barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
Duh! Sasa nye Mbowe kazidi bhana, eti alishambuliwa na machine gun na pistol! Atakuwa na dna moja na 50 cent.
Kasema hvyo ili wasikate.
Basi umeme ndo utakatika
Bunge la 10: tangu Utawala wa JK
Mkutano wa 18 kwa mwaka huu wa fedha
Kikao cha 3 tangu juzi.
nimejaribu not so sure
...Makinda' anambebele Lisu! Eti..., "Mh. TunduLISU mwanangu...!"
Hata kwangu upo, ila nafikiri kasema radio, sio Tv.
Mbowe anaongea kwa hisia kali sana.
Lissu ni kichaa
Lisu nimachine, mtambo wahali ya juu kifikra na weled katika ujuzi wa sheria.
Habahatishi wala hababaishwi, nimemkubali kwakweli.
kwa ninavyoelewa mimi,bunge la 10 ni kipindi anachozindua Rais bunge hadi anapolivunja kwa ajili ya uchaguzi mkuu ndio maana Sita aliongoza bunge la 9,hili likivunjwa baada ya uchaguzi likizinduliwa tena linakuwa la 11,mkutano wa 18 ni kwamba toka kuzinduliwa bunge la 10 hii ni mara ya 18 wanakutana,kwa maana hizi wiki mbili zikiisha wakiahirisha,wakikutana tena inakuwa mkutano wa 19,kwenye kikao ni sawa walikutana J4,J5 na leo alhamisi ni kikao cha tatu!

Mh nchi hii jamani
lissu muongo anasema tbc wamekata matangazo nchi nzima ..mbona kwetu hawajakata hata kidogo...