Kuna hayawani zaidi ya Mbowe?yaani sijawahi kuona mtu hayawani kama wewe toka dunia iumbwe
Hahahahahaaaaaaa! Umeguswa penyeweLizaboni Lizaboni, Your days my friend
Wadau, natumai kuwa mnaendelea kufuatilia mjadala wa bunge linaloendelea mjini Dodoma.
Katika maswali ya papo kwa papo, Freeman Mbowe alionesha wasiwasi juu ya muda wa siku 90 uliotengwa na Tume ya Uchaguzi wa kuwaandikisha wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015. Katika maelezo yake, Mbowe amesema kuwa Kit moja ya BVR ina uwezo wa kuandikisha watu 22 tu kwa siku hali ambayo anasema kuwa itakuwa vigumu kuandikisha takriban watu milioni 24 wanaotarajiwa kuandikishwa. Hivyo alipendekeza Tume ipate fedha na muda wa kutosha ili iweze kuandikisha watu wote.
Hata hivyo, pamoja na Waziri Mkuu kukubaliana na Mbowe juu ya umuhimu wa Serikali kuipatia Tume fedha za kutosha ili iweze kukamilisha kazi yake kwa wakati, Waziri Mkuu anasema kuwa hawezi kubishana na Mbowe juu ya uwezo wa mashine hizo ila taarifa anazotoa juu ya uwezo wa mashine hizo yawezekana kuwa zisiwe za kweli. Waziri Mkuu anasema kuwa kwa taarifa alizopata na Tume ni kwamba, awali walijua kuwa mashine hizo zilikuwa na uwezo wa kuandikisha watu 70. Hata hivyo, uzoefu waliopata kwenye wilaya za majaribio za Mlele, Kinondoni na Kilombero ni kwamba imebainika kuwa mashine moja ina uwezo wa kuandikisha mara mbili ya makadirio ya awali.
Kwa maelezo haya ya Waziri Mkuu, ni wazi kuwa Mbowe alikusudia kulidanganya taifa kwa malengo anayoyajua
Nawasilisha
nimepata kitu kuhusu makinda kukataa hoja ya kuhusu lipumba. leo ni baada ya kusema watajadili ila swala liko mahakamani. kwa hiyo alifanya hivyo ili kesi ifunguliwe Kwani wanajua kitu kikishafika mahakamani bunge haliwezi kuijadili. huu ni uhuni
Kuna hayawani zaidi ya Mbowe?
Suala lililoko mahakamani ni la Lipumba kuwashawishi wananchi kufanya uhalifu. Suala lililo bungeni ni matumizi makubwa ya nguvu na udhalilishaji uliofanywa na jeshi la polisi. Ili lisijadiliwe bungeni ni lazima kuwe na polisi waliofikishwa mahakamani kwa kosa la kupiga raia.
acha ubwege kama Pinda kadanganya tena je? RefWadau, natumai kuwa mnaendelea kufuatilia mjadala wa bunge linaloendelea mjini Dodoma.
Katika maswali ya papo kwa papo, Freeman Mbowe alionesha wasiwasi juu ya muda wa siku 90 uliotengwa na Tume ya Uchaguzi wa kuwaandikisha wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015. Katika maelezo yake, Mbowe amesema kuwa Kit moja ya BVR ina uwezo wa kuandikisha watu 22 tu kwa siku hali ambayo anasema kuwa itakuwa vigumu kuandikisha takriban watu milioni 24 wanaotarajiwa kuandikishwa. Hivyo alipendekeza Tume ipate fedha na muda wa kutosha ili iweze kuandikisha watu wote.
Hata hivyo, pamoja na Waziri Mkuu kukubaliana na Mbowe juu ya umuhimu wa Serikali kuipatia Tume fedha za kutosha ili iweze kukamilisha kazi yake kwa wakati, Waziri Mkuu anasema kuwa hawezi kubishana na Mbowe juu ya uwezo wa mashine hizo ila taarifa anazotoa juu ya uwezo wa mashine hizo yawezekana kuwa zisiwe za kweli. Waziri Mkuu anasema kuwa kwa taarifa alizopata na Tume ni kwamba, awali walijua kuwa mashine hizo zilikuwa na uwezo wa kuandikisha watu 70. Hata hivyo, uzoefu waliopata kwenye wilaya za majaribio za Mlele, Kinondoni na Kilombero ni kwamba imebainika kuwa mashine moja ina uwezo wa kuandikisha mara mbili ya makadirio ya awali.
Kwa maelezo haya ya Waziri Mkuu, ni wazi kuwa Mbowe alikusudia kulidanganya taifa kwa malengo anayoyajua
Nawasilisha
Bunge lililopo limekuwa likidharau sana mahakama kwa kuamua kujadili mambo yaliyoko mahakamani.Hizo ni dharau za wazi kwa mahakama.Ushauri wangu ni kuwa wengi wa wabunge wataenda kugombea uchaguzi mwaka huu 2015.Baada ya uchaguzi wabunge wengi ushindi wao hupingwa mahakamani n.k Ninaomba mahakama zijiandae mkao wa kulipa kisasi ili kila mbunge aliyeko sasa akifunguliwa kesi au kufungua kesi kulalamikia matokeo au pingamizi n.k mahakama zihakikishe huyo mbunge aliyefungua kesi au kufunguliwa anashindwa kwenye hiyo kesi.
Na mbunge yeyote akiwa na kesi mahakamani mahakama zihakikishe zinampa ile maximum sentence ya hukumu
Hii ndio njia sahihi ya kuwashikisha adabu hawa wabunge waliopo hili bunge lisilo jali mahakama.
Lizaboni![]()
Today 10:24
#3
[h=2]Freeman Mbowe alidanganya Bunge na Taifa[/h]![]()
Salary Slip![]()
Today 10:43
#6
[h=2]Mtarajie haya kutokea leo bungeni[/h]![]()