Yanayo Jiri ustawi wa jamii live

Mwanza lini? Mkuu Regia tunaomba endelea kutupa updates toka hapo ikiwezekana na picha
 
Eti kaka/dada figganigga, ilo neno "mia" kwenye mwisho wa post zako huwa unaliandikaa au lipo automatiki kama signecha? SORRY KWA KUTOKA NJE YA MADA.

lipo automatic.wakuu sada hivi ndo sister p anatoka na nyimbo zake anakuja na hey hey dj sada hivi wanaingia daz nunda na kamanda.bado sijaingia wakuu.daz nunda wameanza na wimbo wa daz baba.(nashukururu kumpata mwenye sifa ninazotaka.vinega juu.unaitwa nani fid q unatoka wapi getto kazi yako nini mziki au siyo.mia
 
tumedhaminiwa na swahili orijino, times fm, ant-virus na watu wa mp souls. daz nunda washashuka. sasa anaingia mwana dada zay b. kaingia yupo nduki kinoma. kalewa kuliko figganigga. anaanza na wimbo wa..z to the b mwana dada gaidi...zay b sasa nipo gado...mashairi yamejaa kisado...zay b sasa yupo gado moja kumi tisa mambo bado..ila verse ya nature hayupo. kaimba rasta furani kwa udhamin wa bongo records. mia
 
303873_223499564385367_100001759755271_499135_715989505_n.jpg
closed fm lazima watage
 
watu wapo nyomi kinoma. huku nyuma namuona sugu anaoganise mambo. kavaa magwanda ndani tishirt ya ant-virus...wakuu hili jukwaa ni noma. zay b anakuambia wasanii wa bongo wamesaliti, wanategemea mabwana zao sijui kutoka south. anatupa kitu cha nipe salute..huyu ni zay b. wakuu zay b yupo juuu. ana pumzi kinoma..anakuambia zay b anashine..ordinary anashine pc and love tambala bovu unabidi uwe shupavu na bado nipo gado..mia
 
baada ya zay b kushukuru na kushuka sasa hivi wanapanda MABAGA FRESH. tukisema mabaga mnajibu fresh.mabaga..??mabaga..?? tupo kamili....tupo kamili..mabaga fresh..hawa ni walemavu wa temeke. mia
 
Back
Top Bottom