sirdelta
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 306
- 82
Da nazani sasa tunafika mwisho wa dunia nashangaaa hao wajumbe waliochaguliwa kutoka taasisi na vyama wasiojua kiingereza wanafanya nini hapo ... kweli mwisho wa dunia utaanzia dodoma kwa nyie wajumbe msiojua mnachofanya kazi kula kodi za watanzania ...mmechaguliwa kwa ajilai ya watanzania mjue hilo