Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, January 29, 2015

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, January 29, 2015

Bunge lililopo limekuwa likidharau sana mahakama kwa kuamua kujadili mambo yaliyoko mahakamani.Hizo ni dharau za wazi kwa mahakama.Ushauri wangu ni kuwa wengi wa wabunge wataenda kugombea uchaguzi mwaka huu 2015.Baada ya uchaguzi wabunge wengi ushindi wao hupingwa mahakamani n.k Ninaomba mahakama zijiandae mkao wa kulipa kisasi ili kila mbunge aliyeko sasa akifunguliwa kesi au kufungua kesi kulalamikia matokeo au pingamizi n.k mahakama zihakikishe huyo mbunge aliyefungua kesi au kufunguliwa anashindwa kwenye hiyo kesi.

Na mbunge yeyote akiwa na kesi mahakamani mahakama zihakikishe zinampa ile maximum sentence ya hukumu

Hii ndio njia sahihi ya kuwashikisha adabu hawa wabunge waliopo hili bunge lisilo jali mahakama.

Mavi matupu
 
Lisu balaa anawabana spika na serikali hapa....kakomalia dakika kuongezewa na kashinda...anaendelea kuua....jamaaa ni striker wa ajabu very bright,very proffessional,very brilliant....the man of the match
 
Hahahahahaaaaaaa! Umeguswa penyewe

I am warning you. Gadafi alifia kwenye culvert, ila hakutambua kama his days was over. Mubarak, Ben Ali, Sadam etc.
Sometimes ni ngumu kuona yanayokuja.
 
anakuja habibu mnyaa na anasema kuwa cuf ilitoa taarifa kwa polisi tr 22 na sio 26 na hata hivyo taarifa hiyo ilijibiwa kuwa maandamano hayo yasifanyike
 
Mipolisi inapata Taarifa nyingi za Uhalifu toka kwa Raia ila miaka inavyozidi kwenda Raia wanakuwa na Chuki na Polisi Ndomana Yana vamiwa na Kuuwawa Raia Wana kaa kimya
 
Back
Top Bottom