Yanayojiri bungeni: Tarehe 20 Machi, 2014

Yanayojiri bungeni: Tarehe 20 Machi, 2014

jamani maserver mna kazi ya kulundika huu :nod::nod::nod:

maana hata mm sielewi elewi hapa sijui mtamsaidiaje
huyu mtu hapa
 
Haki yanani nikuambie kitu hata wale police wetu wa uswazi ukifanya kosa barabarani we hamia tu uk kile cha kimarekani jamaaa haooo watakuachia kiulaini usimwambie mtu siri yako.
 
unahisi kaongea pumba..??

hivi ndugu yangu hili lijitu linalojiita Hammy D linaakili timamu? hivi linatuonaje watanzania? linadhani wote hatuna akili kama avator yake ambayo ni sawa na uwezo wake wa kufikiri? shame on him. ila iko siku atatambua watanzania si kama anavyowafikiria yeye.
 
Wanajamvi.
Nimefanikiwa kushuhudia asilimia kubwa ya Wabunge wa Bunge la Katiba wakilalamika kuhusu matumizi ya lugha ya kiingereza kwenye uwasilishaji wa Mh. Amos Wacko.

Baada ya kuona ombi lao halikubaliwi kwa kigezo cha kuleta mtiririko mzuri wa kile anachokitoa Mh. Amos Wacko.
Wabunge wameingia mitini kiaina kwa kusinzia ama kutokujitokeza kupeleka majina ya kuomba kuuliza swali. Hadi muda huu ni wabunge kumi tu kati ya mia sita ndo wameomba kuuliza maswali au kuchangia.

Pia kimetolewa kisingizio cha kwa kuwa mjadala unaangaliwa na kusikilizwa na wananchi kupitia vyombo vya habari inabidi tafasiri itumike ili watu wengi waelewe.

Swali langu ni: Mbona kila siku muda wa saa mbili asubuhi TBC1 kituo cha Taifa kinaungana na CCTV na wanatangaza kwa kiingereza? Au matangazo hayo hayatuhusu wabongo?

Pia: Kwani wajumbe walikuwa hawajui kama Mh. Amos Wacko atakuja kushusha nondo kwa lugha ambayo siyo yao?
Mwenye uelewa anisaidie.


kiswahili ni lugha rasmi ya taifa letu
 
Yaani bunge letu lingekuwa linaendeshwa kwa Kiingereza kama Kenya ,mijadala ingekuwa inachukua muda mfupi sana,mambo ya ''Muongozo wa spika n.k ''yangepungua ama kuisha kabisa,wachangiajia wangekuwa wachache sana na utoro Bungeni ungeongezeka.

Angalia mzee husije zushwa simba maana mle kuna watu wanajiita ma profesa maji mafupi
 
Huku seneta A. Wako akieleza Kenya ilivyopata Katiba Mpya, Rev. C. Mtikila aibua tena 'Muungano,' ataka kanuni "zisiwatishie" wale wanaoupinga mtikila amesema watu wamekuwa wakitishwa na kama hali hiyo ikiendelea yupo tayari kuondoka dodoma.huko nchi za nje wapo watu wanampiga rais kwa mayai sisi tumeanza kutishwa tusimuhoji kesho atakapokua hapa yule amesjiriwa na wananchi.alisema mtikila mumini mzuri wa Tanganyika.
 
Kenya walileta baadhi ya watalamu kutoka ulaya. Fuatilia acha kulalamika.

Mkuu 100% ya wabunge wak kenya wanajua english vizuri sana! Utalinganisha na wabunge wetu wa div 5?
 
lugha si tatizo kwa watz kwani wanajua lugha mbalimbali za kiafrika iwe kibena, kizaramo, kimakua, kindengereko
na lugha ya kimakonde kutoka msumbiji wanakijua sasa unafikiri lugha gani wasioijua ya AFRIKA?

mwacheni amosi aongee kingereza-kikamba wala msitafsiri kwani watz wanakijua nacho.

Hujasomeka lady, nini umeandika?
 
Summury: kauli iliyo tolewa na mwenyekiti wa bunge maalumu siku kadha zilizo pita kuwa wachache wanao upinga muungano watashughulikiwa imechuku sura mpya baada ya mchungaji mtikila kutoa msimamo wake kwenye semina inayo endelea bungeni kwa kutoa tahadhari kuwa watanganyika ml48 wenye kutaka maendeleo na mamlaka ya nchi yao Tanganyika hawaogopi CCM (ml2) wanao utunza muungano kwa maslahi yao binafsi na pia amehoji namna ya kushughulikiwa huko akisema "je ni kama alivyo shughulikiwa mh Kolimba Dr mvungi au Dr ulimboka?"
 
Wanaogopa mengi kusiklika kwa kuwa wengi wao wana washirika serikalini na pia ndiyo wadhamini na wachangiaji wazuri wa CCM nyakati za kampeni . Sasa kwa nini wasilindwe ?

Wataalamu mie ninao waongelea sio kwaajili ya Lugha bali kwaajili ya muundo wa katiba na ozoefu waliokuwa nao.
Kumbuka kujua english sio sababu ya kuwa mtaalamu.
 
Nimemuona Bw Lusinde kaamua kuchapa tuu usingizi maana hakuna hata moja linaloingia huku Mh Majimarefu yeye anakata kucha anaona bora huyu jamaa amalize na kuondoka. Hii ni fimbo ya pili kwa wabunge wengi wa CCM.


Sent from my iPad using JamiiForums

Wacha masihara mzee profesa maji marefu hajui kidhungu? Huo uprofesa aliupatia wapi?
 
Aondoke tu kwanza anatuchosha na hoja zake zilezile
 
Back
Top Bottom