Yanayo Jiri ustawi wa jamii live

dah! mkuu figaniga unanikumbusha mbal sana na hizo song za hao waheshimiwa wa vinega. Yaani shangwe kuliko kawaida. Endelea kutujuza mkuu
 
mabaga fresh tumeanza na mturize wakaja tunataabika na kusurubika mabaga fresh tumepigika aaah tunasubili kufa na kzika.sasa hivi wanaimba wimmbo wa 770...maneno yangu mkuki,mwili wangu ngao..naishi kiuhakika siishi kwa matumaini..770.wanaotafuna kuku hawana tofauti na mimi..wanaotafuna kuku hawana tofatu na mimi wote tunasubili kwenda chini..usinipe buku nipe mia saba sabini..wewe tajiri bilionea lakini wewe tajiri mimi kapuku nipe. mia saba sabini..kazi kwenu mnaofuata anga za sugu.shina halina mzizi.mia
 
tunarushwa na dj sinox. wanamwita mambo poa huyu jamaa..wanamuita mambo safi huyu jamaa..sijui ni dhiki au tamaa huyu jamaa nakuomba umsamehe maualana ndo wanapanda sasa hivi. mia
 
wakuu nikidangaja muniumbie. uwanjaa umejaa kinoma. bado izo mchoo yupo jukwaani na wimbo wake wa wanamwita mambo poa. kasindikizwa na mambo daz baba. regia mtema namuona kwa kule nyuma.yupo na sugu.nimewapa hi ila hawajui kama mimi ndo figganigga. nipo nao hapa. mia
 
Baada ya Mabaga sasa amepanda Juma Nature na Inspekta. Wanawachana Clouds kinoma
 
Yan leaders watu wamewafwata dmx nt local artist while ustawi watu wapo kizalendo so message is so clear to Rughe. Kuwa once wakiwa na battle la local artist wa Rughe na Sugu alwaz Sugu will defeat Rughe.
 
Nami nipo Uwanjani kumsupport Kamanda Sugu.Kwa kweli watu wamejitahidi kuitikia wito na bado watu wanamiminika kwa wingi.Show yenyewe bado haijaanza bado wako kwenye trela.Leo pia Sugu atazindua KITABU chake Cha Muziki na Maisha,from the street to the Parliament,nikitabu kizuri sana,nilikisoma kidogo nilipokuwa Bungeni,Kinatia moyo wale waliokata tamaa ya kutoka.Kinauzwa sh elfu tano tu.Wahi Nakala yako.

Mkuu mwulize kamanda Sugu ninani muuzaji wa hicho kitabu huku kwetu mwanza,pia endelea kutupatia updates.Pamoja sana mkuu
 
tupo na producer ommy mchawi wa matangazo yote ya bongo. wakuu bado tunascan virus. yupo dj cobo na dj nipe track ndo kapanda kupiga nyimbo za had mad. mia
 
Nami nipo Uwanjani kumsupport Kamanda Sugu.Kwa kweli watu wamejitahidi kuitikia wito na bado watu wanamiminika kwa wingi.Show yenyewe bado haijaanza bado wako kwenye trela.Leo pia Sugu atazindua KITABU chake Cha Muziki na Maisha,from the street to the Parliament,nikitabu kizuri sana,nilikisoma kidogo nilipokuwa Bungeni,Kinatia moyo wale waliokata tamaa ya kutoka.Kinauzwa sh elfu tano tu.Wahi Nakala yako.

Dada yangu Regia, swali dogo tu. Madhumuni ya kusoma hicho kitabu ukiwa bungeni ulikuwa na dhamira ya kutoa quotes ndani ya hicho kitabu kwa shughuli za kibunge au ulikuwa unasoma tu kwa sababu kilikuvutia. Najaribu tu kupata uelewa, ni vipi ukisome bungeni wakati unatakiwa kuwa bize na shughuli zilizokupeleka ndani ya mjengo. Hicho kitabu kilikuwa na mchango gani kwenye miswada ilyosomwa kwenye session iliyopita?

I'm not trying to pick on you but am trying to comprehend what's going on in mjengoni.
 
sasa hivi kapanda had mad. ni wewe unaye nifanya nijisikie nipo juu kwenye hii dunia...ni wewe ninapokuwa sina fedha unavumilia. anaturusha kwa lege. mia
 
Dada yangu Regia, swali dogo tu. Madhumuni ya kusoma hicho kitabu ukiwa bungeni ulikuwa na dhamira ya kutoa quotes ndani ya hicho kitabu kwa shughuli za kibunge au ulikuwa unasoma tu kwa sababu kilikuvutia. Najaribu tu kupata uelewa, ni vipi ukisome bungeni wakati unatakiwa kuwa bize na shughuli zilizokupeleka ndani ya mjengo. Hicho kitabu kilikuwa na mchango gani kwenye miswada ilyosomwa kwenye session iliyopita?

I'm not trying to pick on you but am trying to comprehend what's going on in mjengoni.

hivi we kenge m2 kusoma vitabu ni kosa? Haijalish uko sem gan?
 
Back
Top Bottom