ifweero
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 7,957
- 1,341
ngoja vuta nikuvute aje na facts hapaLissu: Tunaonewa
ngoja vuta nikuvute aje na facts hapaLissu: Tunaonewa
Kwa hiyo ulitaka amzuie ili apate umaarufu wa kisiasa?makinda mwenyewe anamjua lisu ndo maana kamwachia tu
Lissu ni kichaa
Tundulisu leo amesema magali ya polisi yameandikwa PT heti ni Piga Tu.
Lissu ni kichaa
lissu ni mgonjwa wa kichwa. mirembe inamhusulissu ni jembe.
Lisu balaa anawabana spika na serikali hapa....kakomalia dakika kuongezewa na kashinda...anaendelea kuua....jamaaa ni striker wa ajabu very bright,very proffessional,very brilliant....the man of the match
Samahanini, hivi wanaposema:
Bunge la 19
Mkutano wa 18
Kikao cha 3, wana maanisha nini?
hiyo ikulu mtaishia kuichora chini na kuisikia kwenye bombamtamwona kichaa mpaka siku mnatoka magogoni
huna ishu wewe mdada.Amenikatisha tamaa. Ameniangusha. Anafuata njia ya Prof. Muhongo,Waziri Mjiuzulu wa Nishati na Madini. Anaongea uongo kwa msisitizo na kwa sauti ya juu. Hivi,CUF waliwasilisha barua yao Polisi tar. 26 mwezi huu? Na uongo mwingine.
Falsehood in this matter is neither trivial nor immaterial.Naendelea kulia hadi majadiliano yaishe Bungeni,Dodoma!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Bunge la 10: tangu Utawala wa JK
Mkutano wa 18 kwa mwaka huu wa fedha
Kikao cha 3 tangu juzi.
nimejaribu not so sure