Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, January 29, 2015

lissu muongo anasema tbc wamekata matangazo nchi nzima ..mbona kwetu hawajakata hata kidogo...
 
kasema tbc1tbc taifa haipo hewani ni uwongo kweli mwenye asili ya uongo ni hatari na ndio maana wanaitwa PANYA ROAD tv radio zipo live na mambo ya bunge
 
Kimsingi Jeshi la polisi ndo fimbo ya ccm ya kuwachapa wapinzani.Mikakati muhimu ni kuhakikisha sheria inayoliendesha jeshi hili inafanyiwa marekebisho ili iendane na hali iloyopo hivi sasa.
 
Wapinzani ktk nchi hii wamekomaa kisiasa na kutetea haki za wananchi...safi sn ukombozi upo karibu......

Big up sn Chadema, Cuf na NCCR....!

UKAWA Oyeeeeeeeeeeeeee...........!
 
kasema tbc1tbc taifa haipo hewani ni uwongo kweli mwenye asili ya uongo ni hatari na ndio maana wanaitwa PANYA ROAD tv radio zipo live na mambo ya bunge

TL kafanya vizuri, maana kama walikuwa na mpango wa kuzima mitambo sasa hawatazima tena.
 
Kimsingi Jeshi la polisi ndo fimbo ya ccm ya kuwachapa wapinzani.Mikakati muhimu ni kuhakikisha sheria inayoliendesha jeshi hili inafanyiwa marekebisho ili iendane na hali iloyopo hivi sasa.

Watanzania wameamka na CCM ibadili mbinu yake.....
 
...Makinda' anambebele Lisu! Eti..., "Mh. TunduLISU mwanangu...!"
 
Back
Top Bottom