Comi
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 3,328
- 958
Duh! Sasa nye Mbowe kazidi bhana, eti alishambuliwa na machine gun na pistol! Atakuwa na dna moja na 50 cent.
hujamalizia. nani aliyetoa majibu ya matumizi ya hivyo vitu
Duh! Sasa nye Mbowe kazidi bhana, eti alishambuliwa na machine gun na pistol! Atakuwa na dna moja na 50 cent.
Bunge la 10: tangu Utawala wa JK
Mkutano wa 18 kwa mwaka huu wa fedha
Kikao cha 3 tangu juzi.
nimejaribu not so sure
Shekifu anaongea kwa busara sana.
Shekifu anaongea kwa busara sana.
Weredi=WelediMbowe umekomaa kwa mchango mkubwa,tunataka viongozi wenye kunyambulisha mambo kwa weredi namna hii ila ipo siku utameza maneno yako,kumbuka mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu
...Makinda' anambebele Lisu! Eti..., "Mh. TunduLISU mwanangu...!"
kimkakati kabisa wamepangwa wapinzani waanze kuchangia halafu magamba yaje mwisho yaimbe taarab halafu mjadala ufungwe
Mbowe kaongea kwa reference
Mkosamali kaongea kwa reference
Nassari kaongea kwa reference
Lisu kaongea kwa reference
wabunge wa zanzibar wote wameongea kwa refernce na rejea-vitabu, majina nk
Huyu Shekif katumia reference gani? kapiga kelele kama chiriku, hana reference hana rejea huyu nimtu wa kuogopa kama ukoma.
Kufuatia mjadala wa hoja ya dharura unaoendelea sasa bungeni, wabunge wengi wameonekana kupinga nguvu kubwa inayotumika na jeshi la polisi ikiwemo kuua wananchi na kudhalilisha viongozi wa upinzani.. Sasa huyu mbunge Shekifu ni hewa kabisa. Badala ya kujadili suala la kwa kuweka maslahi ya taifa mbele huyu mzee analeta mipasho eti CCM ndio ina dola wanafanya lolote.. Upuuzi kweli
Mbowe kaongea kwa reference
Mkosamali kaongea kwa reference
Nassari kaongea kwa reference
Lisu kaongea kwa reference
wabunge wa zanzibar wote wameongea kwa refernce na rejea-vitabu, majina nk
Huyu Shekif katumia reference gani? kapiga kelele kama chiriku, hana reference hana rejea huyu nimtu wa kuogopa kama ukoma.
Hahahaaaaa......Simbachawane tutamlazimisha kujiuzuru km umeme utakatika