eti akidai kuwa kuna vitisho kutoka kwa mhe Sitta vya kuwashughulikia wale watakao ipigania Tanganyika kama ambavyo Dr Ulimboka, Dr Mvungi na Kibanda walivyo shughulikiwa. Jambo ambalo limepingwa vikali na Mhe Sitta kwa kumwambia yeye kama Mwenyekiti atatumia kanuni za bunge na sio vinginevyo katika kushughulikia hoja.

My take,

Mhe rais Kikwete amefanya makosa sana kuteua watu ambao vichwani mwao haijulikani kama ni wazima ama lah.

Hivi huyu Mtikila anashindwa kuelewa kuwa kuna mjadala wa semina na pia kuna mgeni!? Tanganyika nani anaitaka? Kama sio yeye na CHADEMA tu?

Tafuta Hotuba ya Warioba ili uzibuliwe Masikio yako,ile Hotuba ya Tume haikusomwa Baregu mngesema CDM!Chakubimbi wee
 
yeye binafsi kasema hao wang'oa kucha hawaogopi,na nakubaliana na mtikila kwani alishapambana nyerere hawezi kuogopa mafia uchwara hawa akina mwigulu.
 
WanaJF,

Katika hali ya kushangaza bungeni, mch Mtikila ametokea kukurupuka na kuingizia mambo ambayo hayahusiki katika mjadala unao endelea bungeni kwa sasa ambao ni kuhusu semina ya uzoefu wa nchi ya Kenya katika kuandaa katiba yao.

Mchungaji Mtikila bila ya aibu ametokea kuingizia mijadala mingine kabisa ambayo haina mahusiano ya kile ambacho kinajadiliwa bungeni na kupelekea kutokea kwa hali ya taharuki miongoni mwa wajumbe wa bunge maalumu. Jambo ambalo limemdhalilisha sana Mtikila.

Kubwa ambalo Mtikila alikuwa anang'ang'ania ni kupigania Tanganyika bungeni eti akidai kuwa kuna vitisho kutoka kwa mhe Sitta vya kuwashughulikia wale watakao ipigania Tanganyika kama ambavyo Dr Ulimboka, Dr Mvungi na Kibanda walivyo shughulikiwa. Jambo ambalo limepingwa vikali na Mhe Sitta kwa kumwambia yeye kama Mwenyekiti atatumia kanuni za bunge na sio vinginevyo katika kushughulikia hoja.

My take,

Mhe rais Kikwete amefanya makosa sana kuteua watu ambao vichwani mwao haijulikani kama ni wazima ama lah.

Hivi huyu Mtikila anashindwa kuelewa kuwa kuna mjadala wa semina na pia kuna mgeni!? Tanganyika nani anaitaka? Kama sio yeye na CHADEMA tu?

Mbona Zanzibar wanaitaka Zanzibar yao,kwa hiyo inamaana Wazanzibar ni CHADEMA?Kuwa mkweli Judge Warioba ndiyo kiboko yenu tu,vinginevyo tuwaachieni watanzania tuamue.
 
Namshauri ndugu Mtikila asiondoke Dodoma maaana kususa ni kuwapa manyan'gau urahisi wa kutuburuza, japo tunajua watampuuza kama wanavyofanyaga lkn historia haitaandika uongo,itakuwa heri yeye alisema kuliko kina wengine wanavumilia maumivu kimya kimya bila kufungua midomo..........
Hongera Mch Mtikila, asikutishe mtu hapo,tangu wameanza kutoa roho za watu nini wamepata zaidi ya laana tu Nchi haisongi mbele zaidi ya umaskini kuongezeka, aibu yao.
 
Safi sana namkubali sana ameongea points muhimu sana tena sana, na toka jana mm nawaza atoke mjumbe aongee maneno yale aliyosema mtikila mana Sitta alianza kutisha eti kuna kamera 13 bungeni ili wajumbe waogope nadhan ujumbe umefika, big up Mtikila.,:clap2:
 
Amesema pia kiongozi akifanya vizuri anapongezwa, akifanya vibaya anakosolewa...hata nchi zilizoendelea kama Uingereza waziri mkuu alishapigwa na mayai viza..na sisi tunafuata ustarabu wa nchi zilizoendelea kama uingereza.
 
Hata huyo aliyempa mtikila nafasi kwenye hilo bunge naye ninamshangaaaa.
 
katika namna ya kipekee leo mch c. Mtikila amemuonya mwenyekiti kuhusu kauli kuwa watu wasiotaka muungano watashughulikiwa. Ameuliza jee watashughulikiwa kama kolimba? Au dr mvungi, ulimboka au kwa namna gani. Ameweka wazi kuwa kwa vile yeye yuko wazi kuwa haungi mkono muungano huu uliopo sasa wa kuipoteza tanganyika hivyo tishio hilo la kushughulikiwa ni wazi ni kwake yeye. Kama mawazo ya wengine hayasikilizwi bali ya kikundi cha watu wachache (ccm) anafikiria kufungasha virago na kurudi dar ili kuendelea na shughuli zingine kuliko kushiriki bunge linaloburuzwa kwa maslahi ya watu wachache. Pamoja na sitta kuipoza hoja hiyo kwa kusema mtikila asiwe na wasiwasi, lakini maelezo ya mtikila yameleta damage kubwa katika uhuru wa uendeshaji wa bunge hilo.
Jee kama kuna kutishana kushughulikiwa inakuwaje kwa wale wajumbe legelege wasio na msimamo thabiti kama mtikila? Watawezakufanya kazi tuliyowatuma?

Sent from my ipad using jamiiforums

nimefurahi namna mwenyekiti wa bunge alivohandle utoaji wa hoja kwa mchungaji mtikila. Yaani roho ilikuwa ikilipuka kwani nilikuwa najaribu kufikiria kama mwenyekiti akijaribu kumzuia asitoe neno mchungaji mtikila kingetokea nini
 
Sitta ni ndumila kuwili ni hatari kubwabungw kuongozwana mtu aina yake . hatufiki mbali

6 mnafiki sana, nilishangaa siku anagombea kiti aliposema akipewa "atawashughulikia" wanao 'taka serikali 3'! Tayari alikuwa ame-declare interest na hata kuwa fair kusikiliza hoja za wanaotaka serikali 3. Mtikira is right kutahadhalisha mwenendo wa kiti na magamba yake.
 
Back
Top Bottom