Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, January 29, 2015

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, January 29, 2015

Huyu dogo wa sisiemu naona kakariri, anasema amekaa bungeni mihula mitatu, hajawahi ona spika anasema anatoa dk 3, anatokea mbunge (Lissu) anasema mimi nitaongea kwa dk 15. Anadai hajawahi ona, ni mabadiliko makubwa sana kwake, na kwa jinsi aongeavyo, anamaanisha ni utovu wa nidhamu.
Amekariri mambo.

Ameshindwa kufaham kwamba Lisu amerejea kanuni za bunge.

Kanuni ndiyo zilizompa Lisu uwezo wa kudai muda, na Makinda akagundua kakosea akarekebisha mara moja. Hapa

namsifu Makinda kujirudi baada ya kuelewa ukweli.
 
namsubiri mbunge wangu bora wa bunge la 10 ASSUMPTA MSHAMA kwa mchango wake!
 
ushauri huu umetolewa bungeni na mh yahaya kassimu issa kwamba kuna watu wanaongea vitu visivyofaa mahali pasipostahili. wanaongea mambo ya aibu mbele za jamii hali inayoonyesha kuwa wana tatizo katika bongo zao. dawa nzuri kabisa ni kupima afya ya akili ya wagombea uongozi hasa wabunge na madiwani
 
Hapa Lissu asingekuwa mbunge mpaka sasa. Lissu ana matatizo ya akili na alishatibiwa Mirembe
 
nilisema maccm yamewatanguliza wapinzani wachangie hoja kimkakati halafu wamalizie magamba na mipasho...
 
ushauri huu umetolewa bungeni na mh yahaya kassimu issa kwamba kuna watu wanaongea vitu visivyofaa mahali pasipostahili. wanaongea mambo ya aibu mbele za jamii hali inayoonyesha kuwa wana tatizo katika bongo zao. dawa nzuri kabisa ni kupima afya ya akili ya wagombea uongozi hasa wabunge na madiwani

apimwe kwanza mleta mada
 
Huyu dogo wa sisiemu naona kakariri, anasema amekaa bungeni mihula mitatu, hajawahi ona spika anasema anatoa dk 3, anatokea mbunge (Lissu) anasema mimi nitaongea kwa dk 15. Anadai hajawahi ona, ni mabadiliko makubwa sana kwake, na kwa jinsi aongeavyo, anamaanisha ni utovu wa nidhamu.
Amekariri mambo.

Huyo Nkuma anatakiwa akashughulikie KERO za Wakulima ktk wilaya yake ya Sikonge maana wakulima wamelima Tumbaku mpk leo malipo yao hawajalipwa na vyama vya Ushirika vinakufa kuna madeni kibao hewa ambayo wakulima hawayajui na yanpelekea kukosa pesa zao....yani watu wamechoka na akulima wamepoteza imani kapisa na makampuni yanayonunua Tumbaku kiasi kwamba ata km watapeleka mazao yao wanakua hawana uhakika na malipo yao....wizi mtupu.
 
Kama mbunge ni kichaa au tahira na alipita kwa kura za wanainchi walio wengi.

je? hapo nani atakuwa ni kachaa zaidi ya mwenzie.

Moderator remove this rubbish thread.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom