Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, January 29, 2015

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, January 29, 2015

kimkakati kabisa wamepangwa wapinzani waanze kuchangia halafu magamba yaje mwisho yaimbe taarab halafu mjadala ufungwe
 
Dah! Asante sana ndugu, nilikuwa sielewagi haya mambo. Escrow ndo ilinileta kwenye siasa, kabla ya hapo, nilikuwa sijali.

Yani unashukuru kwa kunyweshwa sumu? Jamaa kakuingiza chaka mazima....
 
Kuna hayawani zaidi ya Mbowe?

Baba yako mzazi nae vipi.?

Naona unaishiwa hoja unaleta matusi hapa na viroja.

Ni vema ukawashirikisha wazazi wako kuhusu hii ajira yako ya kutukana JF maana ni kama unawatukana wao.
 
Sasa naona watu wabunge wa upinzani wanatoa madukuduku yao dhidi ya polisi. Polisi wana wakati mgumu sana.
-Madereva, hawawapendi.
-boda doda, hawawapendi.
-wanafunzi wa chuo, wengi hawawapendi.
-wafanyabiashara ndogo ndogo, wamachinga ndo kabisaaaa.
-nk
Ni hatari.
 
lissu anampa taarifa spika kuwa tbc wamekata matangazo nchi nzima,bi ki.roboto kajibu pumba kama kawaida yake.
 
Baba yako mzazi nae vipi.?

Naona unaishiwa hoja unaleta matusi hapa na viroja.

Ni vema ukawashirikisha wazazi wako kuhusu hii ajira yako ya kutukana JF maana ni kama unawatukana wao.
Sina sababu ya kubishana na wewe
 
Sasa naona watu wabunge wa upinzani wanatoa madukuduku yao dhidi ya polisi. Polisi wana wakati mgumu sana.
-Madereva, hawawapendi.
-boda doda, hawawapendi.
-wanafunzi wa chuo, wengi hawawapendi.
-wafanyabiashara ndogo ndogo, wamachinga ndo kabisaaaa.
-nk
Ni hatari.
Na wapigwe tu
 
TBC one eti wamekata?TBC taifa radio Mimi nasikiliza hapa awajakata.
Mie naangalia TBC1. Naweka picha sasa hivi kuonesha huyu Mbunge anayeongea
image.jpg
 
Back
Top Bottom