Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, January 29, 2015

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, January 29, 2015

Huyu mzanzibar anayejilinganisha na Lisu mbona kama punguwani.
 
Kwa kweli kama CCM inafikiri hawa wachangiaji wao wa mwishoni wanawajenga basi wamekosea kabisa kabisa, ni aibu
 
Wabunge wa CCM asilimia 90 akili zao zimeshikwa na mtu. 2015 nitapiga kura ili hawa .....e watoke humo
 
waziri mkuu Mizengo pinda aliposema wapigwe tuu alikuwa na kila sababu ya kusema hivyo

inapofika wakati mtu anakaidi amri halali ya polisi apigwe tuu
 
Sadifa kaonekana mpumbavu teyari,

Teyari tumeshaona tofauti kati ya Lisu na Sadifa.

bwanamdogo kachemka, katiba inatambuwa CUF kama chama cha siasa sio Saccos. ameaibika teyari.
 
We watu tunataka update we unatuzingua hapa umeeleweshwa unarudiarudia u.j.I.nga

Bahati nzuri huu uzi ni wa watu wenye busara, na pia waonyesha dalili za kaswende katika final stage yake, hivyo sitakujibu lolote, nakuombea tu.
Ushauri: Tumia AKILI ya kuzaliwa iliyopo kichwani, sio lazima uwe na elimu ya kitaa au ya shule kama haujajahliwa nayo. Ukiona comment haikuhusu, unapita kando na kutafuta comment inaokutekenya, sawa!!
 
Mada ni kubwa sn hii kwa wabunge wa CCM. Hawana uwezo wa kuitetea......ona sasa km huyu Lusinde?
 
Bunge la 19 maanake ni bunge la wabunge katika awamu ya 19 toka JMT iundwe.
Mkutano wa 18 , ni idadi ya mikutano hili bunge la awamu ya 2010-2015 imekaa hapo mjengoni Dodoma.
Na kikao cha 3 ni kuwa katika huu mkutano wa 18 leo ni siku ya 3 wabunge wameingia mjengoni kuendelea na bunge.

Hivi tulishafikisha mabunge 19? Maana ukiangalia kwa uhai Wa JMT bunge hili linapaswa kuwa la 10 au 11! Hayo 19 umeyatoa wapi?
 
Ni wazo zuri sana kwakufanya hivyo itasaidia kupata wabunge wazuri ambao wako sawa.
 
Back
Top Bottom