Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
Je anayesoma si mtaalamu?Amos Wako anaonekana ni mtaalamu kweli... Hasomi sehemu anamwaga tu toka kwa kichwa...
Je anayesoma si mtaalamu?Amos Wako anaonekana ni mtaalamu kweli... Hasomi sehemu anamwaga tu toka kwa kichwa...
Yaani bunge letu lingekuwa linaendeshwa kwa Kiingereza kama Kenya ,mijadala ingekuwa inachukua muda mfupi sana,mambo ya ''Muongozo wa spika n.k ''yangepungua ama kuisha kabisa,wachangiajia wangekuwa wachache sana na utoro Bungeni ungeongezeka.
Ila leo naona wabunge walio wengi hasa wa mlengo ule wa maji ya bendera wanapiga soga tu hasa huyu Mkenya anapomwaga nondo zake.
Japo sipendi ushabiki wa kisiasa naa mini mwigulu yuko vzr, labda useme Sendeka, Lukuvi na wasira hao na shaka naoNimegundua, ile lugha ya kiswanglish inayotumika bungeni huwa ni geresha tu, wamekuja wanaotema umombo wabunge wanatoka kapa-hasa Mwigulu yaani ndo haelewi kinachozungumziwa kabisa...! Anawaza CDM tu!
wakenya wako mbali sana
Macho yanakodolewa kweli huenda somo linaeleweka vizuri.
Ila leo naona wabunge walio wengi hasa wa mlengo ule wa maji ya bendera wanapiga soga tu hasa huyu Mkenya anapomwaga nondo zake.