Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, January 29, 2015

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, January 29, 2015

Si halali kutoa kaul kama zile wakuu.ule ni uchochez wa vurugu

Hivi uchochezi na uonevu ni kipi kibaya? Mbona huzungumzii yaliyompelekea Nasari kutamka aliyoyatamka? Hujui kuna watu wanavilema leo kwa mambo ya kuonewa tuu? Hujui jeshi letu la polisi na hususani wa usalama barabarani walivyoendekeza rushwa? Huna habari kuna wanasiasa wana kesi za kutengenezewa na polisi mmojawapo akiwa Nassari? Leo hata ukipigwa na raia mwenzio kwa makusudi, ukienda kutoa taarifa polisi; polisi hutoa judgement kwa kuangalia maslahi yao binafsi na cyo kumsaidia mhanga (watafaidikaje kwa kupigwa kwako wapate chochote). Wakati polisi wakifanya undava kwa raia huwa hawatizami chama wala ukoo. Tuache kutetea uovu. Unless unazungumzia polisi wa nchi unayoishi lakini cyo Tanzania
 
Wakuu kwa wale wote waliofuatilia bunge la jana nazan waliskia alichokuwa anaongea nasar je c alikuwa anachochea machafuko nchin?
Iweje mbunge atoe kaul tata kuwa polis wanaish uraiyan na ipo cku watarud wazikose familia zao?

Nb viongoz kama hawa wawajibishwe vikal kwa kuchochea machafuko

Vipi komba anaenda lini msituni?
 
Back
Top Bottom